hali

Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی‎ – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania UTEUZI Jenerali Aziz ateuliwa kuwa Waziri wa ulinzi Iran, rubani wa ndege za kijeshi F-14 Tomcat, aliongoza kikosi cha anga miaka 4

    Wadau hamjamboni nyote? Serikali ya Kiislamu ya Iran imeamua kujipanga kisawasawa Imefanya uteuzi wa kihistoria Jenerali Aziz amekabidhiwa rasmi kuongoza wizara ya ulinzi ya nchini humo. Ni rubani mzoefu mwenye weledi mkubwa na aliongoza kikosi cha anga cha Jeshi la Iran Kwa miaka minne...
  2. JamiiForums Tanzania Kila KAFARA limekataa na tayari hali ya wasiwasi imeshaanza Kutanda Kambini Indian Ocean

    Na sharti walipopewa kama sehemu ya Kujaribu tena Nyota ili angalau wapone na Kipigo ni kuanza na 'Kufuli la Morogoro' Lilorogwa Msimu mzima, ila wakimpanga tu ambaye ndiyo Wanamuani 'Kufuli Mali' ambaye kwa tarehe ya leo Nyota yake ina Nuksi basi wajiandae kwa Kipigo Kikali ambacho kila Mtu...
  3. JamiiForums Tanzania JF POLL: (Nini sababu ya kuongezeka kwa Atheists na Non-Believers miongoni mwa vijana hapa Tanzania). Majibu ya poll ni baada ya masaa 24

    Andika namba kwenye comments. Namba ambayo itatoa ufafanuzi halisi ya majibu ya swali lililoandikwa kwenye kichwa cha uzi huu. 1: Kuongezeka upotoshaji katika dini 2: Kuongezeka kwa hali ngumu ya maisha ikiandamana na matumaini finyu au lah kabisa. 3: Maswali yasiyojibika vizuri na majibu...
  4. JamiiForums Tanzania Wananchi wamfukuza Mbunge Angelina Mabula mkutanoni, hali yake mbaya jimboni kwa kutoleta maendeleo kwa wananchi

    Wana Ilemela wameamua ! Wamemfukuza mbunge wao Angelina Mabula katika mkutano wa hadhara, wananchi wamelalamika kwamba kwa miaka karibu kumi hakuna alichofanya. Mbombo ngafu! Ni dhahiri sasa Jimbo la Ilemela liko wazi.
  5. JamiiForums Tanzania Dodoma: Uchaguzi wa Viongozi wa TLS umeingia Katika hali ya Sintofahamu, mfumo wa “Mjue Wakili” wagoma

    Kutoka katika Ukumbi wa JKCC uliopo jijini Dodoma, mawakili wa Tanzania Bara wamekusanyika kwa ajili ya zoezi muhimu la kupiga kura kuchagua Rais, Makamu wa Rais, na viongozi wengine wa Chama cha Mawakili Tanzania bara(Tanganyika Law Society - TLS). Matokeo ya uchaguzi huu yanatarajiwa kutolewa...
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Kwa mwanume bikra yoyote lazima kapitia hii hali njoo tujikumbushe kidogo

    Habari wakuu na moja kwa moja niende kwenye mada kwa mwanaume yoyote ambae ndo anaanza kushiriki tendo kwa mara ya kwanza ni lazima apitie fedhea hii. Pindi anapo aanza kudumbukiza gogo kweny dimbwi ua anaskia raha kupita kiasi na haichukui dakik 1 tayl unaluta kashautupa na wenhine ni chini ya...
  7. JamiiForums Tanzania Magereza ya Tanzania kuwa katika hali mbaya, ni kwa sababu ya umasikini au kukosa utu?

    Kwa nchi zilizoendelea, mtu kukaa gerezani humaanisha kukosa uhuru tu, lakini mahitaji mengine karibia yote ya muhimu huyapata. Watanzania waliowahi kufungwa gerezani nchini walishasimulia mikasa na mateso waliyokutana nayo gerezani. Ni hali mbaya sana. Wafungwa hawajaliwi kama ipasavyo...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa hali hii hata kama huyu kijana ana akili, uonevu umepitiliza

    Huyu ni jamaa nilikuwa nimesoma naye shule ya msingi na sekondari, huyu jamaa kweli alikuwa ana akili sana, sasa nimekutana naye juzi kati duh! maisha yake tuliotegemea ayaishi sio yale niliyomuona naye, basi tumekaa naye akanisumulia mapito yake. Kiukweli nilijikuta machozi yananitoka from no...
  9. JamiiForums Tanzania Hiyi hali inatokana na nini nikiwa mbali nae hujikuta namuwazia sana mpaka roho inauma

    Wakuu nimepatikana hata kama Ni kupenda hiyi Ni too much Iko hivi Nina mpenzi nimezaa nae Mara ninaposafiri kuwa mbali na yeye zikipita siku tatu hujikuta namuwazia sana Na nikiendelea kujikausha nisimtafute hujikuta roho inaniuma sana Ila nikimtafuta tukaongea basi nakuwa na amani Kuna...
  10. JamiiForums Tanzania Mwanangu hali kabisa nje ya nyumbani

    Wakuu hongereni kwa mabadiliko ya baraza la mawaziri. Sasa huyu dogo he is almost 4 now. Ila tatizo Lake hali chakula chochote nje ya nyumbani. Mfano hata mkienda mahali ukimuagizia chochote hawezi kula. Ila akirudi nyumbani anakula vizuri tu. Sasa huyu dogo ananifikirisha sana akienda...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa hali hii utaweza?

