hamu

Hamu is a surname and given name. Notable people with the name include:

Ana Hamu, Māori woman
Bruna Hamú (born 1990), Brazilian actress and model
Hamu Kayondo (born 1990), Ugandan cricket player
Hamu Shiru (died 1932), Yezidi tribal leader

View More On Wikipedia.org
  1. Kuna siku unaamka tu, unajikuta na hamu kali sana ya mapenzi

    Yani hakuna vishawishi vyovyote uivyopitia, umelala vizuri, ila unaamka, unahali mbaya sana, unahamu kali sana ya kufanya mapenzi, nini kinakua kimetokea? kama hii sku ya leo ni hatari sana
  2. Sisi Content Creators wa JF na Mitandao mingine tunasubiri kwa hamu hayo mabilioni. Chondechonde Makonda tutaonana wabaya

    SISI CONTENT CREATORS WA JF NA MITANDAO MINGINE TUNASUBIRI KWA HAMU HAYO MABILIONI. CHONDECHONDE MAKONDA TUTAONANA WABAYA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kwenye hii nchi ya Tanzania, moja ya watu wanaofanya kazi kubwa Sana kwenye jamii yetu na serikali ni Sisi Content Creators hasa wa...
  3. Pishi la usiku wa manane: Nimepata hamu ya kitumbua kilichojaa mafuta

    Usiku huu hapakaliki wala hapalaliki kila nikijaribu kupumzika nashindwa kisa hamu ya kitumbua. Kuna hamu ya kawaida halafu kuna ile ambayo mie inanishika nikikitaka kitumbua. Saa tano hii nimeanza kuvipika 😎😅 Vipi wewe hamu ya kitu gani ikikukaba haitulii mpaka upate kile kitu nafsi...
  4. Miongoni mwa siku zinazosubiriwa kwa hamu kubwa

    1.Siku ya kurudi kwa Masihi 2.Tisa Disemba Pia list ya watu wa hovyo kuwahi kutokea tanzania imepata mwanachama mpya anayeitwa Thabiti Kombo
  5. Hali ya juu sana ya hamu ya ngono

    Wapendwa, kwanza poleni sana na msiba. Kwa upande wangu, naona kabisa kama niko kwenye majaribu makubwa. Nimejaliwa watoto wangu wawili, na nikahisi wananitosha kabisa. Hapo nikachukua uamuzi wa kuweka kipandikizi mkononi. Baada ya mwaka mmoja kupita, kile kipandikizi kikaniletea maudhi...
  6. GE2025 Ahadi ya Makonda ya kupeleka Arnold Shwarznegger inasubiriwa kwa hamu WanaArusha

    Agenda kuu ya Makonda kugombea ubunge ni kumleta Anodi Shoziniga Arusha. Naona sasa arusha ndoto yao ya kumuona Anodi Shoziniga inaenda kutimia maana hiyo ndiyo ilikuwa kero yao kuu inayowakabili watu wa arusha.
  7. Kuelekea october 29 Mahubiri ya kesho Jumapili 26/10/2025 yanasubiriwa kwa hamu kubwa

    GT Itakuwa story kubwa sana kesho. Wavaa suti.watajazana kusikia nini kinasemwa aha ha ha Tutabiri kauli ya Malasusa ah ahaha mtego mtegoni. Sijalelewa kupingana na serikali.
  8. Msaada kwenye : Binam Nyama ya hamu mwisho ni miaka mingapi?

    Wajuvi na wanumbi naombeni maelekezo yenu. Uzi tayari
  9. GE2025 Kishindo cha Balozi Dkt Emanueli John Nchimbi na Eng Ezra John Chiwelesa kinasubiliwa kwa hamu kubwa Biharamulo 6/9/2025

    Wanabiharamulo na wananchi wote wa Mkoa wa Kagera mnaalikwa kushiriki kwa wingi katika mkutano mkubwa wa hadhara tarehe 6/9/2025 katika Uwanja wa Mpira wa CCM Biharamulo Mjini. Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emanueli John Nchimbi, atapanda jukwaani...
  10. Moshi wa Kijani Unasubiriwa kwa hamu

    Hakika ni moshi wa kijani kwelikweli kwa maslahi ya wapiga kura.
  11. Tusilee ujinga, nilipogundua hii dawa akaondoka mwenyewe na hana hamu tena

