Ombi langu kwa vijana ni kusitisha harakati zote za maandamano.
Maandamano yalishafanyika tena makubwa sana. Ujumbe ulishatumwa. Watawala wameshafahamu kuwa wananchi wameshachoka na uhuni uliokuwa ukifanyika wa mazingaombwe ya kura, ufisadi, uminywaji wa haki, utekaji na mauaji.
Watawala...