hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Binadamu mnashindwaje hata na jogoo?

    Jamani ndiyo tunamalizia wikiendi natumai mko poa. Basi wikiendi ilivyoanza nikaona ni busara kwenda mtembelea bibi huko kijijini kwake Mwanzo Mgumu, nikapokelewa kwa kishindo. Basi bwana, bibi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji, nilipokuwa napumzika chini ya mwembe nikagundua jambo la kipekee...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Natamani siku ifike haraka hata kama ni kutoka tutoke tu, nimechoka!

    Natamani hiyo siku ifike haraka tucheze tumalize, hata kama tutatoka tutoke tu, nimechoka na hii mijadala! Yaani hii wiki moja ya kusubiri marudiano imegeuka na kuwa kama mwaka, dah! Tucheze tu, hata kama tutatoka siyo mwisho wa dunia.
  3. JamiiForums Tanzania Wakristo wengi huhofia mali kugawanywa pasu kwa pasu ndio maana hawaachani hata wakifumania wake zao

    Kwa waislam wengi mambo ya kuvunja ndoa yanamalizwa kimya kimya bila hata mahakama kuhusika, wapo wanawake wanaoenda mahakamani kudai haki za mali lakini ni wachache. Kwenye ukristo shughuli ipo tofauti, ndoa hadi inavunjika hapo ni kwamba mahakama imehusika na imeshatoa hati ya ndoa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba na De Agosto haina mvuto kabisa, bora hata wanapocheza na Ihefu

    Hii ni mechi ya kimataifa ila kiuhalisia utadhani hii mechi haipo kwani mvuto ni zero kabisa. Yaani ni afadhali wanapocheza na IHEFU. Hata hivyo, tuendelee kujadili mechi ya wanaume ya Jumapili hii huko Sudan tuachane na hii ya wachumba/warembo itayochezwa kwa Mkapa.
  5. JamiiForums Tanzania Inakuaje wazazi wenye tattoos mwili mzima wanazaa Mtoto asiyekuwa na tattoo hata moja?

    Hili swali nimejiuliza muda mrefu Sana lakini nimekosa jibu. Yaani mama amejaa tatoo mwili mzima baba pia amejaa wino mwili mzima lkn Mtoto anazaliwa Hana hata tone la tattoo. Wataalam wa sayansi nipeni msaada wa hili suala
  6. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu hana mgogoro na utawala, ana mgogoro na chama chake. Hata akirudi hajui atafanya nini

    Huku centre boulevards of Brussels bila shaka hii ni mitaa maarufu ambako Lissu anapendelea zaidi kutembelea! Au Kama yupo nje na Brussels huko Antwerp au Le ROI centre hawezi kukumbuka tena kurudi kwenye siasa za Tanzania. Miezi michache nyuma kilio Cha tundu Lissu ilikuwa ni kulipwa stahiki...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Yanga kurudiana na Alhilal: Mashabiki wa Simba wana hofu kuliko hata mashabiki wa Alhilal

    Huu ndio ukweli japo mashabiki wa Simba hawawezi kukiri. Yaani Simba wana hofu mara mbili kama siyo mara tatu ya hofu walionayo Alhilal na mashabiki wake. Mashabiki wa Alhilal wana hofu ya kawaida ya kimchezo kama ambavyo hata mashabiki wa Yanga wanayo. Hata hivyo, kwa Simba hofu iiliyojificha...
  8. JamiiForums Tanzania Yanga wakitaka wawanyamazishe mashabiki wa Simba S.C basi wakashinde Sudan hata goli 2 kwa 0 tu

    Nafikiri wakifanikiwa hapo basi watakuwa wamelamba dume na watatamba nchi nzima mpaka kule kwa General. Muhonzi sijui Muhumzi. Halafu watakuwa pia wamemnyamazisha hata na Jemedari.
  9. JamiiForums Tanzania Pole Mzee Kikwete, hii dharau wanayo hata black Americans kwa waafrika ndugu zao. Hawaangalii hata wa kuwafanyia Uhuni

    Kikwete aliongea akisikitika sana mpaka leo kutopewa picha ambayo alipiga na Rihanna. Miaka mingi baada ya tukio ameamua kutoa yake ya moyoni. Kiukweli kikwete alijitahidi sana. Alipiga picha na wasanii wengi wakiwemo boys 2 men. Kuna ambao aliweza pata picha zao akaja akapost na kuweka...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ana hali mbaya kuelekea 2025, Wana-CCM wanatamani wapinzani wapewe nchi. Anaweza asipate hata 30% ya kura

    Tangu nianze kufuatilia siass za nchi hii, sijawahi ona kiongozi wa CCM alie madarakani akikataliwa, kupingwa na kuongezewa vivyo sivyo kama Mama yetu wa leo. Kwanini hali hii? 1. Mama kulinganishwa na Mwendazake Mama kulinganishwa na Mwendazake na hapa ndipo hata baadhi ya wana-CCM...
  11. JamiiForums Tanzania Mgao wa umeme uliotangazwa na TANESCO kwa ajili ya ukame. Je, tutegemee mgao zaidi hata litakapokamilika bwawa la Nyerere?

