Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imeanza kuzihoji Halmashauri 39 kutoka Mikoa 15 zilizobainika kuwa na hoja mbalimbali katika Taarifa za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) za Mwaka wa Fedha 2023/2024 na 2024/2025.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa...
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mbinga DC, Joseph Kashushura, kupitia Halmashauri anayoiongoza, hivi karibuni alinunua gari aina ya Toyota Coaster kwa gharama inayozidi Shilingi milioni 300. Bei hiyo ilitajwa na Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo, ndugu Haule, wakati akitoa ufafanuzi kwa...
Malalamiko kuhusu utoaji wa huduma za dawa katika Hospitali ya Wilaya ya Tandahimba
Wananchi tunalalamikia hali ya utoaji wa huduma za dawa katika Hospitali ya Wilaya ya Tandahimba, kwa kuwepo kwa vitendo vinavyoashiria udanganyifu, hususan kwa akina mama wajawazito na watoto wenye umri wa...
Anonymous
Thread
dawa
halmashauri
hospital
hospitali
huduma
malalamiko
tandahimba
wilaya
Idara ya Maendeleo ya Jamii, bado hatujalipwa kabisa Fedha za kujikimu hadi sasa katika kipindi cha miaka mingi sana. Tangu tumeajiriwa mwaka 2023, mwaka 2024, mwaka 2025, na mwaka huu 2026.
KERO, yetu ni hiyo yaani kila muda tunaulizia, wanasema andikeni Barua.. Ukweli ni kwamba Barua...
Anonymous
Thread
ajira mpya
fedha za kujikimu
halmashauri
mkoa wa geita
watumishi ajira mpya
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika Zanzibar Jumatano tarehe 29 Julai, 2026.
Hongera Bi Rose Manumba, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala, madiwani na wataalamu wote kwa uongozi wenye matokeo unaotanguliza maslahi ya wananchi. Kupitia usimamizi madhubuti wa ukusanyaji wa mapato, kuelekeza rasilimali nyingi kwenye miradi ya maendeleo inayogusa maisha...
Watumishi katika Idara ya Sekondari ya Halmashauri ya Tarime Vijijini hatujalipwa fedha za likizo kwa wakati na kwa viwango vinavyostahili.
Baadhi ya watumishi bado wana madai ya fedha za likizo za miaka iliyopita bila kupatiwa ufumbuzi. Wakati mwingine malipo yanapotolewa, hayalingani na kiasi...
Utunzaji wa Mazingira ni wajibu wa kila mmoja ikiwa maeneo yanayozunguka Halmashauri ni machafu hivi na miongoni mwa Taka zinazo tupwa nje hovyo zinatokea ndani ya Halmashauri Je! Jamii inawezaje kuhamasika juu ya utunzaji mazingira ?
Kwa ujumla Hali ya usafi wa Mazingira ni mbaya kwa Kisarawe...
Anonymous
Thread
halmashauri
kisarawe
kutunza mazingira
mazingira
wilaya ya kisarawe
Jeshi la Polisi Wilaya ya Rungwe, leo tarehe 20.7.2026 limeshiriki zoezi la Usafi wa Mazingira katika Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Makandana ikiwa ni hatua muhimu ya kuboresha afya ya jamii pamoja na kudumisha uhusiano mzuri uliopo kati ya jeshi hili na Wananchi.
Aidha Jeshi...
Hoja ya awali ya Mdau ~ Shule ya Sekondari Kipande, Wilayani Nkasi - Rukwa haina madawati, Wanafunzi wanakaa chini
Mtakumbuka tarehe 15/07/2026 mtandao wa Kijamii wa JamiiForums ulitoa taarifa kuwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kipande iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa...
Naomba utusaidie kutoa malalamiko yetu Ajira Mpya 2025/2026 katika Halmashauri ya Bunda DC Kada ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi mpaka sasa ni mwaka hatujalipwa hela ya kujikimu.
