haraka

Dupuya haraka is a species of legume in the family Fabaceae. It is found only in Madagascar.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mohamed Hussein na Shomari Kapombe hawajui kurusha Mpira kwa haraka?

    Hawa mabeki wawili wa Simba. Yaani ni Wazito sana kurusha Mpira ndani ya uwanja. Huwa nawaona kama vile hubabaika bila ya kujua wamrushie nani Mpira.
  2. JamiiForums Tanzania ATC Anzisheni haraka route ya Dar to JFK New York USA

    Shirika la ndege Tanzania- ATC Anzisheni haraka safari za kutoka Dar/Kilimanjaro kwenda JFk New York USA, sababu Kuna abiria wengi sana Toka USA kuja Tanzania. Changamkeni
  3. JamiiForums Tanzania Kuchumbia kwa miaka au kufunga ndoa haraka: Njia gani inahakikisha ndoa imara?

    Katika zama hizi, kuna mijadala mingi kuhusu muda unaohitajika kabla ya watu wawili kuamua kufunga ndoa. Wengine wanaamini kwamba muda wa uchumba wa miaka kadhaa ni muhimu ili kufahamu tabia halisi za mwenza wako na kuona kama mnaweza kuishi pamoja kwa maisha ya ndoa. Lakini pia, kuna wale...
  4. JamiiForums Tanzania Vita ya Kagera: Nimemaliza kutoa Mahari, Simu inaita naambiwa haraka niende Vitani

    Wallah hili lilikuwa ni moja ya jaribu zito maishani mwangu. Baada ya kukata ile simu nlikuwa kama nimemwagiwa maji ya baridi. Nlinywea.... Nakumbuka mshenga na mjomba wangu walikuwa wa kwanza kuniuliza "Yusuf umepatwa na nini ?" Nlianza kuwaza ina maana sasa yule binti nitamwoa au inakuaje...
  5. JamiiForums Tanzania Jenerali wa zamani wa Marekani atoa wito wa kuondolewa mapema kwa Biden

    Luteni Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Marekani Michael Flynn amemtaka Makamu wa Rais Kamala Harris kutekeleza Marekebisho ya 25 ili kumzuia Rais Joe Biden kutoka "kulala usingizi" katika vita vya tatu vya dunia baada ya kuiruhusu Ukraine kutumia makombora ya ATACMS kushambulia ndani kabisa ya...
  6. JamiiForums Tanzania Hizi ndizo sababu za vijana kufa haraka (pre mature death)

    Naona vijana sasa wanakufa utadhani kuna mashindano wanayafanya. Magonjwa ya ghafla Ajali Vifo vya usingizini n.k Sababu hasa ya vifo hivi ni nini? 1. Zinaa na ulevi. Mithali 6 : 32 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake. For read more download...
  7. JamiiForums Tanzania Biblia ilivyosema msinyimane nadhani ilimlenga zaidi mwanamume kwa sababu ndo humkinai mke haraka

    japo ni ushauri wa mtume paulo ila kwetu sisi wakristo tunamuona kama ni mtu muhimu nyaraka zake tunazitumia yeye alisema kwamba wanandoa wasinyimane penzi. Nachokiwaza mimi aliyekuwa anaombwa kuwa na uvumilivu ni mwanaume kwa sababu wanandoa wakizoena na kuishi pamoja mume huanza kumuona mke...
  8. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu anasumbuliwa na shoga. Je, achukue hatua gani za haraka ?

    Wakuu niwape pole kwa maafa yalioikumba nchi yetu kufatia kuporomoka kwa jengo la biashara mjini dar es Salaam mitaa ya kariakoo na pia natoa wito kwa vyombo kuharakisha uokozi ili watu walio chini wafikiwe haraka na wakutwe wako Hai Sasa baada ya utangulizi huo niende kwenye mada kama...
  9. JamiiForums Tanzania Majengo mengi Kariakoo yanapaswa Kubomolewa haraka! Nyumba za Makazi zimegeuzwa Stoo za Mizigo mizito

    Ubovu wa Majengo ya Biashara Kariakoo: Hatua za Haraka Zinazohitajika kutoka Serikalini Kariakoo, mojawapo ya maeneo yenye shughuli nyingi za kibiashara jijini Dar es Salaam, inakabiliwa na changamoto kubwa ya majengo mabovu. Majengo haya, ambayo awali yalijengwa kwa matumizi ya makazi, sasa...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuharakisha uokoaji Kariakoo

