hamas

Hamas (Arabic: حماس Ḥamās, an acronym of حركة المقاومة الاسلامية Ḥarakat al-Muqāwamah al-ʾIslāmiyyah [Islamic Resistance Movement]) is a Palestinian Sunni-Islamic fundamentalist but pragmatic, militant, and nationalist organization. It has a social service wing, Dawah, and a military wing, the Izz ad-Din al-Qassam Brigades. It won the 2006 Palestinian legislative election and became the de facto governing authority of the Gaza Strip following the 2007 Battle of Gaza. Israel and Hamas have since engaged in several wars of varying intensity. Canada, the European Union, Israel, Japan and the United States classify Hamas as a terrorist organization. Australia, New Zealand, Paraguay and the United Kingdom classify only its military wing as a terrorist organization. It is not considered a terrorist organization by Brazil, China, Egypt, Iran, Norway, Qatar, Russia, Syria and Turkey. In December 2018, the United Nations General Assembly rejected a U.S. resolution condemning Hamas as a terrorist organization.Hamas was founded in 1987, soon after the First Intifada broke out, as an offshoot of the Egyptian Muslim Brotherhood which in its Gaza branch had previously been nonconfrontational toward Israel and hostile to the Palestine Liberation Organization (PLO). Co-founder Sheik Ahmed Yassin said in 1987, and the Hamas Charter affirmed in 1988, that Hamas was founded to liberate Palestine, including modern-day Israel, from Israeli occupation and to establish an Islamic state in the area that is now Israel, the West Bank and the Gaza Strip. Since 1994, the group has frequently stated that it would accept a truce if Israel withdraws to the 1967 borders paid reparations, allowed free elections in the territories, and the right of return of Palestinian refugees.Hamas's military wing has launched attacks against Israeli civilians and soldiers, often describing them as retaliatory, in particular for assassinations of the upper echelon of their leadership. Tactics have included suicide bombings and, since 2001, rocket attacks Hamas's rocket arsenal, though mainly consisting of short-range homemade Qassam rockets with a range of 16 km, also includes Grad-type rockets (21 km by 2009) and longer-range (40 km) if unreliably aimed rockets that have reached major Israeli towns such as Beer Sheva and Ashdod, and some that have struck cities like Tel Aviv and Haifa. Human Rights Watch has condemned as war crimes and crimes against humanity both Hamas and Israel for attacks on civilians during the conflict, stating that the rationale of reprisals is never valid when civilians are targeted.In the January 2006 Palestinian parliamentary elections, Hamas won a majority in the Palestinian Parliament, defeating the PLO-affiliated Fatah party. After the elections, the Quartet (the European Union, Russia, the United Nations and the United States) made future foreign assistance to the Palestinian National Authority (PNA) conditional upon the PNA's commitment to nonviolence, recognition of the state of Israel, and acceptance of previous agreements. Hamas rejected those conditions, which led the Quartet to suspend its foreign assistance program and Israel to impose economic sanctions on the Hamas-led administration. In March 2007, a national unity government headed by Prime Minister Ismail Haniyeh of Hamas was briefly formed, but this failed to restart international financial assistance. Tensions over control of Palestinian security forces soon erupted in the 2007 Battle of Gaza, after which Hamas took control of Gaza, while its officials were ousted from government positions in the West Bank. Israel and Egypt then imposed an economic blockade of the Gaza Strip on the grounds that Fatah forces were no longer providing security there.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mtoto wa kiongozi wa kundi la HAMAS abadili dini na kuwa MKRISTO na kuelezea yanayofanyika ndani ya Hamas

    Mtoto wa kiume kiongozi wa kundi la Hamas anayeitwa Mosab Hassan Youssef, amekuja wazi na kuonesha kutopendezwa na mienendo ya Kundi la Hamas, kitu ambacho kilipelekea kubadili dini na kuwa Mkristo na sasa anaishi kwa Amani. Mosab Hassan Youssef aliandaliwa kuwa kiongozi atakayerithi uongozi wa...
  2. JamiiForums Tanzania HAMAS walalamika kuhusu vifo vya Wapalestina 2,329 vilivyosababishwa na Israel

    Kwamba wao wapige maroketi yao ila wasijibiwe maana itasababisha vifo kwa Wapalestina.... SCREENSHOT Hamas has claimed that the death toll among Palestinians in a massive Israeli air strike on the Gaza Strip has risen to 2,329, the Gaza Health Ministry said on Sunday, 15 October. Source...
  3. JamiiForums Tanzania Kazi chafu: Hamas wanategeshea mabomu wanaohama Gaza Kaskazini ili kuwatisha wabaki, wanawasingizia Israel kuwalipua wanaohama

