hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ishu ya Umeme hata Dotto Biteko ameingia kwenye ulaghai wa maneno

    Tuliwaambia CCM haina kiongozi mwenye pure intelligence yaani AKILI NA UTASHI wa kubadili resources za Tanzania kuwa hela . Ni Majanga hilo Taifa. Huyu Biteko aliingia kwenye Uwaziri na akafikia hatua anawatoa TANESCO wasihudhurie vikao vyake kujadili TATIZO la Umeme kwa sababu TANESCO ni...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mke sio ndugu yako, siku ukifa, kwenda jela hata ndoa ikivunjika anaweza kupata mume mwengine lakini wanao na ndugu hawawezi kukubadili

    Hamjafika hata miaka 20 kwenye ndoa unapata wapi ujasiri huu wa kumpa mkeo hadhi ya undugu ? KWENU MLIOJISAHAU, TUNAKUMBUSHANA TU.
  3. JamiiForums Tanzania Tunatumia nguvu nyingi kumtafuta mungu ambazo hata hazihitajiki

    Katika Siku 7 je? Dhambi zinaweza kuondolewa kwa sasaa matatu? Ukisema ufuate sheria zote za katoliki ufakufa masikini maana itakulazimu kila siku uhuhudhurie kabisani. Je? Kwanini walitunga sheria ambazo kabisa walijua watu hawatazitimiza? Kuna watu wanatembea na bibilia au vitabu vya Quran...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Rais nakushauri tu achana na hii biashara ya kununua umeme Ethiopia

    Tunashuhudia unyanyasaji mwingi katika hizi za kutegemea huduma kutoka nchi zingine hususani pale ambapo mausiano ya kidiplomasia yanapozorota. Lakini pia Tanzania kwa sasa tunazalisha umeme zaidi ya maitaji yetu sasa mtu unapata ukakasi wa kuanza kununua kitu unachokizalisha. Kwa vyovyote...
  5. JamiiForums Tanzania Kila nikikumbuka aibu niliyoipata sitamani tena hata kuonana na yule binti

    Siku hiyo nilienda msibani ambapo nilifiwa na mjomba wangu, sasa kama unavyojua kwenye msiba ndugu mbalimbali hukutana. Na siku hiyo alikuwepo ndugu yangu ambaye alikuwa ni binti mrembo sana na tunafahamiana na kiukweli huwa namtamani sana. Wakati shughuli za mazishi zimekamilika, tukabaki...
  6. JamiiForums Tanzania Umefeli? Umekosa hata cheti uende Chuo cha Ualimu? Basi subiri uiingie Jeshini

    Anaingia JKT, anamaliza kozi za mafunzo, anapata Ajira Jeshi la Polisi . Anaendelea kufanya kozi Kadhaa wa Kadhaa, anapanda vyeo ,na kweli anakua hata OCD . Kama sio Sasa, ndivo ilivyokua . Kwa namna hii Kwa nini tusijitungie Sheria za kutulinda dhidi ya kushatakiwa pale tunapotimiza majukum...
  7. JamiiForums Tanzania Malalamiko ya Simba yangeweza kujadiliwa hata baada ya mechi na adhabu stahiki ingetolewa!

    Bodi ya ligi ilipaswa kutulia na kuyajadili malalamiko ya Simba kwa mujibu wa kanuni. Aidha ingethibitika kuna ukweli Yanga au mashabiki wake wamefanya ndivyo sivyo adhabu stahiki ingetolewa ikiwemo kupokwa points kama kanuni za adhabu zinataka hivyo. Bodi ni lazima itoe tamko la kikanuni...
  8. JamiiForums Tanzania Vita Huwa haipiganwi Huwa inachezwa,Na hata mafanikio katika maisha yanatafutwa kama mchezo tu hivyo usifuate sana sheria ichezee hela upate hela.

    Ukiwa mpiganaji na upo Frontline utagundua kwenye majibizano ya risasi Huwa ni kama mchezo Fulani wa kutoana wazimu yaani watu wanafyatua risasi ovyo kuelekea kwa adui sio kila risasi eti lazima uzingatie target nyingine unazipoteza tu juu yaani kiufupi unachezea risasi na kumbuka zote hizo ni...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hata Kama Ungekua Wewe Ungekubali Kufungwa Mara 5 Mfululizo Kweli?

    Ni kweli inauma ila lazima Muzoee
  10. JamiiForums Tanzania Mchungaji anayeheshimika ameshindwa kujibu maswali yangu hata akanitoroka.

    Huyu Mchungaji watu wanamweshimu sana kutokana na uwezo wake wa kuangusha watu kwenye madhabahu Kwa maombi makali, pia alikuwa vizuri katika kunena Kwa lugha. Siku moja alitaka anifanyie toba ili nipate kuokoka nami nikamkubalia Kwa masharti ya kunijibia maswali kadhaa naye alinikubalia na...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Je, ni kitu gani huwezi kukifanya kwa namna yoyote?