    Nimeona vigogo wa TANESCO wakitutahadharisha watanzania kuwa kutokana na ukame uliolikumba Taifa letu, kutokana na mabadiliko ya tabia nchi, wamelazimika wao TANESCO kuanzisha mgao wa umeme nchi nzima, kutokana na mabwawa ya Kihansi, Mtera na Kidatu, kupungukiwa maji ya kuyajaza mabwawa hayo...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia akishiriki ufunguzi wa Mkutano wa World Innovation Summit for Health 2022, Qatar leo Oktoba 4, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki ufunguzi wa Mkutano wa World Innovation Summit for Health 2022 Multaqa Centre - Doha Qatar leo tarehe 04 Oktoba, 2022. Kufahamu ziara nyingine za Rais Soma Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe...
  13. JamiiForums Tanzania Asiyejua kupanda hatakula au atakula kwa tabu; Bei ya vyakula maumivu

    Wakati bei za vyakula zikizidi kupanda katika maeneo mbalimbali nchini, wakulima wametaja sababu tatu za hali hiyo, wakiitaka Serikali kuingilia kati. Miongoni mwa sababu hizo, eneo ambalo wanataka Serikali iingilie kati ni kufurika kwa wanunuzi wa nafaka kutoka nje ya nchi. Sababu nyingine ni...
  14. JamiiForums Tanzania Hata Bila ya Uchunguzi wa Polisi Aliyemshambulia Lissu atakuja kutajwa tu

    Polisi hawajawahi kuchunguza ni nani alimshambulia Tundu Lissu tarehe 7/ 09/ 2017 pale Dodoma. Wanatoa kisingizio cha kipumbavu kuwa mpaka wampate Dereva wa Lissu ambaye yuko Ubelgiji. Kwa namna nchi inavyokwenda tutakuja kujua ni nani aliwatuma, nani alikuwa kiingozi wao na nani aliyefyatua...
  15. JamiiForums Tanzania Hata uwe deep zaidi kwenye dini hizi dhambi za asili huwezi kuziacha

    Dini/madhehebu yapo kwa ajili ya kutufanya tuishi kwa amani na kutokutenda madhambi. Lakini kuna vitu hata uwe deep kwenye dini huwezi kuviacha kwa wepesi yaani ni ngumu sana. UZINZI Aisee kuchomoka hapa sio rahisi unaweza ukatoka masjid au umetoka kwenye mfungo wa siku nzima lakini ukafanya...
  16. JamiiForums Tanzania Rushwa na mizengwe kwenye chaguzi za CCM ni dhahiri kuwa hata kwa chaguzi kuu CCM hupita kwa rushwa

    Chama kilicho safi huwa kinakuwa na taswira nzuri kwenye jamii. Na huwa kinakuwa ndio kielelezo cha namna gani viongozi wanapaswa kupatikana na namna viongozi safi wanatakiwa kuwa. Sasa kama Chama tawala kwenye chaguzi zake viongozi wanapatikana kwa rushwa. Vipi kwenye uchaguzi mkuu?
  17. JamiiForums Tanzania Aina ya wanawake wasiotongozeka hata uwe na kila kitu (perfect man)

    Katika uchunguzi wangu kuna kundi la wanawake nimeligundua ni kundi ambalo halitongozeki hata uwe handsome vipi, umjue mungu vipi au uwe gentle kiasi gani. Wanawake hawa ukikutana nao barabarani usijisumbue kuwapata, ni sahau. 1. Mwanamke Anaeenda kukutana kimapenzi na mwenzi wake Ukikutana na...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia naomba usimsahau Elia Wilinasi hata kwenye ukuu wa wilaya

    Kwako mama yetu Samia Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Natumai umzima wa afya njema na unaendelea na shughuli zako za kiofisi. Mama, ndugu yetu Elia Wilinasi ni kijana safi mwenye weledi na mzalendo anayetamani kukitumikia chama cha mapinduzi katika ngazi za juu na taifa kwa ujumla...
  19. JamiiForums Tanzania Mwanamke akiwa hivi hata hamu ya michepuko ama kuongeza mke inapungua, unakuwa umepata pumziko sio majuto

    kwa ufupi nyumbani pakiwa hivi unapa miss sana, unamuwaza mke na watoto na unapata ari ya kuwapigania.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini kila Mwanaume ana Nyota ( Upepo ) wa Kuwapata tu Wanawake wa Mikoa fulani, ila mingine hata afanyeje huwakosa?

    Mikoa ya Wanawake wenye bahati ( upepo) nao ni wa Mikoa hii tu ifuatayo...... 1. Iringa 2. Ruvuma 3. Tanga Mikoa ambayo Kudadadeki hata nifanyeje iwe kwa Kudanganya ( Sound ) au hata nimaanishe ( niwe Serious ) hata kwa Kutoa / Kutanguliza Pesa siwapati na hata ikitokea nimewapata siusikii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…