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
bunda
fedha
fedha za kujikimu
halmashauri
kada
katika
kilimo
kujikimu
mpya
mwaka
tuna
Shule ya msingi Kimandafu iko Halmashauri ya wilaya Meru, wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha. Mwalimu moja wa shule hiyo aitwaye Stella Gunda jana asubuhi mida ya saa 2 alimfukuza darasani mwanafunzi wa darasa la 5 aitwaye Angel Frank Mbise kwa kumwambia "ondoka sikutaki ktk kipindi changu"...
Watumishi wa Halmashauri ya Kyerwa tunapenda kutoa shukrani kwa uongozi kwa kuhakikisha kuwa posho zetu za kujikimu zimelipwa.
Hatua hii imetupa faraja kubwa na kutusaidia kukabiliana na changamoto mbalimbali zilizokuwa zikitukabili. Tunathamini juhudi za uongozi katika kusikiliza na...
Sisi ni walimu wa ajira mpya tulioajiriwa mwezi Januari 2026. Kwa muda sasa tumekuwa tukifuatilia malipo ya fedha zetu za kujikimu, lakini hadi sasa hatujapata majibu yoyote rasmi kutoka kwa mamlaka husika.
Tumeingia mwaka mwingine wa fedha bila kupata ufafanuzi kuhusu hatima ya stahiki hizi...
Anonymous
Thread
ajira mpya
halmashauri
kujikimu
walimu ajira mpya
wilaya ya mkalama
Mimi ni mtumishi Halmashauri ya Mbomba mkoa wa Songwe ajira mpya Kada ya Afya tunadai pesa zetu za kujikimu kwa muda mrefu sana sasa, Julai 12, 2026 wamelipa ila wamelipa pungufu wakati walisema kuwa serika imeshaingiza pesa zote hivyo tutalipwa zote bila ubaguzi.
Ajabu wamelipa kiwango tofauti...
Anonymous
Thread
afya
ajira mpya
fedha za kujikimu
halmashauri
kada ya afya
songwe
Watumishi wa Halmashauri ya Mji wa Mbulu, Mkoa wa Manyara, tunaomba msaada wenu kufichua changamoto na madai yanayoikabili halmashauri yetu.
Tumekuwa tukikumbwa na uongozi usioridhisha kuanzia ngazi ya madiwani, Mkurugenzi hadi wakuu wa idara mbalimbali. Kwa mtazamo wetu, viongozi hawa...
Anonymous
Thread
haki
halmashauri
mbulu
mji
msingi
sana
wake
watumishi
Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba, Ngudu mkoani Mwanza, wafanyakazi wa ajira mpya 2026 bado hatujalipwa posho za kujikimu. Tunaomba mamlaka husika zishughulikie suala hili, na tunawaomba mtusaidie kupaza sauti yetu.
Baada ya Mdau aliyejitambulisha kuwa Mkazi wa Usagara A, Kata ya Usagara, Wilayani Misungwi kueleza kuwa licha ya kutozwa fedha kwa ajili ya uzoaji taka lakini wamewekewa dampo la taka kwenye makazi yao, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda ametoa ufafanuzi kuhusu suala hilo.
Hoja ilivyokuwa ~...
Habari za muda huu, JF.
Mimi ni mwalimu wa ajira mpya na ninawakilisha walimu wenzangu wa ajira mpya katika Halmashauri ya Bariadi Vijijini. Tunaomba msaada wako katika kufikisha kero yetu kuhusu kutolipwa fedha zetu za kujikimu tangu tulipoajiriwa mwaka 2025.
Tumejaribu kufuatilia suala hili...
Habari Tanzania !.
Naomba niweke mawazo yangu hapa jukwaani.
Ikiwapendeza nawaomba mtumie huu mfumo ili mfanikiwe maendeleo;
1. Madiwani ndio waiongoze halmashauri;
(a) Mwenyekiti na Msaidizi wake wa Halmashauri wawe raia wa kawaida wasomi ngazi ya Shahada moja na kuendelea asitokane na...