harmonize

  1. JamiiForums Tanzania Kaipiga mbele yao kila mtu hoi

    Hivi ndivyo staa wa muziki nchini Harmonize alivyoshusha burudani Mkoani Kagera usiku wa kuamkia leo katika wilaya ya Karagwe Na hii ni moja ya staili ya uchezaji wake ambayo imekuwa kivutio kikubwa kwa mashabiki zake
  2. JamiiForums Tanzania Harmonize; Sitaki kusikia eti wasafi na Diamond ndo wamenitoa kimuziki

    Akiongea na Obinna Tv nchini Kenya amesema huwa anachukia sana anapo ambiwa yeye Ametambulishwa Kimziki na wasafi pamoja Diamond. "Sitaki Kusikia jina Diamond Wala wasafi kwenye mahojiano yangu, Mimi mwenyewe Kwa Sasa nina Lebo yangu ya konde Gang, niulize kuhusu hilo tu na Mimi mwenyewe...
  3. JamiiForums Tanzania Ibra; Harmonize aliniblock kisa nilimpost diamond platinumz

    Kupitia kipindi Cha Transfoma pale EFM, Ibraah ambaye alitambulishwa kwenye mziki na Harmonize amesema anasikitishwa na kitendo Cha Harmonize kumblock kisa tu alimpost Diamond Platinumz. "naumia sana Harmonize Aliniblock Kila sehemu kisa tu nilimpost Diamond, ni mwaka Sasa umepita"
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wimbo mpya “Beautiful” wa Harmonize wafutwa YouTube

    Msanii Harmonize kupitia lebo yake ya Konde Gang ametoa taarifa kuhusu wimbo wake mpya “Beautiful”, baada ya kuondolewa kwenye mtandao wa YouTube. Kupitia taarifa hiyo, Konde Gang imesema wimbo huo umeondolewa YouTube kutokana na madai ya hakimiliki (copyright claim) yaliyowasilishwa na mtu...
  5. JamiiForums Tanzania Mwijaku amlipua Kajala! Kuongelea kushare penzi la Harmonize na Paula!

    Mchambuzi na mtangazaji wa burudani Mwijaku amemlipua vikali Kajala Masanja kufuatia mahojiano yake mapya ambapo alizungumzia tetesi za mwanaye Paula kuchangia ("kushare") penzi na msanii Harmonize. Mwijaku amemlaumu Kajala kwa kuruhusu mazungumzo hayo kuruka hewani, akimtuhumu kwa kutafuta kiki...
  6. JamiiForums Tanzania Harmonize Alishea Penzi Na Paula Kabla Ya Kajala Masanja, Kitaalamu Imekaaje

    Sakata la kale limeibuka upya na kuchafua mitandao ya kijamii nchini kufuatia madai mazito kwamba staa wa Bongo Fleva, Harmonize, alianza uhusiano wa kimapenzi na Paula kabla ya kuhamia na kufanya mapenzi na mama yake, Kajala Masanja. Zogo hili jipya limezuka baada ya video ya mahojiano ya...
  7. JamiiForums Tanzania Harmonize ana wimbo kauweka YouTube, Siku Mbili haujafikisha views 600! Sio 600K. Mia Sita!

    Mkamsaport kijana mwezenu.
  8. JamiiForums Tanzania Harmonize anapendwa sana, Hawezi kulipia Kupaisha Wimbo wake YouTube!

    Jeshi!
  9. JamiiForums Tanzania Harmonize jana arudi kupiga show za club na sio kuandaa matamasha tena

    Wakuu jana usiku wa kuamkio leo Kondeboy ameonekana visiwa vya Zanzibar akipiga show kwenye club moja ambapo watu walikuwa akisherehekea Christmas. Limekuwa jambo la tofauti sana kutoka Harmonize yule wa kuandaa concert kubwa leo hii karejea mitaani tena. Naona kuvunga wameshindwa na kumbe sisi...
  10. JamiiForums Tanzania Kwahiyo Harmorapa anatembelea nyota ya Harmonize?

    Hebu shuhudieni hiki kituko
  11. JamiiForums Tanzania Harmonize inakuwaje kusema wasanii tumewakosea wakati una album ya mtu aliyetukosea kabisa

    Huyu dogo umaskini ulikuwa haki yake na haki yake kabisa. Kukaa kimya watu wakufikirie bado unajikosha mbele ya maumivu ya watu walionyanyasika kwa kila aina ya maumivu. Kwa sasa dunia nzima ishawakataa mkaona kenya ni karibu,kumbe ghana nayo,ikaja naijeria na nchi nyengine. We si ndo ulikuwa...
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Harmonize: Mimi siwalaumu mashabiki wanakataa kushiriki kwenye show, watu wanamaumivu na kilichotokea

    Kheri Konde ameelewa kwa namna yake kwamba muda huu si wakulaumiana tena, yote haya yanatokea ni kwasababu watanzania wanamaumivu yalitokea Oktoba 29. ================== Harmonize ameongea na wanasema hawaendi kwenye show Zake tuache kuwaombea msamaha kwani kabla ya kuimba yeye alikuwa mcheza mpira
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Majizzo: Ni kweli tunataka kumpoteza Diamond, mtu muhimu; aliyewainua Harmonize na Rayvanny?

