haraka

Dupuya haraka is a species of legume in the family Fabaceae. It is found only in Madagascar.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Haraka kwa Serikali ya Tanzania:Ujenzi wa Barabara kuu ya YMCA kwenda Hospital ya Rufaa ya Kanda ya KCMC ,yenye urefu wa kilometer 2.6 tu.

    Tunaandika kwa huzuni na wasiwasi mkubwa kuhusu hali mbaya ya barabara kuu inayounganisha roundabout ya YMCA mjini Moshi na Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini ya KCMC. Barabara hii yenye urefu wa kilomita 2.6, ambayo ilijengwa mwaka 1971, imekuwa kizuizi kikubwa kwa huduma za afya na...
  2. JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Pugu, Kinyerezi na Viwege tunalaza magari barabarani kutokana na ubovu wa miundombinu

    Sisi Wakazi wa maeneo ya Viwege na Pugu Kinyamwezi, Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam tumekuwa na changamoto ya kuwa na barabara mbovu, ikinyesha mvua ndio kabisa hali inazidi kuwa mbaya kuliko maelezo. Barabara za mitaani kwetu zimeharibika vibaya, hali inayotulazimu kulaza magari mbali na...
  3. JamiiForums Tanzania Nahitaji mkopo wa haraka

    Jaman nani anaweza nisaidia kupata mkopo wa milion 5 kutoka kwa mtu binafsi kama inawezekana naomba tuwasiliane 0748469897
  4. JamiiForums Tanzania Kwa hii kauli ya Wenje, Msajili Ashurutishe Vyama Vya Siasa Kuchapisha Taarifa zao za Kifedha Haraka Sana

    Sheria ya vyama vya siasa inataka vyama kupeleka taarifa zao za kifedha kwa msajili kila mwaka; kwakuwa vyama hivi vina maslahi kwa nchi, ningependekeza ofisi ya msajili kuzitoa taarifa hizo kwa umma wa watanzania, kuna viongozi wanastahili kufunguliwa kesi za matumizi mabaya ya fedha za umma...
  5. JamiiForums Tanzania Kenya: Wananchi na Watetezi wa Haki za Binadamu waanza Maandamano ya kupinga Utekaji na kutaka Waliotekwa kuachiwa haraka

    Maandamano ya Kupinga vitendo vya Utekaji yaliyoitishwa na Wanaharakati wa Haki za Binadamu na Ndugu na Jamaa wa watu walioripotiwa kutoweka katika mazingira yenye utata, yameanza leo nchini humo licha ya Jeshi la Polisi kuyaita ni haramu. Hatua hiyo inafuatia kupita Saa 48 za wito wa kuachiwa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bunda: Hali ya Barabara inayokwenda TBC - Mnara wa Vodacom si nzuri, inahitaji matengenezo ya haraka sana

    Barabara ya ‘Mnara wa Vodacom’ inayochepuka kutoka barabara mpya iendayo Butiama-Nyamuswa-Ukerewe imekuwa kero kwa wakazi wa Ligamba mtaa wa Ligamba ‘A’—Wilaya ya Bunda, Mara. Barabara hii, licha ya kuelekea kwenye minara ya Vodacom na ofisi za TBC pamoja na minara ya TBC, haijawahi kufanyiwa...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu afukuzwe CHADEMA haraka

    Nimeona mchakato huu usipite bila kutoa neno japo dogo kwa kuanzia. Kwa mambo aliyofanya na kusema mpaka sasa, kuna jambo moja pekee ambalo ni muafaka kwa Tundu Lissu nalo ni Kufukuzwa CHADEMA. Kwetu sisi tunaomfahami hasa maisha yake nje ya media, tunajua kuwa ni Muongo na mjanjamjanja sana...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais Putini anataka kukutana haraka iwezekanavyo na Rais Trump ili kujadiliana jinsi ya kumaliza mgogoro wa Ukraine

    Trump says Putin wants meeting to discuss Ukraine war “President Putin said that he wants to meet with me as soon as possible,” says Trump during an address in Arizona Servet Gunerigok |22.12.2024 - Update : 23.12.2024 WASHINGTON US President-elect Donald Trump said on Sunday that Russian...
  9. JamiiForums Tanzania Trump: Putin anataka tukutane tumalize vita ya Ukraine haraka iwezekanavyo!

    Rais Putin anasema anataka kukutana nami haraka iwezekanavyo," Trump alisema katika kongamano huko Arizona. "Kwa hivyo itabidi tusubiri, lakini lazima tukomeshe vita hivi. Vita hivi vinatisha, vinatisha." Trump, ambaye atarejea Ikulu ya White House mwezi Januari, awali alisema wakati wa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Propaganda ya Mbowe na Lissu imeongeza umaarufu wa CHADEMA kuelekea uchaguzi Kwa haraka sana!

