harakati

The National Revival Movement Party (Azerbaijani: Milli Dirçəliş Hərəkatı Partiyası) is a political party in Azerbaijan. The party's leader is Faraj Guliyev, who is well-known politician. At the 2010 parliamentary elections, it won 1 out of 125 seats. In the 2015 parliamentary elections, it won 1 out of 125 seats.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Harakati za kuusambaza upendo, ngono na kuzimu. Mjue nabii David Berg na wana wa Mungu (CoG)

    Hii ni picha ya miaka ya 1970s. Unaowaona hapa kwa tafsiri ya haraka unaweza sema ni mabinti walio na furaha na tabasamu pamoja na amani mioyoni mwao. Picha hii ya pamoja ni ya waumini wakiwa pamoja na mchungaji au Nabii wao ,wakieneza injili ya neno la Mungu na kuhubiri UPENDO kwa watu...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwl. Mbelwa Petro: CHADEMA wanasadifu harakati za mnyama pimbi

    "CHADEMA wana harakati kama za mnyama pimbi, unawakuta juzi wanaimba NO HATE, NO FEAR!, jana wanaimba JOIN THE CHAIN!, leo wanaimba STRONGER TOGETHER!, kesho utawakuta wanaimba NO REFORM, NO ELECTION!, na bangi za Lema zikikolea kichwani anaanza kuwaimbisha wanachama TONE TONE mara NIMO...
  3. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kesi ya Lissu, harakati za ukombozi; CHADEMA kuweni macho na mamluki, "katika viwalavyo, na nguoni mwenu, vimo!"

    Hili ni angalizo la usalama kwa mustakabala mwema wa harakati za ukombozi na Mh. Lissu mikononi mwa watesi wetu: Kama huyu ni wakili msomi akiiwakilisha CHADEMA na mwamba kwa kipindi chote: "ama?!" Kwa hakika jopo la utetezi, mipango na mikakati nyeti ya mapambano haiwezi kuwa bwerere kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wa karibu na Mbowe ndo hao hao wapo G55 ina maana harakati zote , za kufungwa , kunyanganywa mali zilikuwa bortion?

    Unajua katika hii dunia trust no one . Haiwezekani watu wakufunge Wakunyanganye Mali Wakuite majina yote mbaya then baada ya hapo uwatangazie msamaha. Haiwezekani . #Kataa Ccm #No reform no Election.
  5. JamiiForums Tanzania Maulidi Kitenge , anatumika na CCM kufifisha harakati za upinzani , angalia anavyoripoti habari zinazohusu CCM na CHADEMA

    Hii Taarifa ya huyu diwani kuhama Ccm na kujiuzulu angalia anavyo andika. Ushauri endelea Ku-deal na michezo simba na yanga achana na siasa
  6. JamiiForums Tanzania Harakati za kukimbia Umasikini

    kitabu hiki kinaeleza mambo yafuatayo 1. Ni jinsi gani masikini wanaweza kuukimbia umasikini kwa kuchukua hatua madhubuti . 2. Kinafundisha nidhamu na kanuni za pesa kiundani. 3. Kinafundisha jinsi ya kutambua fursa, kufanya uchunguzi na kunitumia fursa vizuri. Kinapatikana kwa muundo wa soft...
  7. JamiiForums Tanzania HARAKATI ZA KUUKIMBIA UMASIKINI

    kitabu hiki kinaeleza mambo yafuatayo 1.ni jinsi gani masikini wanaweza kuukimbia umasikini kwa kuchukua hatua madhubuti . 2.kinafundisha nidhamu na kanuni za pesa kiundani. 3.kinafundisha jinsi ya kutambua fursa, kufanya uchunguzi na kunitumia fursa vizuri. Kinapatikana kwa muundo wa soft copy...
  8. JamiiForums Tanzania Harakati za wanyama na wadudu

  9. JamiiForums Tanzania Katika harakati za kujenga nyumba ulikutana na changamoto gani!?

    Ukiachilia uwepo wa Mafundi, na matilio kama mchanga, kokoto, sumeti na uwepo wa fedha!?
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jiunge na Harakati za Mabadiliko: CHADEMA Inakuhitaji Leo!