    Mara pap umepata demu anayekula sana sana. Umemualika demu home halafu ukajipinda kupika . Kufika ukamkaribisha kidogo , kafuta chote , unaremba remba anapiga na ya sahani yako. Je utaaendelea naye au utamwacha kwa halii hii ya bajeti ya nchi
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi hali ni mbaya

    Natafuta kazi yeyote iliopo ndani ya jiji la Dar es salaam naombeni msaada wa kazi hali ni mbaya
  13. W

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ulikuwa unakipenda lakini ulilazimika kukiacha kwa sababu ya hali yako ya Kiuchumi?

    Nilivyoanza kazi bwana kila weekend utanikuta kwenye expensive restaurants naenda pale kufanya kazi na kujaribu news dishes as a way ya kujipongeza baada ya wiki nzima kuwa kazini. Wee baada ya utu uzima kuhit vizuri na familia yangu kuona naweza kujitegea mambo yakageuka yaani sasa hiv hakuna...
  14. JamiiForums Tanzania DOKEZO Ujenzi wa maeneo mengi ya Kariakoo hauzingatii usalama wa Watu na mali zao, hatua zichukuliwe tusisubiri majanga

    Kwa siku za hivi karibuni kama kati yetu kuna ambao wamebahatika kwenda kwenye eneo maarufu la kibiashara Kariakoo jijini Dar es Salaam mtaungana na mimi kwamba kuna ujenzi wa majengo mengi ya gorofa unaendelea kwa sasa. Ujenzi huo unafanyika katika Mitaa mbalimbali ya Kariakoo ambapo kipindi...
  15. JamiiForums Tanzania Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara

    Mgombea urais kupitia chama cha republican katika uchaguzi ujao nchini Marekani na Rais wa zamani Donald Trump ameshambuliwa kwa risasi kadhaa akiwa katika mkutano mjini Butler Pennsylvania Leo. Walinzi wake wamezunguka na kumuinua baada ya kuanguka chini huku akionekana kuvuja damu upande wa...
  16. JamiiForums Tanzania Zaidi ya Tsh. Bilioni 30 zimetumika kuboresha Bandari ya Ujiji lakini inamezwa na maji, hali ni mbaya

    Miaka ya hivi karibuni Serikali ilitangaza kuanza kufanya maboresho ya Bandari ya Ujiji, sina uhakika na kiwango lakini niliona taarifa ya Serikali kuwa inatarajiwa kutumiwa Shilingi Bilioni 32.5 kuboresha bandari hiyo na nyingine ya Kibirizi ambazo zote zipo maeneo Jirani. Mradi huo wa bandari...
  17. JamiiForums Tanzania Weka Hali Yako ya Kifedha Binafsi

    Weka Hali Yako ya Kifedha Binafsi 1. Usishiriki maelezo ya mshahara wako kwenye mitandao ya kijamii. 2. Usijigambe na mafanikio yako ya uwekezaji mtandaoni. 3. Epuka kuchapisha kuhusu changamoto zako za kifedha hadharani. Ukweli ni kwamba... 1. Sio kila mtu atakayefurahia mafanikio yako ya...
  18. JamiiForums Tanzania Ibrahim alihesabiwaje kuwa Baba wa Imani ili hali alisema uongo kwa Farao?

    Bwana ni mwema! Mimi sio msomaji wa Quran tukufu hivo nitajikita sna kwenye biblia ambayo najua ABC za code zake. Mwanzo 12:12-19 (KJV) basi itakuwa, Wamisri watakapokuona watasema, Huyu ni mkewe; kisha wataniua mimi na wewe watakuacha hai. Tafadhali useme, wewe u ndugu yangu, iwe heri...
  19. JamiiForums Tanzania Usitafute mwanamke mzuri kuwa katika hali hii. Jinsi ya kutambua Mwanamke aliyembele yako ni mzuri

    USITAFUTE MWANAMKE MZURI UKIWA KATIKA HALI HII. JINSI YA KUTAMBUA MWANAMKE ALIYEMBELE YAKO NI MZURI Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Usibabaishwe na mawigi, usichanganywe na makeup, usivurugwe na powder sijui manjano masikala. Usije ukalaghaiwa na mavazi na miondoko na mikogo. Usijichanganye...
  20. JamiiForums Tanzania Baraza la Habari Tanzania (MCT) linazindua Ripoti ya Hali ya Sekta ya Habari Tanzania 2022/23 leo Julai 4, 2024

    LICHA YA UHURU VYOMBO VYA HABARI KUONGEZEKA TANZANIA, BADO KUNA SHERIA KANDAMIZI Ripoti ya Hali ya Sekta ya Habari Tanzania kwa mwaka 2022/23 imeonesha pamoja na kuongezeka kwa Uhuru wa Vyombo vya Habari tangu Rais Samia Suluhu Hassan alipoingia Madarakani Machi 2021, bado utafiti kuna Sheria...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…