haraka

Dupuya haraka is a species of legume in the family Fabaceae. It is found only in Madagascar.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Waliobuni, kujenga na kusimamia mradi wa mwendokasi jangwani wakamatwe haraka na kushtakiwa kwa kuhujumu uchumi!

    Inaniuma sana kuona mimi raia wa kawaida kabisa nisiye na taaluma yoyote ya mambo ya ujenzi ninaweza kufikiri hatari ya kujenga pale jangwani kwani inajulikana kabisa kuwa ule ni mkondo wa maji iweje watu waliosomeshwa na kuishi kwa kodi zetu wakaaminiwa kama wataalamu na viongozi wetu wakajenga...
  2. JamiiForums Tanzania Kama kucha zako zimevimbiana hivi (clubbed) wahi haraka kumuona daktari, unaweza kuzima muda wowote.

    Kuna wataalamu wa afya wanasema kucha za vidole vya mkono zikiwa zimevimbiana hivi(clubbed) ujue wewe ni sawa mfu anayesubiriwa kufukiwa wakati wowote. Kwamba kimojwapo, kadhaa au vyote kati ya Moyo, mapafu, figo au ini viko taabani.
  3. JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa Kike (House Keeper) Anahitajika Haraka. Mshahara Mzuri

    House KEEPER ANAHITAJIKA. Umli miaka 22-30 Kituo Cha kazi ni Mikocheni Daresalaam Kwa mawasiliano zaidi Mshahara Mzuri + malazi + huduma zingine kama ukiumwa nk. Karibu sana UPDATES : maombi yanafanyiwa kazi yaliyotumwa, hivo tusiendelee kutuma. Asanteni sana wakuu.
  4. JamiiForums Tanzania Katika matibabu sindano zinafanya kazi haraka na kwa ufanisi kuzidi vidonge.

    Kama unapitia changamoto ya ugonjwa kukurudia Mara Kwa mara au kutopona . Mfano marelia , Typhoid, UTI n.k Ikiwa umetumia vidonge Ila haujafanikiwa kupata matokeo chanya Kwa haraka ebu jaribu sindano . Sinadano zinatoa majibu Kwa haraka japo ni gharama na zinaumiza Ila zinasaidia Sana...
  5. B

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Msaada wa haraka wapendwa, mgonjwa wangu anahitaji Upasuaji MOI na familia haina fedha

    Nawasalimu ndugu zangu. Samahani kwa usumbufu, kaka yangu alipata ajali mbaya sana ya pikipiki akiwa kwenye mizunguko yake. Aliumia hasa, akapelekwa Taasisi ya MOI, ndugu tumepeleka hela nyingi tuzizochanga familia yetu ni duni sana zimeisha kwenye vipimo, sasa tangu Ijumaa amegundulika...
  6. JamiiForums Tanzania Nina maumivu makubwa moyoni, hadi nimepata mawazo mengi mabaya kiasi cha kutamani kujidhuru

    UPDATED 18 JAN 2025 GOD BLESS ME
  7. D

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji brevis au mark x ya haraka, bajeti yangu 7m hadi 10m kutokana na model na ubora wake.

    Habarini wana jamvi, Ninahitaji mark x au brevis kwa bajeti ya milion 7 hadi 10 kutokana na ubora na model itakayopatikana. Tafadhali, mimi ni mzoefu wa magari hivyo ukija na deal ni bora uwe serious. Ninauhitaji wa haraka kidogo kwa ajili ya matumizi binafsi. PM ipo wazi au unaweza kunipa...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Breaking News Wafanyakazi wa ofisi za kituo cha television cha Al Jazeera wakimbia ofisi zao haraka, yadaiwa ni hofu dhidi shambulizi la IDF!

    Wadau hamjamboni nyote? Hajulikani nani aliyetoa taarifa hiyo iliyoleta taharuki hiyo ila hadi muda huu ofisi hizo huko Beirut zimebaki tupu baada ya Wafanyakazi wote kukimbia ili kuokoa maisha yao Taarifa kamili tutawaletea October 17, 2024 Al Jazeera office evacuated in Beirut after...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Netanyahu asema umoja wa mataifa lazima iondoe haraka majeshi yake Lebanon, asema uwepo wao unasaidia kuimarisha magaidi ya Hezbollah

    Wadau hamjamboni nyote? Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyau ameicharikia UN na kuitaka iondoe mara moja majeshi yake Lebanon akiashiria yamekuwa kikwazo kwenye operesheni za kijeshi dhidi ya magaidi hao. Netanyahu amemueleza Antonio Guterres Katibu Mkuu wa umoja wa mataifa katika ujumbe wa...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume waliotalaka wake zao, hutumia watoto wao kutongoza wanawake wapya? Je wanakuwa wanapenda au ni matapeli tu?

