harmonize

  1. JamiiForums Tanzania Harmonize nimekunyooshea mikono juu you are talented..! Shuhudia collaboration mpya Marioo ft Harmonize..!

    Mimi nimeona nisiwe mnafki huyu mmakonde akitulia huwa anafanya unyama Sana, tangu asubuhi wimbo naurudia rudia tu. Japo marioo naye hajapoa lakini nachelea kusema harmonize kamfunika marioo Sana mule. Hii ni moja ya collabo bora Sana maana imejumuisha vichwa viwili na wala sio vilaza.. Kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Konde Gang: Sahau views laki 3 za Ibra ndani ya dakika 1, Harmonize kafikisha views Milioni 1.3 ndani ya sekunde 30

    Koh koh koh, yooooo jeshiiiiiiii , views for everibadeee Cha ajabu jamaa hajali kabisa na anajiona tembo, kapost kwenye page yake kujipongeza huku akila mafegi kho!! Kho!! Kho!! Views milioni 1.3 hizo ndani ya sekunde 30😳😳 ..... Koh koh koh, Konde gang mziki umewashinda kihivyo mpaka mnunue...
  3. JamiiForums Tanzania Harmonize ashauriwa namna ya kufikia mafanikio ya Diamond Platnumz

    Kama ilivyo kawaida, kwenye maisha, kila mtu ana nafasi au zamu yake ya kung’ara na kutaradadi. Ndivyo ilivyo katika maisha ya kila mtu haijalishi taaluma ama kitivo. Katika ukanda wa Afrika mashariki, tasnia ya Sanaa ndio inaendelea kukua kila uchao, huku wasanii wapya wakikaribishwa katika...
  4. JamiiForums Tanzania Tattoo ya Hayati Magufuli kwenye mguu wa Harmonize

    Huyu konde boy alimkubali sana JPM kama watanzania wengi walivyomkubali hadi akaamua kuchora bonge la tatoo mguuni Konde boy sio msaliti kama vijana wengi walianza kumnanga JPM alipofariki . Hii picha alipiga juzi kwenye Tuzo za kilimanjaro, ambapo alichukia Tuzo tatu USSR
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kinachomkuta Harmonize kurudiana na Kajala si kipya katika ulimwengu wa mapenzi

    Ahlan wa Sahlan Katika kuperuzi mtandaoni nimekutana na habari zinazotrend zinazomuhusu mwanamuziki Harmonize aka Bakhresa kuwa anapigana juu chini ili aweze kurudiana na muigizaji Kajala. Kwa haraka haraka mtu anaweza kusema kuwa Harmonize anatafuta kiki ili atrend mitandaoni ila kwa jicho la...
  6. JamiiForums Tanzania Harmonize anahitaji sana ushauri wa kisaikolojia

    Usiku wa jana kijana Harmonize kuna video zilisambaa na picha akionyesha kumsujudia Madam Ritha angalia hiyo picha hapo Chanzo cha kumuabudu mwanadamu mwenzake anasema eti Madam Ritha baada ya kumkataa bongo star search ndio amemfanya afike hapo alipo Kwa sasa hata mziki wake amekuwa hana...
  7. JamiiForums Tanzania Harmonize arusha jiwe gizani, asema "Bakhresa hana hulka ya kutembea na wafanyakazi"

    Msanii wa Bongo Flava, Harmonize ameandika kupitia mtandao wake wa instagram sifa za Bakhresa na kusema Bakhresa ni mchapa kazi na hachagui biashara yoyote na kumsifia zaidi kwa kusema hana hulka ya kutembea na wafanyakazi. Msanii huyo aliandika ujumbe mrefu wa kuelezea maana ya wimbo wake...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Sioni Dalili ya show ya "Afroeast Carnival" ya Harmonize kufanyika

    Mzee wa kuahirisha matukio Kaanza Konde Mgahawa sijui uliishia wapi, mwaka juzi baada ya kuzindua Afro East Mlimani City, akasema mwezi wa tano 2020 atafanya show taifa siku ikafika kimya, akaja tena na idea ya kufanya show siku tatu mfululizo mwezi wa 11, 2020 huku akipewa support na EFM siku...
  9. JamiiForums Tanzania Harmonize kaulamba

  10. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu: Diamond, Alikiba na Harmonize wafanye "show" ya pamoja ili kufanikisha mchango wa matibabu ya Joseph Haule

    Naam,hayawi hayawi yaweza kuwa. Katika suala la mshikamano katika jambo Fulani basi tofauti huwekwa pembeni na kuungana pamoja kutekeleza Hilo jambo kilolo mbele yenu. Tangu taarifa za kuumwa kwa legend P Jay zitoke nimeshuhudia maelfu ya watu wameguswa mno na taarifa hizo mpaka kufikia hatua...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Darasa na Jux wachukizwa na Harmonize kwa kuwataja kwenye shoo bila makubaliano