    Mi kuvaa sare za CCM au kuvaa manguo yenye picha ya Mama Abdul pia kubebeshwa bango lenye picha ya mama Abdul. Pia kushiriki kwenye mbio za mwenge. Bora waniue kuliko kifanya hayo. Wewe je?
  12. JamiiForums Tanzania Zalisha faida kwa uwekezaji mdogo katika UTT na Hati fungani

    Nipo zangu katika Site ya ujenzi ,Kuna wazo la Uwekezaji mdogo limenijia. Kwa wale wanaopokea mshahara wa kuanzia 250,000 hadi 450,000 Ambao hawapati nafasi ya kufanya biashara nje ya kazi yao. Wasio na Pensheni. Uwezo wa kuiweka hela na kuisahau. Fedha yenye maremgo ya miaka miaka mitano...
  13. JamiiForums Tanzania Huwezi kuja pata Amani katika Dini ya Uisilamu, Haina hiyo Misingi toka hata kwa Mtume mwenyewe

    Ni kudanganya Umma. Kuwa uislamu ni Dini ya Amani. Haina hiyo Misingi. Muhamad hakuwahi hubiri au sambaza upendo. Aliishi kwa upanga.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aufunga Mkoa Wa Tanga Kwa Muda .Watu Wafurika Mkutanoni hata sisiminzi hawezi kupata mahali pa kupitisha Mguu Wake..

    Ndugu zangu Watanzania, Huu ni zaidi ya upendo ndugu zangu watanzania ,haya ni mahabaa ambayo watanzania wanampatia Rais Samia. Huu ni upendo wa kukabidhi moyo kwa Mtu. Kwa hakika watanzania wametoa mioyo yao ya upendo na kumpatia Rais Samia. Huyu Rais Samia siyo binadamu wa kawaida hata...
  15. JamiiForums Tanzania Wahitimu msing'ang'anie kuomba kazi bongo pekee hata kama uridhiki na ajira uliyonayo muda haurudi nyuma fursa popote

    Hawa vijana wa singeli uenda bongo ndio tuna vijana wa hovyo kutwa kutumia bando kuangalia ujinga mda hauendi mtu analia connection connection connection haikufuati umelala kitandani ukiwa unapambana bongo usiache na kupambana nje pia nje hapa hitaji connection ili kupata kazi kule ni cv na...
  16. JamiiForums Tanzania Sijawahi kumkubali Mbunge Mrisho Gambo na hata Yeye anajua, ila leo niseme tu RC Makonda na hao Madiwani mmezidisha Chuki juu yake

    Nina Marafiki kadhaa huko Arusha na GENTAMYCINE huwa sipendi kuwahi Kumhukumu Mtu bila ya Kwanza kufanya Uchunguzi wangu wa Kinjagu (Kimosadi) ili Kujiridhisha. Nilichogundua ni kwamba Mbunge Mrisho Gambo amefanya mazuri kadhaa na yanaonekana ila mengi ambayo ameshindwa Kuyatekeleza ni kwasababu...
  17. JamiiForums Tanzania Roadmap ya karne hii ya kutokukosa hata shilingi mfukoni!

    Habari za Wadau wa JamiiForums! Salamu kwa wapambanaji wote wa maisha, wale wanaokimbiza ndoto zao bila kusubiri kesho ifike. Huu ni mwaka wa ushindi, mwaka wa kufungua milango ya fursa, mwaka wa kuhakikisha hakuna mfukoni mwetu unakosa hata senti moja! Kama unataka kuondokana na hali ya kuishi...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa hali ya kisiasa ilivyo nchini hakuna hata jimbo moja la uchaguzi nchini litaenda upinzani uchaguzi mkuu wa october 2025

    Kwa namna ambavyo ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025 ilivyotekelezwa kikamilifu na kwa ufanisi wa zaidi ya 98%, Ni wazi imani na kuaminika kwa serikali sikivu ya CCM kwa wananchi inaweza kua ni zaidi ya 100%, na hiyo itamaanisha na kuashiria kwamba, CCM inaweza kushinda uchaguzi mkuu wa October...
  19. JamiiForums Tanzania Ukimpiga simu baada ya maongezi akakata simu mpigiwaji hata nusu sekunde haijapita anaamanisha nini?

    Chawa wa mama mkae mbali na huu uzi. Iko hivi kuna wale watu ukimpigia simu yahn ile mnaagana unamalizia tu kuongea keshakata simu na hapo umepiga wewe. Hawa watu huwa wana maana gani?
  20. JamiiForums Tanzania Usingomaza unaongezeka kwa maana wadada hawataki tena kutii mabwana zao ila wakienda makazini hata boss akimtuma maji ya kunywa anasema "yes sir"

    Najua mnaweza kuja na claim ya kuwa unakuta bwana ni mkorofi, aaah waapi!? Ebu jaribu kuwa mpole wa kupitiliza uone jinsi gani mwanamke atakavyokuendesha. Tatizo kuwa hamtaki tena role ya "traditional woman" iliozoeleka katika mapenzi, mnataka mapenzi ya instagram, ukweli ni kuwa mwanaume...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…