    🇹🇿 CHADEMA ni chachu ya mabadiliko tunayoyahitaji! Ni muda wa kujiunga na harakati kwa vitendo. Jiunge sasa kupitia kadi za wanachama zenye hadhi tofauti: Tanzanite, Diamond, Platinum, Gold, Silver, na Bronze. Kwa nini ujiunge? 🗳️ ✅ Kuwa sehemu ya uamuzi wa kitaifa ✅ Changia harakati za...
  11. JamiiForums Tanzania Ni katika harakati za kuhuisha, kuchanga upya kama sio kubadilisha kabisa mfumo

    Tulikua watu makini kama wa 4-5 ama 6 sikumbuki vizuri... (waandamizi wa jambo flani, sijui ni jambo gani ila ni kama jambo la maana sana) Tulikua tunakatiza mitaa fulani usiku huko kijijini, tukiwa katika njia ya vumbi inayotosha kupita gari, gafra ukaona kikosi/kikundi cha watu Sita...
  12. JamiiForums Tanzania Hapa ni wapi? Trafiki wadakwa kwenye video wakichukua Rushwa mara kadhaa

    Hapa ni wapi, hawa wanajulikana, Kamanda Mulilo, IGP Wambura hapana naona mtaharakisha kutoa press Release kama vile mwafanyaga kwenye matukio mengine. Zaidi kongole kwa camera man wa kujitegemea. Updates: Polisi yachukua hatua, yalaani vikali kitendo hicho
  13. JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa Tanzania wanaugua ugonjwa wa ukosefu wa 'logical thinking'; haimaanishi harakati ni mbaya, tuwasaidie

    Harakati Harakatini Msingi mkubwa wa haki za binadamu ni mapokeo ya Universal Declaration of Human Rights ya mwaka 1948 ambapo humo kuna vipengele 30 vya hizi haki za binadamu. Ni document ya page 8; yeyote anaweza kuisoma na kujionea kilichomo. Ukipitia hiyo document ya haki za binadamu...
  14. JamiiForums Tanzania Picha: Basi kuna mwanaharakati anaona wivu huko anatamani angeitwa yeye (niyeye)

    Kuna watu wanaugua nafsi zao wakimwona mjomba angu anafanikiwa katika juhudi zake za kulinda kikoba kwa wivu mkubwa. Kama mnadhani ni rahisi sana, anzisheni chakwenu. Makamanda najua mnamwelewa sana kamanda wa anga, mjomba angu. Makamanda msiache kutoa hela za uanachama, lipieni kadi zenu...
  15. JamiiForums Tanzania Lissu anavimbishwa mno Kichwa na Keybord Worrior

    Yule Maria Sarungi haijulilkani hata anaishi wapi na ni Gener wa Keybord Worrior. Humu sasa ndio kuna idadi isio hesabika ya Ma Keybord Worrior ambao front laini kamwe na daima huwezi waona na hutakaa uwaone. Lisu anavimbishwa kichwa sana na hawa Keybord worrior ambao Ujasiri wao uko kwenye...
  16. JamiiForums Tanzania Huyu mtu ni zawadi ya kipekee kwa Tanzania, ambayo Mungu ametupa. tusimkwaze na harakati zake. tushikamane naye

  17. JamiiForums Tanzania Utitiri wa Festival za Makabila Nchini: Tumeanza Harakati za Kujitenga Kimakabila?

    Mara kadhaa hapa chini yamekuwa yakifanyika matamasha au shughuliza kijamii zinazolenga makabila fulani kama WASUKUMA FESTIVAL. https://shinyanga.go.tz/new/rc-mndeme-ashiriki-tamasha-la-sanjo-ya-busiya-shinyanga WAHAYA FESTIVAL:https://www.youtube.com/watch?v=qR_H1N7bWjo WACHAGA...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa katiba iliyopo, still Lissu anaweza fanya harakati bila Chama, hilo linashindaka pia? Kuitisha maandamano huhitaji kuwa kwenye Chama cha siasa

    Ma Keybord worriour wenzangu, kwa katiba mbovu tulio nayo still bado hata bila chama unaweza anzisha harakati zako kikubwa uwe na watu nyuma yako. Unaweza hata ingiza watu Barabarani wakinukishe, sasa hili tunashindwa vipi? kwani ni lazima iwe ni ndani ya Chama? na hicho chama kiwe ni CDM...
  19. JamiiForums Tanzania Harakati za wagonga ulimbo kwenye kutafuta ajira

    Mbele yenu ni kijana wa kitanzania mpambanaji ninayechukia kukata tamaa, Kwani kukata tamaa ndio mwanzo wa umaskini. Leo nimeona nishare visa tunavyokumbana navyo wagonga ulimbo hasa graduates katika kutafuta ajira rasmi hasa sisi tuliotokea kwenye familia duni ambazo ikihitajika laki moja basi...
  20. JamiiForums Tanzania Maslahi binafsi yanayohujumu harakati na maisha ya vijana

    Huwenda nimechelewa kufahamu hili kwasababu ya umri wangu na uzoefu wangu, nimegundua Tanzania hakuna upinzani wa kweli. Vijana wanapoteza maisha yao, wanaumizwa hata kupotezwa, yote ni kwasababu ya kupigania haki sambamba na kuwa upande wa upinzani, ajabu viongozi wao wanafanya mambo kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…