    Harmonize ameanza kuipigia promo show yake ambayo inafanyika mnamo wa tarehe 5 March, katika matangazo hayo amewa-list wasanii wengi wa nje na wa ndani, ila Jux na Darrasa wamem-maindi baada ya kuyaweka majina yao bila ya kuongea na management zao.
  12. JamiiForums Tanzania Cheed ana sauti ya kipekee

    Mimi ni shabiki sugu sana wa muziki haswa Bongofleva.Nilianza kuelewa muziki toka Niko mtoto Sana. Lakini toka nimeanza kufuatilia muziki kamwe sijawahi ona msanii mwenye sauti nzuri na iliyo tamu kupitiliza Kama ya Cheed wa Kondegang.Kiukweli huyu mwana kajaliwa na sauti ya kipekee ambayo Ni...
  13. JamiiForums Tanzania Harmonize aendelea kutumia mgongo wa Wasafi ku-survive kwenye game

    Bado anaendelea kutoa video akiwa-tag wababe wa muziki wa bongo WCB ili iwe rahisi kuwafikia watu wengi. Kiukweli kufanya muziki bongo bila support ya WCB hauwezi kutoboa.
  14. JamiiForums Tanzania Nyimbo bora kwa kipindi cha muongo mmoja Tanzania

    1. Harmonize -Atarudi 2. Harmonize -Sina 3. Harmonize - Mpaka kesho 4. Ibraah - Mapenzi 5. Rayvanny - Naogopa 6. Alikiba - Utu 7. Jux - Utaniua 8. Harmonize - Niambie 9. Harmonize - Never Give Up 10. Aniseti Butati - Usinikumbushe Kabla hujakosoa nikuombe kazisikilize halafu njo unipe hongera...
  15. JamiiForums Tanzania Premieres: Harmonize - Serious Love

    Track no 03 on High School The Album
  16. K

    JamiiForums Tanzania Staili mpya ya Harmonize kukohoa kwenye mdundo (Beat) inanikosha sana

    Nimetokea kuvutiwa/kunogewa sana na hii style mpya ya Harmonize ya kukohoa kohoa kwenye beat wakati akiwa anaimba, kweli huyu jamaa ni teacher kama anavojiita. Kudos kwa hilo.
  17. JamiiForums Tanzania Erick Omondi awataka mashabiki kutohudhuria tamasha la Alikiba na Harmonize

    Zikiwa zimebaki siku chache kufanyika kwa tamasha la Afro Vasha nchini Kenya, huku wasanii kutoka Tanzania Alikiba na Harmonize wakiwa kwenye orodha ya wasanii watakotumbuiza siku ya tarehe 11 na 12, mchekeshaji Eric Omondi amewaomba mashabiki kutohudhuria kwakile anachodai kwamba wanamuziki wa...
  18. JamiiForums Tanzania Je Harmonize atahimili visa alivyofanyiwa Alikiba?

    Mimi binafsi ni binadamu ambaye nikifika mwisho au nikisema inatosha, jua ama zako au zangu. Hakuna suluhu. Tafuta chaka lako la kujificha. Moja ya sifa za msanii King Kiba ni kuhimili mikikimikiki. Ni kuhimili nyakati ngumu na kukimbilia kusema kwa mama yake. Lakini ukweli msanii Harmonize...
  19. JamiiForums Tanzania Professor J asema tumemwachia Mungu ugomvi kati ya Diamond Platnumz, Alikiba na Harmonize

    Ugomvi kati ya mastaa wa bongo kutoka Tanzania, Diamond Platnumz,Harmonize na Alikiba umezidi kuongeza baada ya Harmonize kufichua mambo kadha wa kadha hivi majuzi. Ni ugomvi ambao umeshuudia na wengi pamoja na mashabiki wao, huku mashabiki wao wakiegemea upande waupendao na kuchukia baadhi ya...
  20. JamiiForums Tanzania Baba mzazi wa Diamond Platnumz Mzee Abdul Juma ametoa wito kwa mwanawe kuelewana na Harmonize

    Baba mzazi ya Diamond Platnumz, Mzee Abdul Juma ametoa wito kwa mwanawe kuelewana na mwenzake wa zamani Rajab Abdul Kahali almaarufu kama Harmonize. Alipokuwa kwenye mahojiano na Mbengo TV hivi majuzi, mzee Abdul alimsihi Diamond ashiriki kikao na Harmonize wazungumzie tofauti zao na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…