hatimiliki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hati za umiliki za Viwanja Inyala Zimekwama

    Mimi ni mkazi wa kata ya Inyala Mbeya vijijini. Ni mwaka sasa umeisha tulipimishwa viwanja kwa bei ya laki 1 na elfu 30 kwa kiwanja ili tupewe hati. Lakini mpaka sasa wahusuka wamepotea tukipiga simu wanasema tuwaulize watendaji wa vijiji maana wao ndo walikusanya pesa zetu na walikuwa...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kama tunavyowaambia CCM hii nchi sio yenu peke yenu. Vivyo hivyo na CHADEMA hamna hatimiliki ya Ukweli na Demokrasia peke yenu

    Hamjambo! 1. Bado tunawekana Sawa. Tunazungumza. Ili mambo yakae sawa. 2. Kuna vitabia vya ajabuajabu ndani ya nchi yetu. Tabia ya kujimilikisha mambo ambayo hayamilikiwi na yeyote. Mambo ya wote kundi na genge Fulani linahodhi na kujimilikisha. Hiya ni dhulma. 3. Ukweli, uzuri, uponyaji...
  3. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Kwani waislamu ndiyo wenye hatimiliki ya mpira wa Tanzania?

    Waislamu ndiyo wenye hatimiliki wa mpira wa Tanzania? Mbona wakristo ni wachache kwenye vile vyombo vinavyoongoza mpira kwenye nchi hii kwa maana TFF aisee na hizi timu mbili za kariakoo Simba na Yanga viongozi wake wengi au karibu wote ni waislamu Kwenye uchaguzi huu wa TFF watia nia wa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Vijana wasiokua na ajira, wakawagwajimanize hao wanasiasa wanaoona kama wao ndio wana hatimiliki ya kuiongoza nchi

    Habari za muda huu wanajamvi. Kumekua na tatizo kubwa la ukosefu wa ajira nchini na wanasiasa hawaonekani kuguswa na hii kadhia Zaidi wanawaambia vijana wajiajiri lakini wao wanaomba ajira kwa hao wanaowaambia wajitafutie ajira Huduma za afya ni mbovu. Miundombinu hairidhishi na mambo mengine...
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania Serikali ipitie upya sharti la kuendeleza kiwanja ndani ya miezi 36. Ujenzi unahitaji maandalizi ya muda na kujichanga

    Naona Hati Miliki nyingi zina sharti la kuendeleza kiwanja ndani ya miezi 36, huu muda hautoshi, walau iwe miaka mitano, au ihesabiwe kwa asilimia ya maendelezo. Ni hayo tu
Back
Top Bottom