    Hamas wanategesha mabomu kwenye magari yanayohamisha watu Gaza kaskazini, Hamas hawaoni taabu kuua wapalestina kwa lengo la kutengeneza propaganda kuwasingizia Israel ndio wanafanya haya mashambulizi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wakurd hawajaandamana kuipinga Israel dhidi ya Hamas

    Mzuka wanajamvi! Licha ya wakurd kuwa waislam wa madhehebu tmya Sunni hawajaandama kabisa kupinga taifa takatifu teule la Israel katika operesheni yake ya kutokomeza na kusafisha ugaid na magaidi ya Hamas. Wakurd hawajali kabisa yanayotokea palestina kwasababu wanachuki na waarabu, waajemi na...
  5. JamiiForums Tanzania Hamas waungwa mkono na wengi kote duniani

    Wasomi mbali mbali kwenye vyuo vikuu kote ulimwenguni wameonekana kutorudishwa nyuma na propaganda za Israel katika kuwaunga mkono wanamgambo wa Hamas na jumuiya ya wapalestina kwa jumla.Hali hiyo imeonekana Marekani,China mpaka Japan. Huko Uiengereza na Ufaransa kumekuwa na kishindo kikubwa cha...
  6. JamiiForums Tanzania Muongozo wa namna ya kwenda Israeli kuungana nao kuwapiga Hamas na wapalestina

    Taifa teule la Mungu limeingia kwenye operesheni maalumu ya kujiongezea mipaka kule Gaza baada ya kuchokozwa. Ni jukumu letu wana wa Yehova kwenda kuungana na uzao wetu mtakatifu kuichukua Gaza na baada ya hapo west bank. Kuna utaratibu uliowekwa?
  7. JamiiForums Tanzania Video: Mateka 250 waokolewa, HAMAS 60 wauawa na 26 kukamatwa

    Mkiambiwa makomando wa Israel ni moto wa kuotea mbali, yaani hapa kama movie, jamaa wameicheza kiaina aki ya nani nimefurahi hadi naumwa, hii itaandikwa kwenye vitabu na movie zitakua shot nyingi, makamu wa magaidi pia amekamatwa hai Abu A'ali the Deputy Commander of the Hamas. The Flotilla 13...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna picha zinasikitisha sana Palestina, mnaoshabikia HAMAS kuanzisha hizi choko sijui mkoje

    Yaani majitu mnashabikia ugaidi wa HAMAS kisa ni watu wa dini yenu halafu majibu ya Israel yanakuja kwa nguvu hadi kutia ukakasi, kuna picha nimeziona ambazo siwezi kuzileta humu ila hii dunia inakosa ladha. Hivi kiukweli mnajitapa kufaidi nini baada ya kile HAMAS walifanya, maana haya majibu...
  9. JamiiForums Tanzania Mmojawapo wa wakuu wa HAMAS auawa kwenye shambulio la bomu

    Gaza inaendelea kusambaratishwa huku HAMAS wakiliwa, kuna huyu Mohammed Abu Shamala kawahishwa kule kwa mabikira..... The Israeli military has reported that it has attacked several operative HQs from which Hamas had organised the terrorist invasion of Israeli territory, and killed a...
  10. JamiiForums Tanzania Hamas yakanusha kuchinja akina mama na watoto

    Viongozi wa Hamas wamesema jeshi la Israel kwa sasa linatafuta kuungwa mkono na jumuiya za kimataifa kwa kuwasingizia kwamba walichinja watu hasa wanawake na watoto wachanga. Wamekanusha kufanya vitendo hivyo na wameitaka Israel watoe ushahidi. ======== Palestinian group Hamas, which undertook...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Gaza: Mpaka sasa, Watu zaidi ya 1,055 wamekufa na 5,000 kujeruhiwa

    Habari wakuu naona hali inazidi kuwa mbaya huko gaza mpaka sasa idadi imefikia 1055 na majeruhi, zaidi ya 5000 lakini pia umeme wa solar nao umegoma kabisa kufanya kazi kwa maana hiyo Leo Gaza watalala giza! Hawa jamaa saivi wanajuta walichokifanya Israel, unachokoza nyuki na hauna pa kukimbilia!!
  12. JamiiForums Tanzania Mkuu wa HAMAS apoteza mwanaye na ndugu baada ya bomu la Israel kupiga kwake