    Niende moja kwa moja kwenye mada. 1. Zije tipper trucks 10, mizigo yote iliyopo ndani ya jengo na nje ya jengo yote itolewe. Hili zoezi lingeweza fanyika toka jana, ila limezembewa, huwezi fanya uokozi na mzigo mzito bado upo juu ya jengo, jengo litaendelea titia. 2. Matofali, mabati, mbao, na...
  11. JamiiForums Tanzania Napendekeza waanze haraka sana hili Zoezi na Mwamposa na Mwacha kwani nina uhakika nao wana Changamoto hii tajwa na Padri Sanga wa SAUT Mwanza

    Baadhi ya wasomi wa Biblia na viongozi wa dini wameshauri kitengenezwe chombo kitakachofuatilia mienendo ya wahubiri na wachungaji pamoja na kuwapima afya ya akili kabla ya kuruhusiwa kuhubiri. Ushauri huo umetolewa leo Alhamisi Novemba 14, 2024 kwenye kongamano la kiukemene kujadili imani moja...
  12. JamiiForums Tanzania Iringa: Polisi yaanza uchunguzi mauwaji ya Katibu wa CCM Kilolo

    Hivi nchi yetu tunaelekea wapi jamani? Maana matukio ya kutisha yanazidi kutoea. Haya Jeshi la Polisi mkoa wa Iringa limeingia kazini kufuatailia tukio la katibu wa CCM aliyeuwawa leo, Je watachukua muda gani kuja na majibu na pengine kuwakamata hao wauwaji? ================== Jeshi la Polisi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Laptop yangu nikiwasha inaandika Operating system not found

    Wakuu habari, laptop yangu nikiwasha inaandika Operating system not found! TATIZO linaweza kuwa lipi na jinsi gani ya kufix Hilo TATIZO? NAOMBA KUWASILISHA
  14. JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka Cursor haitembei

    Wakuu za jumapili. Laptop yangu aina ya HP, Leo imezingua sjui nmebonyeza wapi, cursor haitembei ,imestuck. Naombeni msaada please maana Nina kazi za kiofisi inabidi nizikamilishd
  15. JamiiForums Tanzania Mke mwenye hizi sifa 16 anahitajika haraka

    Vigezo; 1. Miaka 30 Mpaka 41 2. Amezaliwa Mara ya Pili. 3. Amejazwa Roho Mtakatifu. 4. Amebatizwa Maji Mengi. 5. Anaipenda na Kukubali Huduma ya Boniface Mwamposa Pamoja na Mitume na Manabii Wote Wenye Makanisa. 5. Aliye Tayari kuwa Mama Mchungaji. 6. Aliye Tayari kuishi mazingira Yoyote...
  16. JamiiForums Tanzania Kama ulifanya huu mchezo na bd upo kwenu Toka haraka.

    Kama ulifanya huu mchezo na bd upo kwenu Toka haraka
  17. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Tatizo la Mahusiano na Usaliti Kazini

    Hello team. Naitwa Mussa, naishi Temeke, Dar es Salaam. Nina mpenzi wangu ambaye anatoka Kanda za Juu, na mama yake anatoka huko pia. Sasa tatizo ni kwamba kazini kwake anatoka na boss wake kwa siri sana, na nimegundua hilo. Pia, boss wake ameoa. Sasa anataka kumtema mpenzi wangu, ila huyo...
  18. JamiiForums Tanzania ANAHITAJIKA MTU WA MARKETING IN SOCIAL MEDIA HARAKA.

    Happy Sunday Binti wa sales and marketing (msichana) anahitajika kwenye kampuni. Hakuna vigezo vingi -awe anajua vizuri kutumia social media (instagram, facebook, x (twitter), ticktock nk. -Awe anajua vizuri kufanya sales na on time in social media. location : Darces salaam Salary kwa...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Kuna jambo zito linawakabili vijana wa kiume wa Arusha. Msaada wa haraka unatakiwa

    Ndugu zangu Hapa Arusha kuna shida kubwa sana kwa upande wa watoto wa kiume hasa vijana ambao ni nguvu kazi ya Taifa. Vijana wa kiume hapa Arusha hawapendi kufanya kazi na kujiingizia kipato. Vijana wa kiume wa Arusha wamekumbwa na Kampeni ya kuolewa na wanawake wenye umri mkubwa maarufu kama...
  20. JamiiForums Tanzania Ukweli wa fedha za haraka: Tunadanganywa au ni kawaida ya kila mtanzania kununuliwa ndoto?

    Kila siku tunazungukwa na matangazo na hadithi za kupata “hela chap chap” – mara biashara ya mtandaoni, mara crypto, mara forex, na nyingine nyingi zinazoahidi mkwanja wa haraka. Kila mtu anatamani kutoka kimaisha, na hivyo ndivyo tunavyovutwa kwenye hizi fursa. Lakini swali ni, ni kweli kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…