Huyu ni mnyama mkali sana, mkorofi, na mwenye nguvu katika jamii ya paka.
Akiingia bandani, anondoka na kuku mzima na anaenda kula kichwa mpaka shingoni. Kama ni kifaranga, anakula chote au akikuta mayai ambayo bado kidogo ya yaanguliwe, ndio soshi wake.
Anakaa vichakani au porini, sehemu...