    Dada: money penny nisaidie Money penny: ndio boss Dada: nimekutana na kaka mmoja, juzi ijumaa, tukaanza kuchat akasema anatafuta mke wa kuoa Money penny: ndio boss Dada: tumeongea kwa simu for hours siku ya kwanza, jioni yake akampa simu mwanae anisalimie tukaongea na mwanae muda wa dk 15...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kontena 47 za ft 20, Kontena 23 za Ft 40 zinahitajika haraka

    Tajiri yupo Dar es salaam. Ananunua Kontena za Ft 20 na Ft 40. Ziwe katika Hali nzuri. Baada ya makubaliano, Usafiri ni juu yake. Atasafirisha kontena zilizopo Nje ya Dar es salaam. Zinahitajika haraka. Wahi mapema. Kwa mawasiliano Piga 0753021619.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Unapozidishiwa chenji huwa unarudisha au ndio wimbo wa Albert Mangwear "kimya kimya" mwendo wa haraka mbele

    Katika mihangaiko ya hapa na pale unaweza kwenda dukani ama sokoni inapotokea muuzaji kakuzidishia 'chenji" unachukua hatua gani!?? Binafsi huwa narudisha Wewe je? Wafanyabiashara wanapitia changamoto sana
  13. JamiiForums Tanzania Ipi ni njia sahihi ya kuendelea kutoa pesa kwa ajil ya matumizi ya mtoto?

    Ipi ni njia sahihi ya kuendelea kutoa pesa kwa ajil ya matumizi ya mtoto? Nimezaa na Binti mmoja kutoka SINGIDA kiufupi Nalazimishwa kufunga ndoa na mhusika lakini Binafsi sipo Tayar ktk Hilo kutokana na tabia alizokuwa kuwa NAZO. Huyu Binti amekuwa Jeuri, kiburi, hashauriki kwachochote Mm...
  14. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA na vyama vingine chukueni mwelekeo huu haraka kabla ya uchaguzi, mtanishukuru baadaye!

    Nchi hii ni yetu sote. Kwa mantiki hiyo kila mmoja anao uhuru wa kutoa maoni bila kuingiliwa maadamu havunji sheria. Nazungumza na Chadema kama mwakilishi wa vyama vingine vya upinzani nchini Tanzania. Kila chama kinatamani kushinda uchaguzi na kuunda Serikali. Zitto Kabwe ametoa wazo la vyama...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa rehabilitation centre (rehab) inayopatikana Boma Ng'ombe Karibu na KIA, Kilimanjaro

    Inakuwaje wanajamvi? Matumaini yangu wote mu bukheri wa afya na mnaendelea vema na pilka pilka za kila siku. Naombeni msaada kwa yoyote anayejua rehabilitation centre (rehab) ambayo inapatikana Boma ya Ng'ombe Karibu na Kia kilimanjaro. Please Wadau naomba maelekezo kwa yoyote anayeijuwa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia uliomba ripoti ya "haraka" kuhusu utekaji nchini! Haraka ni muda gani?

    Kumekuwa na utamaduni wa kudanganywa hata na uongozi wa juu. Mama Samia aliomba riport ya kutekwa tekwa kwa watu nchini. Cha ajabu hakuna mtu anaongelea ripoti na wengi kujisahaulisha. Isije ikawa tena tunadanganya danganywa na uongozi wa juu. Chunguzi nyingi za utekaji hazifanyiki maana...
  17. JamiiForums Tanzania Mwambieni Jean Othos Baleke aje haraka sana atuombe Msamaha Simba SC, akikaidi Kocha Gamondi ataendelea Kumkandia aione Tanzania Chungu

    "Nitakuwa ni Kocha wa ajabu niache Kuwapanga akina Dube na Mzize ambao wananionyesha bidii kubwa kuanzia Mazoezini na hata katika kila Mechi ambazo huwa nawapanga halafu nimpange Baleke ambaye hata nikimpa tu nafasi kwa dakika chache hakuna anachonipa" amesema Kocha Mkuu wa Yanga SC Miguel...
  18. JamiiForums Tanzania Tanganyika Tunapigwa na kitu kizito, tujitafakari.

    Nina huzuni na kushangazwa na hali ilivyo sasa. Wale waliouwawa, waliotekwa, na waliopotezwa ni watanganyika. Wale wanaoandamana kwa amani, ni watanganyika, na polisi wote ni watanganyika pia. Wale wanaoamuru polisi wa Tanganyika kuwapiga na kuuwa watanganyika ni Waziri wa Mambo ya Ndani na...
  19. JamiiForums Tanzania Watanganyika amkeni tujitafakari haraka ! Tunapigwa na kitu kizito

    Nina huzuni na kushangazwa na hali ilivyo sasa. Wale waliouwawa, waliotekwa, na waliopotezwa ni watanganyika. Wale wanaoandamana ni watanganyika, na polisi wote ni watanganyika pia. Wale wanaoamuru polisi wa Tanganyika kuwapiga na kuuwa watanganyika ni Waziri wa Mambo ya Ndani na Rais wote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…