hatifungani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Naomba kueleweshwa kuhusu mfuko wa Hatifungani (Bond) wa UTT AMIS

    Eid Mubarak. Naomba kueleweshwa mfuko wa bond wa UTT AMIS. Mfano muwekezaji akiwekeza million 100, gawio lipoje? Na je kuna uwezekano wa mtaji huo wa million kukuwa? Na je hizo bond huiva baada ya muda gani?
  2. President of China

    Mauzo ya hatifungani ya CRDB Al-Barakah Sukuk yaingiza shilingi bilioni 125.4

    Benki ya CRDB imefanikiwa kukusanya kiasi cha shilingi bilioni 125.4 na Dola za Marekani milioni 32.3 kupitia mauzo ya hatifungani yake ya CRDB Al-Barakah Sukuk, hatua iliyovuka malengo ya awali kwa zaidi ya asilimia 400. Uuzaji huo uliofanyika kwa siku 40 kuanzia Agosti 9 hadi Septemba 19...
  3. Mstahiki Mea

    Hatifungani ya miaka 5 Shariah CRDB

    Wekeza kwenye hati fungani ya miaka 5 inayofuata Shariah. · Faida Halal 12% ukiwekeza TZS · Faida Halal 6% ukiwekeza USD · Gawio mara 4 kwa mwaka · Itadumu kwa miaka 5 (Utarudishiwa uwekezaji wako) · Inafuata mkataba wa Ijarah Wekeza kuanzia TZS 500,000 au USD...
  4. Smart Finance

    Vigezo vinne vya kuanza uwekezaji wa Hisa, Bonds & Hatifungani

    Kila mtu anatamani kuanza kuwekeza ili pesa yake izalishe, lakini si kila fursa ni nzuri kwa kila mtu. Huo ni ukweli naomba uwekwe wazi. Kabla hujachukua hatua ya kuwekeza kwenye hisa, bonds au vipande ni lazima ujipime kwanza. Je, uko tayari kiakili, kifedha, na kimtazamo? Makala hii...
  5. Mwakawasila

    Hizi Ndizo Faida Tano Za Kuwekeza Kwenye Mifuko Ya Pamoja....

    Mfuko wa uwekezaji wa pamoja ni aina ya kampuni ambayo inajishughulisha na uwekezaji ambapo kampuni inakusanya pesa kutoka kwa wawekezaji wakubwa na wadogo na kuwekezwa kitaalamu chini ya uangalizi wa meneja wa kampuni hiyo, Hizo fedha zinawekezwa maeneo ambayo yataleta faida, Wanaweza...
  6. Mstahiki Mea

    B.O.T yaja na Hatifungani ya miaka 10

    Neema kwa wawekezaji wale waliokuwa wanasita kuwekeza kwenye bond za B.o.t kutokana na kuwa na Muda mrefu wa kuiva kwa Bond sasa ni miaka 10 tuu hati fungani yako itakiwa imeiva. Kuhusu gawio, wanatoa gawio la 14% kwa mwaka. Sio haba , lakini wazee wa compound interest hii haiwabebi
  7. Smart Finance

    Dondoo za Hatifungani za tarehe 30 Aprili 2025

    Hii ni aina ya Fixed Income Security, yaani Serikali inakukopa pesa yako leo na Inakuahidi malipo ya riba ya kudumu (fixed 14% kwa mwaka), Na baada ya miaka 10, inakurudishia mtaji wako wote. Riba ya 14% inabaki ile ile kwa miaka yote 10 bila kujali kama hali ya uchumi itabadilika — iwe mfumuko...
  8. Mike Moe

    Hatifungani ya Azania bank yaorodheshwa rasmi soko la hisa

    Sasa ni rasmi hatifungani hiyo iliyofanikiwa kuvuka lengo la mauzo kwa kufikisha mauzo ya asilimia 210.9 kwa kukusanya sh. Bilioni 63.3, sasa itauzwa kupitia mawakala wa soko la hisa na mitaji.
  9. Meneja Wa Makampuni

    Hatifungani ya Samia Kianzio Tsh 500000: Wale Mliotaka Kuwekeza Kwenye Hati Fungani (Bond) Hii Hapa Samia Infrastructure Bond Kianzio Tsh 500,000 Tu

    Wale Mliotaka Kuwekeza Kwenye Hati Fungani (Bond) Hii Hapa Samia Infrastructure Bond Kianzio Tsh 500,000 Tu Kwa kuanza, unaweza kuwekeza kuanzia TZS 500,000 kwenye Samia Infrastructure Bond kwa muda wa miaka 5. Hii ni fursa maalum ya kufadhili miradi ya ujenzi wa miundombinu nchini, hususan...
  10. Mwakawasila

    Jinsi ya kushiriki kwenye Mnada wa hatifungani za Serikali

    1.Fungua akaunti ya uwekezaji (BOT CDS ): Ili kufungua akaunti hii mwekezaji anatakiwa aambatanishe vitu vifuatavyo. a. Picha 3 za passport b. Copy ya TIN certificate c. Copy ya kitambulisho cha taifa 2.Baada ya kuhakikisha viambatanisho vinavyohitajika, mwekezaji anatakiwa Kujaza fomu ya...
  11. PeeWee

    Uwekezaji kwenye Hatifungani Vs UTT Amis

    Habari za asubuhi wana jukwaa. Ni matumaini yangu kuwa mko wazima bukheri. Kama kichwa cha mada hapo juu, naomba kuuliza kuhusu uwekezaji kwenye Hati fungani na UTT Amis. Swali langu ni uwekezaji upi kati ya UTT na hatifungani una faida zaidi kwa mwekazaji katika maana ya ukubwa wa faida...
  12. Enkulu

    Dondoo za hatifungani za leo - 20yrs Bond 15.49%

    Leo jumatano ya tarehe 31 Julai 2024, ni siku ya mnada wa Hatifungani ya miaka 20 yenye riba ya 15.49% kwa mwaka. Kwa watakao shinda katika mnada huu watakuwa na dhamana ya miaka 20 kama nilivyosema hapo awali. Dhamana hii itakuja na kuponi mbili kwa mwaka, yaani kila baada ya miezi sita (06)...
  13. Stephano Mgendanyi

    Taasisi za Serikali zatakiwa kuanzisha Hatifungani

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Taasisi za Serikali kutumia njia mbalimbali bunifu ikiwa ni pamoja na kuanzisha hatifungani ya kupata fedha ili ziweze kugharamia miradi ya maendeleo kwa njia mbadala (APF) na kupunguza utegemezi kutoka Mfuko Mkuu wa Serikali. Bashungwa...
  14. KingOligarchy

    Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) watangaza Securities Investment and Trading Course kuanza mwezi Novemba

    DSE watangaza certification yao itakayoanza mwezi ujao. Nilifanya course iliyopita na kwakweli madini niliyoyapata yalikuwa yamesimama. huwa naattend sana forums nyingi za investments na personal finance lakini hii course ilinifanya nijue kiundani jinsi soko la mitaji linavyofanaya kazi...
Back
Top Bottom