    Dogo kamaliza shule mwaka 2023 akaja kukaa kwangu ambapo mimi ni shemeji yake. Mara ya kwanza nliona its ok akae akae akitafuta michongo kwa miezi miwili mitatu nisimbanie. Amekaa mwaka ukaisha. Yupo tu anafuga kitambi. Anaamka saa 3 anakunywa chai. Anaangalia tv na kucheck movies tu akisubiri...
  12. Hamu ilo shinda zote. Dhambi iliyounganisha yote

    Raha ilioshinda walio "ishinda" dunia Raha iliowapiku walio "upiku" ulimwengu. Raha yenye uwezo wa kuumba na kuangamiza. Raha iliotengeneza mipaka mipya na kuharibu ya zamani. Raha iliofanikiwa kupenyeza na ku-disrupt akili ingawa kufunikwa na moja ya mifupa migumu kuliko yote mwilini...
  13. Je, unakosa stamina, hamu ya tendo? Pitia hapa

    Somo Fupi: Utofauti wa Bidhaa za Kawaida na Mendose Bidhaa nyingi za stamina – mara nyingi zinasukuma mwili kwa nguvu za bandia. Hupandisha presha ghafla, kufanya moyo kupiga haraka, kisha nguvu hupotea haraka. Matokeo yake: mwili unachoka zaidi, kinga hushuka, na mara nyingine husababisha hofu...
  14. Naweza kutabiri kifo cha kisiasa cha Polepole, press ya leo ilisubiriwa kwa hamu lakini kaongea mambo ya kawaida sana, sasa ajindae kwa mwangwi mkubwa

    Watu wengi walitaraji mambo ya maana kutoka kwake, kaishia kuongea mambo ya kawaida, ya hovyohovyo, hakuwa na jipya. Sasa ajipange kwa mwangwi unaokuja
  15. F

    Balozi Humphrey Polepole aungwe mkono ana jambo zuri kwa watanzania. Tunasubiri kwa hamu kusikia hotuba yake hapo 17-07-2025.

    Balozi mstaafu wa Tanzania nchini Cuba ndugu na comred Humprey Polepole anatarajia kuzungumza na umma hapo kesho 17-07-2025. Sina uhakika atatumia platform gani ila jambo hili ni kubwa na tunalisubiri kwa hamu. Huu sio wakati wa kuangalia sana madhaifu ya comred Polepole bali ni wakati wa...
  16. GE2025 Nina hamu kubwa kuona Samia atakavyozunguka peke yake kufanya Kampeini

    Kubali ukatae Uchaguzi wa mwaka huu umepoa sana. Na baada ya mchujo wa wagombea CCM basi Uchaguzi utakuwa umeisha. Ata wagombea wa CCM wasipofanya kampeini ndo watakuwa Wabunge. Kwa upande wa kiti Cha urais ni Wazi washindani wa Samia watakuwa kina Chief Ryemba,Dovutwa na Rungwe. Kwa miaka...
  17. Lijue Tatizo la Kujihisi Mnene na Kukosa Hamu ya Kula (Anorexia nervosa).

    Anorexia Nervosa Ni Nini? Anorexia Nervosa ni tatizo la akili na lishe (eating disorder) ambapo mtu hujizuia kula chakula au kula kidogo sana kwa hofu kubwa ya kunenepa, hata kama tayari ni mwembamba kupita kiasi. Mtu mwenye anorexia huwa na mtazamo usio sahihi juu ya mwili wake na huamini...
  18. Taabani majinuni sina hamu!.

    Samaleko... Nilikutana na binti fulani wenyewe wanasema English figure!, kitoto cheupe rangi ya mtume, kilichonipendeza zaidi ni muonekano wa sura yake!, anamacho fulani hivi akikuangalia unaweza ukahisi anakutaka ama ameshakukubalia!.. basi hicho ndicho kimenifanya niwe taabani majinuni...
  19. Daah, leo nilikuwa na hamu ya wine Four Cousins-Ndio basi tena

    Huku kuna baridi sana, Nimepita dukani nikachukua Four Cousins nipige. Baadae nakumbuka ninatumia Cold-Off Capsule. Daah basi bwana
  20. Kuna viuchokozi vinaongeza hamu, msisahau kuwachokoza wawape mavituz kwa raha na furaha

    Hii ni mada ya chakula cha usiku kwa wakubwa, kama hupendi mambo hayo usifungue huu uzi. Leo huyu baba watoto wangu kanikuta nimekaa kigodani naandaa chakula kafika akanisalimia huku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…