    Hellow! Naona CHADEMA imeamua kutumia njia hii ya propaganda Ili kusababisha iteke tena mijadala yote kisiasa na vinywa vya watz baada ya kuepuka kifo Awamu ya Magu. CHADEMA imefanikiwa Kwa wiki hizi chache kurudisha umaarufu wao haraka kuelekea uchaguzi. Na propaganda hii inaenda...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini vifurushi vya Internet vinaisha haraka

    Naomba mnisaidie, kwa miezi kadhaa kabisa nikinunua kifurushi cha mwezi cha internet kinaisha hata wiki hainaisha wakati Natuma jioni tu Tena kwa Kiasi kidogo kwani mchana huwa ni atumia WiFi ya ofisini. Vipi nyie wenzangu?
  12. JamiiForums Tanzania Mbeya: Kata iliyokosa Shule, Serikali yaanza ujenzi haraka

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Cde: Juma Z. Homera amekagua Ujenzi wa Shule Tarajali ya Sekondari iliyoko Kata ya Kawetele Halimashauri ya Wilaya ya Rungwe na kuwataka Wananchi kuwa Wasimamizi na Walinzi wa Vifaa vya Ujenzi na Kwa wale wasio waaminifu kuacha mara Moja tabia ya Wizi kwa kuwa kufanya Kwao...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Asad asema hakuwa na mpango kukimbia na kuwatelekeza watu wake ila Jeshi la urusi ndilo lilimuondoa nchini Syria kwa ajili ya usalama wake

    Wadau hamjamboni nyote Rais Asad amevunja ukimya na kusema hajakimbia Syria na kuwatelekeza watu wake ila warusi ndiyo waliomuhamishia nchini kwao baada ya kambi yao ya kijeshi kushambuliwa vibaya na waasi Isingalikuwa warusi kumuondoa nchini Syria kwa nguvu basi angeliendelea kupambana hadi...
  14. JamiiForums Tanzania Nani anajua nauli ya kutoka Kigamboni mpaka Kisiju

    Nimepata dhalura Kesho ahsubui natakiwa kwenda kisiju na alienipia maelekezo hapajui Ila nikifika bodaboda Toyote anapajua. Sasa nani anajua nauli ya kutoka pale mkuranga mpaka kisiju anisaidie Ni issue muhimu sana Nimefanikiwa
  15. D

    JamiiForums Tanzania Nilichogundua mke kuolewa siyo bahati bali awe na sifa hana tofauti na kiwanja sehemu nzuri kununuliwa ni chapu kwa haraka kuliko magumegume

    Wanaosema kuolewa ni bahati huwa wanajifariji tu! Ukweli ni kwamba kuwa mke wa mtu ni vigezo na sifa maalum ambavyo siyo kila mwanamke anavyo! Kutokuwa malaya haina maana unasifa moja kwa moja kuwa mke wa mtu bali hii ni tabia njema ingawa siyo tiketi ya kuolewa! Mwanamke mwenye sifa ya...
  16. JamiiForums Tanzania Gharama za Maisha Dodoma: Mabadiliko ya Haraka Yanavyowatesa Wakazi Baada ya Serikali Kuhamia, na Ujio wa Sgr

    Gharama za maisha katika Jiji la Dodoma zimekuwa changamoto kubwa kwa wakazi wa jiji hili, hasa baada ya kutangazwa kwa uhamisho wa serikali kuu kwenda hapa. Hali hii imepelekea mabadiliko makubwa katika uchumi wa jiji, ambapo wenyeji wa zamani wa Dodoma walijikuta wakifurahia faida za muda...
  17. JamiiForums Tanzania Kuishi bila kugusa mshahara wake,Makonda anastahili kutumbuliwa haraka

    Nadhani rais Samia huko aliko anajuta kunrudisha makonda mjini. Enzi za hayati Magufuli kuna mama mmoja bosi wa kituo cha uwejezaji nchini,alitumbuliwa kwa kosa la kutotumia mshahara wake Mama huyo alikuwa akifanya kazi inayomlipa sana nje ya nchi,Kikwete akamuomba aje kujenganchi japo...
  18. JamiiForums Tanzania Ndama wa namna hii akizaliwa zizini kwako, je utamwacha aishi au utamuuwa haraka kabla majirani hawajamuona? Je nini husababisha hali hii?

    Ndama huyu wa ng'ombe amezaliwa kwenye shamba (ranch) ya rafiki yangu mwenye Asili ya Ujerumani. Nimejiuliza maswali mengi sana nimekosa majibu makini. Je akizaliwa kwako utamtunza? Au utamuua fasta isije ukaonekana ulikula mzigo? Je hali hii husababishwa Na nini?
  19. JamiiForums Tanzania Msaada wa Haraka; RC Makonda Asaidiwe Kisaikolojia ana tatizo Linamtesa na Anajidanganya kwa Drama

    Kama Mtanzania na niseyependa mtu apogee au apoteze wengine naomba hili lifanyike. Makonda amesikika kama kawaida yake kuropoka maneno yenye utata kuwa Rais Samia anaongoza hapa nchini kwa kurogwa sana na pia karudia tabia ile ya kulialia hovyo hadharani kwa kivuli cha kufanya maombi na...
  20. JamiiForums Tanzania Georgia kama Ukraine, Raia wachachamaa wakiandamana kushinikiza kujiunga na umoja wa ulaya(EU) haraka

    Huko Georgia kwa wiki moja sasa raia wanaandamana na kupambana na polisi baada ya chama tawala kusitisha kwa muda mpango wa nchi yao kujiunga na umoja wa Ulaya(EU). Kura mbalimbali za maoni za Georgia zimekuwa zikionyesha 80% ya raia wa Georgia wanataka kujiunga na umoja wa Ulaya na kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…