Kuna matukio ya kuokotwa kwa miili ya wanaume watatu na mwanamke mmoja katika maeneo tofauti ya Wilaya ya Handeni, Mkoa wa Tanga.
Kati ya miili hiyo, mwili wa mwanaume mmoja, kutokana na uchunguzi uliofanyika, ulibainika kuwa ni wa Benard Wilson Masaka, Mgogo (43), Mfanyabiashara wa nyama...