hatia

Hatia is a small town and railway station in Ranchi district, Jharkhand, India. It is adjacent to Ranchi, the capital of Jharkhand. One of the premier technical institutions in the field of Metallurgical engineering, the National Institute of Foundry and Forge Technology, is situated here. Hatia developed as a suburb of Ranchi, the capital city of Jharkhand. Away from the rush in the main city, this part of Ranchi is comparatively quiet and calm. With HEC developing a huge infrastructural set up in the area, Hatia is one of the largest and most well-maintained dwelling destinations in Ranchi.
Besides NIFFT, Heavy Engineering Corporation, one of the largest engineering companies in India, is situated in Hatia.

View More On Wikipedia.org
  1. Ole Sabaya hata kama alikuwa na hatia lakini sio ya unyag'anyi wa kutumia silaha. Hakimu aliyehukumu hana weledi

    Nimesoma baadhi ya nukuu za hakimu Amworo anakiri kuwa Sabaya alikuwa na silaha eneo la tukio . Lakini hii sio sababu ya kudai kuwa alitenda unyang'anyi wa kutumia silaha. Ili unyang'anyi wa kutumia silaha utimie lazima mtuhumiwa atishie kwa silaha, kutumia silaha na kisha kupora mali...
  2. Marekani: Mwanamuziki R. Kelly akutwa na hatia ya kunyanyasa watu kingono

    Mwimbaji wa Marekani R Kelly amepatikana na hatia ya kutumia hadhi yake ya kuwa nyota wa muziki wa R&B kuendesha mpango wa kuwadhulumu kingono wanawake na watoto kwa zaidi ya miongo miwili. Walalamishi 11, ikiwemo wanawake tisa na wanaume wawili, walitumia wiki sita kuelezea udhalilishaji wa...
  3. R Kelly kwisha habari yake, akutwa na hatia

    Taarifa zaidi inafuata. R. Kelly convicted of racketeering and sex trafficking by a federal jury in New York By Sonia Moghe, CNN Updated 2103 GMT (0503 HKT) September 27, 2021 Hear the shocking accusations R. Kelly faced at trial CNN Huawei executive Meng Wanzhou hailed...
  4. Katika hili la tozo, Sioni hatia yoyote juu Rais wetu, Samia Suluhu Hassan

    Ni ukweli usiopingika hali ya maisha ya watu yamebadilika na imezidi kuwa mbaya zaidi, hali ya uchumi imeporoka sana wala hakuna pa kupumulia, na ni kweli vitu vimepanda bei kuliko mwanzo na Zaidi ya yote wananchi tumetwishwa Msalaba mkubwa wa Kulipia kodi kila huduma tunayoifanya hasa katika...
  5. Mashtaka ya Ugaidi: Shujaa wa 'Hotel Rwanda', Paul Rusesabagina akutwa na hatia. Ahukumiwa kifungo cha miaka 25

    Paul Rusesabagina aliyeonyeshwa kama Shujaa katika filamu kuhusu mauaji ya kimbari ya 1994 amekutwa na hatia katika Mashtaka yanayohusiana na ugaidi. Anatuhumiwa kuwa mfadhili wa kundi la waasi ambalo lilifanya mashambulizi Nchini Rwanda na kuua Raia kadhaa mwaka 2018. Familia ya Rusesabagina...
  6. Mbowe akikutwa na hatia kauli ya Dkt. Mollel juu ya mabomu ya Arusha itaunga dots

    Ni binadamu wachache sana wanaoweza kuunga dots na kupata what is what. Dkt Mollel ambae alishawahi kuwa mmoja wa viongozi waandamizi wa CHADEMA alishawahi kudai kuwa CHADEMA inahusika na ugaidi. Na ndio ilipanga njama za mabomu ya Arusha ambayo yalijeruhi watu na kuua watu. Leo hii Chairman...
  7. Kama akikutwa na hatia chairman Mbowe kufungwa miaka 15-20

    Kati ya makosa anayoshitakiwa nayo Mbowe mojawapo ni kufadhili ugaidi. Japokuwa anashitakiwa kwa makosa mengine lakini hili ndio kosa pekee linalomkabili yeye peke yake. Yale mengine ya kupanga njama za kufanya ugaidi ameundanishwa na watuhumiwa wengine. Kwa mujibu wa kifungu cha 13 cha POA...
  8. Haki: Ni heri kumsamehe mwenye makosa kuliko kumuadhibu asiye na hatia

    Katika utoaji haki kuna njiapanda mbili zinaweza kujitokeza. Moja ni uwezekano wa kumuadhibu, kumdhuru au kumuumiza mtu asiyekuwa na hatia amma kwa makusudi au kwa kudhani bila ya kuwa na ushahidi. Mbili ni uwezekano wa kumsamehe au kumuachia huru mkosaji kwa kutokuwa na ushahidi wa kutosha...
  9. K

    Viongozi wa serikali mnakwenda ibadani kufanya nini kwa mateso haya wanayopata watu wasio na hatia mabusu?

    Hivi kwa malalamiko haya yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu Tanzania tunadhani ipo siku Mama Samia ataweza kuwaletea Wananchi maendeleo? Watu wanakamatwa na kuwekwa maabusu bila hatia yoyote kwa maelekezo ya watu wanaokesha misikitini na makanisani, hatuoni Kama tunaliletea laana...
  10. Sheria haiwezi leta haki hata kidogo: Mtu kakiri kuua lakini mahakama Kenya yamuona hana hatia

    Serial Killer Acquitted: Phillip Onyancha, who confessed to killing 17 people in 2010, has been acquitted of a murder charge by High Court. Onyancha led police to different towns where he committed heinous acts, decomposing bodies were found. -- A suspected serial killer facing three murder...
  11. Rais Samia: TAKUKURU wamefuta kesi za kubambikizia 147, Polisi na nyie jitazameni

    Hii ni baada ya kutakiwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kuondoa kesi za kubambika. ==== Rais Samia Suluhu: Kwenye suala la wingi wa mahabusu, labda niseme kwamba jana nikiapisha majaji nililigusia hili, uharakishwaji wa kesi na nimezitaka taasisi zote ikiwemo jeshi la polisi ambalo...
  12. Kama kweli Sabaya ana hii hatia leo aburutwe Mahakamani

    Kama kweli alimteka na kumtesa kwa kipigo kikali Diwani wa Kata ya Sombetini, Bakari Msangi huko jijini Arusha basi alifanya kosa kubwa sana. Kwa mujibu wa tovuti ya Sauti Kubwa ni kuwa Bakari Msangi alienda kutoa msaada kwa vijana waliokuwa wamewekwa chini ya ulinzi na Sabaya na timu yake kwa...
  13. Anayopitia mdogo wangu wa kike siyo sawa na umri wake, inaniumiza sana...

    Ni mdogo wangu wa kike, anayoyapitia yananiumiza mimi kama kaka yake. Najiona mwenye hatia ndani ya nafsi. Wazazi wetu walifariki na kutuacha tukiwa wawili, tukiwa wadogo. Mimi kama kaka niliingia mtaani na nikaishi mtaani kama chokolaa, nilishuhudia na kujionea ni namna gani wanadamu walivyo...
  14. Askari DEREK CHAUVIN akutwa na hatia ya mauaji ya George Floyd

    Wazee wa baraza katika kesi ya mauaji ya mwafrika mmarekani George Floyd wanatarajiwa kurejea mchana huu na majibu ya hatia kwa mashtaka yote matatu. Derek Chauvin ambae alikuwa askari polisi alimwekea goti shingoni George Floyd kwa dakika tisa na sekunde 29 alipokuwa akimkamata na kusababisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…