    Maafa yamemfikia mkuu wa HAMAS baada ya bomu kupiga kwake nyumbani na kuua wote waliokuwemo, nashangaa sana kwamba yeye aliamrisha makombora kwenda Israel halafu hakutorosha familia yake wakaishi kwenye mafichoni, kawaanika tu kizembe, haya wamewahishwa mbele za haki. Israeli wanaendelea...
  13. JamiiForums Tanzania Israel yafaulu kumuua waziri wa uchumi wa HAMAS

    Huyu kazi yake ilikua kupanga mipango yote ya matumizi ya fedha, yaani zipi zitumike kwenye ugaidi upi na wapi. Poleni kwa msiba wenzetu wa huku uswahilini mnaowaita wale ndugu. Israel bado haijaanza kulipiza kisasi. ========= PHOTO: GETTY IMAGES Rear Admiral Daniel Hagari, spokesman for...
  14. JamiiForums Tanzania Kama Wanamgambo wa Hamas 2000 walijipenyeza Israel na kuishambulia hivi, vipi kwingineko ambako Kambi zao za Jeshi zina fremu za biashara?

    Kama Israel (Taifa Baba na Kiongozi kwa Ujasusi) wa ndani na nje halikujua kuwa Maadui zao akina Hamas 2000 waliingia / walijipenyeza kisha Kujipanga na Kuwashambulia vipi kwa Mataifa mengine duniani ambayo kutwa yanajisifia kuwa Idara Hatari za Ulinzi na Usalama wakati mpaka sasa katika Fremu...
  15. JamiiForums Tanzania Miili 1500 ya Wapiganaji wa Hamas imepatikana Israel

    SERIKALI ya Israel imesema jeshi lake limeshambulia mamia ya malango huko Ukanda wa Gaza usiku kucha baada ya Waziri Mkuu Benjamin Ntenyahu kusema kuwa majeshi ya nchi yake yalikuwa katika mwanzo wa mapambano dhidi ya wanamgambo wa Hamas. VOA imeripoti kuwa, Msemaji wa jeshi nchini Israel...
  16. JamiiForums Tanzania Hamas kuitisha Maandamano Ijumaa katika nchi za kiarabu kulaani mashambulizi ya Israel

    Hamas wasema Ijumaa hii wataitisha maandamano ya nchi za kiarabu kulaani mashambulizi anayofanya Israel huko Gaza tokea jumapili. Waziri Netanyahu wa Israel alisikika akisema Israel inatarajia kupiga mashambulizi ya kutosha katika Mji wa Gaza yatakayofanya Wapalestina wasiyasahu kwa zaidi ya...
  17. JamiiForums Tanzania Kumbe kuna Wa/Mtanzania ni miongoni waliopata maafa ya hamas uko Israel

    Hatujui zaidi kuhusu kama wamekufa, kujeruhiwa au kutekwa ila kama kuna mtu mwenye kumjua au kuwajua watu hawa atupe updates.
  18. JamiiForums Tanzania Hamas tumieni mbinu hii kumshinda Israel

    Kitu pekee kinachofanya Makundi ya Palestina yaonekana ya Kigaidi hususani kwenye umoja wa mataifa na nchi za magharibi ni namna yanavyofanya mashambulio. Kundi la Hamas lilipaswa kupiga kambi za jeshi na maneno yenye dhana za kijeshi ili kujiwekea uhalali wa kufanya mashambulizi. Kitendo cha...
  19. JamiiForums Tanzania HAMAS waanza kuomba vita viishe ili majadiliano yafanyike

    HAMAS walihojiwa na kuomba vita viishe waingie kwenye majadiliano, ila Israel inaendelea kupelekea moto na imechukua na kukalia eneo lote la Gaza na imeamua kufanya kitu ambacho kitakua suluhu kwa hili tatizo kwa miaka 50 ijayo. =============================== The radical Palestinian movement...
  20. JamiiForums Tanzania Waliofariki kwenye mapigano ya Israel na Hamas wafikia 1,100

    Idadi hiyo ni kwa mujibu wa Al Jazeera na Reuters wakiwemo Watoto zaidi ya 100. Pia, watu zaidi ya 3,000 wamejeruhiwa na wengine zaidi ya 123,000 wamelazimika kuyakimbia makazi yao kutokana na mashambulizi hayo kati ya kundi la HAMAS na Jeshi la Israel. Aidha, takwimu zinaonesha kwa kipindi cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…