    Msamaha ninaoomba ni kwa sababu nafahamu kuna mahali wadogo zangu hawa walipitiliza na sio kwa sababu walifanya kampeni (ile ni haki yao na uamuzi wao). Najua kuna maneno yalikukera, sio katika level ya siasa, bali katika level ya utu. NAOMBA MSAMAHA. Soma: Diamond Platnumz: Fanyeni kazi...
  14. JamiiForums Tanzania Nguvu ya Umma: Harmonize ashusha video yake huko Youtube baada ya raia kususia kuitazama na kuambulia viewers wachache

    Harmonize tarehe 29 alipandisha ngoma mpya YouTube, badae ameona aifute kutokana Viewers kuwa chini ya 5k since then mpaka jana. Wananchi especially Gen Z wameona sio tu show zao hata kuwasapoti kwenye platform mbalimbali ni kitu hakitakiwi kwasasa, Wananchi wameamua kuwapuuza the so called...
  15. JamiiForums Tanzania Harmonize: Nampongeza Davido kwa kitendo cha kusimamisha show yake na kuiombea Tanzania

    Harmonize moja ya msanii ambaye anaungwana kwa raia mbali na kuwa upande wa CCM, ila anaheshimu sana watanzania wezanke tofauti na yule wa Tandale. Ndio maana hata maandamano ya Oktoba hakuna watu waliotaka kumuumiza konde, na kwahilo alilolifanya si mbaya! =========== Staa wa Muziki #Harmonize...
  16. JamiiForums Tanzania Watanzania mmepeleka moto mpaka Harmonize kaahirisha show yake ya Dodoma. Naona ujumbe umefika

    Wakuu, Naona Watanzania mmepelekea moto wasanii mpaka sasa imefikia hatua wanaahirisha show zao Tuko kwenye first stage ya Cancel Culture. Tukiendelea hivi tunaenda kutengeneza wasanii ambao watakuwa wanaguswa na kuwapazia wananchi sauti pale wanapokuwa na matatizo Kama huyu Harmonize hata...
  17. JamiiForums Tanzania Wamataizy: Nimeumia sana kumuona kwenye interview ya Mwijaku

    Nyota ya mtu inaweza kufifia lakini bado kuna watu wataendelea kuithamini na kuiona ni nyota bora kuliko zote. Amonaizy Wamataizy ni jina maarufu sana mkoa wa Kigoma hususani wilaya ya Kasulu. Binafsi nimemfahamu 2009 kipindi nafanya kazi kambi ya shirika la GTZ, ngoma yake ya kwanza inaitwa Ua...
  18. JamiiForums Tanzania Harmonize kadanganya mashabiki wake kuhusu album?

    Huyu mmakonde alisema tarehe 8 mwezi huu anaachia album kama kawaida yake huwa anaachia usiku wa kuamkia ijumaa Sasa mpaka Sasa hivi yupo kimya hata majina ya nyimbo hajapost je amewafanya mashabiki wake ni wajinga?
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Harmonize: Nimeghairi kugombea Ubunge, nitashindwa kutamka 'Bomboclaaaaty'

    Nimepitia Sheria za kamati ya Maadili ya Chama & Bunge Simuoni KONDEBOY kwa ninavyoona hata kusema BOMBOCLAAAATY sitoruhusiwa. Niwapongeze wana CCM mliojitoa Kutangaza Nia za Kugombea Nafasi Tofauti Tofauti Especially Vijanaa. DINI YENYE WAFUASI WENGI UJUE INAKUBALIKA. Tandahimba Chagua...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Harmonize asema atagombea Ubunge Jimbo la Tandahimba 2025

    Mwimbaji Staa wa Bongo Fleva Rajabu Adbul Kahali maarufu Harmonize ametangaza rasmi dhamira yake ya kwenda kugombea Ubunge wa Jimbo la Tandahimba Mkoani Mtwara ambako ndio alikozaliwa. Itakumbukwa October 15,2019, Harmonize ambaye kwa sasa ana-hit na wimbo mpya wa 'best couple', alitajwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…