hali

Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی‎ – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Vipi ukatoa ushahidi Mahakamani kama katika hali hii?

    Salaam , somo hapo juu lahusika case study Mahakama za Tanzania , let say uko zako Japan na unatakiwa uwe shahidi kesi iko TZ , inawezekana vipi? Wewe ni shahidi muhimu, kesi ya Madai. Please advice
  2. JamiiForums Tanzania Nitaepukaje hali ya kujisikia mchovu baada ya kula?

    Hiyo hali imeshakuwa kero sasa! Mara nyingi, nikishakula tu, najisikia uchovu kiasi cha kutamani kulala, hata kama ni Mchana. Haijalishi kama nimekula chakula kidogo tu, nitajisikia tu kulala. Kuna jinsi ya kuiepuka hiyo changamoto? Asanteni!
  3. JamiiForums Tanzania Nimechoka kujifanya najua: Ukiwa unasoma utabiri wa hali ya hewa, ile % kwenye mvua inamaanisha nini?

    Wakuu, najua kuna wengine mtakua mnajua. Ukiwa unacheki utabiri wa hali ya hewa kwenye App au Google eneo flani, utaona wameandika Precipitation hafu wanaweka asilimia flani, mfano 50%. Sasa hiyo Precipitation 50% inamaanisha nini? Ni probability ya mvua kunyesha Dar es Salaam ipo...
  4. JamiiForums Tanzania Hatimae siku imefika ikiwa na hali nzuri.

    Ni hivi leo naenda kujitafunia mchumba mtu. Lengo la kuwaletea huu uzi ni kuwaasa vijana wa kiume walio kwenye miaka 19 hadi 29. Kuwa msiwekeze kwenye mapenzi jiwekezeni kwenu wenyewe. The more utajiwekeza ndivyo nafasi yako kubwa ya kufuatwa na hawa watoto wazuri inakua kubwa. Japo maboya...
  5. JamiiForums Tanzania Vipi hali ya mahusiano kati ya Umbwe na Lyamungo? maana kipindi hicho tunasoma tulitambiana sana hadi kufanyiana vurugu

    Wazawa wa pale wana kuambia eneo lile kuna laana athari ya vita ya wa kibosho na wa machame. Damu ilimwagika sana, infact hata mimi niliwahi kuonesha mahala walipokowa wanatupia miili ya victims wa vita kati ya Wakibosho na Wamachame miaka hio ya zamani. Sasa shule ya umbwe ipo jamii ya...
  6. JamiiForums Tanzania Tukiachana na Masuala ya kutekana , hali ya kiusalama mitaani sio nzuri, Serikali iingilie kati .

    Matukio ya uhalifu ni mengi sana ,mengine yanaripotiwa na vyombo vya habari , mengine tunakutana nayo kwenye mitandao ya kijamii lakini kuna mengine hayaonekani popote . Tunakoelekea watu wataogopa kufanya biashara na shughuli zao Watu wanaofanya shughuli zao usiku wataogopa kuendelea nazo...
  7. JamiiForums Tanzania Hii hali inaniumiza sana

    Habar wana jf, Natumain mko salama wote ni wazima mungu anaendelea kutupigania. Naomba niende kwenye point staki mambo mengi sababu siko sawa kiukweli napitia wakati mgumu bas tu. Niko na mwanamke tupo kwenye mahusiano huu mwaka wa 3 sasa japo ups and downs ni nyingi sana ila tunasonga...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kukumbwa na hii hali?

    Ulishawahi pitia kipindi kigumu hadi ukashindwa kutoa rambirambi za misiba mfano labda una group kama vile watu mliohitimu nao chuo labda itokee msiba mmoja wenu amefariki, unatolewa mkeka wa waliochanga wote wamechanga kasoro wewe tu Hadi unapigiwa simu kutafutwa unaogopa kupokea na mbaya...
  9. JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua ofisi unayotaka kufanya kazi, wafanyakazi wana hali gani, wewe tazama "parking"

    Hello! Ofisi yoyote iwe ya serikali au binafsi kama tu iko hapa Tanzania wewe tazama parking. Halafu uliza idadi ya wafanyakazi wote. Ofisi ina wafanyakazi 50 parking kuna gari binafsi 3 tu ya mwasibu, Afisa manunuzi na ya meneja tu hapo pamejaa ufukara. Nawewe unakwenda kuambukizwa ufukara...
  10. JamiiForums Tanzania Ni bora kuruhusu maandamano kuliko hali ilivyo sasa!

    Ni bora kuruhusu maandamano kuliko hali ilivyo sasa nchini. Maandamano ni njia muhimu ya kuwakilisha hisia na malalamiko ya wananchi. Hata hivyo, kuna hisia kwamba watu sasa hawataki kusikia kuhusu Nyerere, hasa kutokana na masuala ya muungano. Hii inadhihirisha jinsi mabadiliko ya kisiasa na...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Polisi wa Kuzuia Fujo wasambazwa jijini Dar: Ni kutangaza hali ya hatari?

    21 September 2024 Ulinzi umeimarishwa jijini Dar es Salaam huku magari ya polisi yakionekana yakizunguka kuweka ukuta wa kufikirika https://m.youtube.com/watch?v=IJgCHuVI4dA Tanzania ni nchi ya kipekee kwa kutoonekana askari polisi kuzagaa ambapo nchi zingine kama Ethiopia, Kenya n.k ni...
  12. JamiiForums Tanzania Katika Hali isiyo ya kawaida FFU waanza shamra shamra huku mjini posta wanazunguka zunguka kabla ya tarehe 23 yenyewe

    Aman iwe nanyi wana wa MUNGU Katika Hali isiyo ya kawaida kabisa huku mjini posta FFU wanatembea kama kumbi kumbi na magari yao Kilichonishangaza zaidi ni silaha walizobeba, silaha hizi nazionaga kabeba myahudi kwa ajili ya kuwaulia magaid wa hamasi nimeshangaa sana FFU wakiwa wanalinda...
  13. JamiiForums Tanzania Hali iliyoko Gaza si ya kushadadia

    Maisha ya Gaza ni magumu mno. Suluhisho la Gaza sijui liweje. Wapalestina wanataka watambuliwe kama taifa huru, lakini hapo hapo wanajiapiza kulifutilia mbali Taifa la Israel. Kutoka vita vya kiasili kati ya Wapalestina na waisraeli mpaka kuwa vita ya kidini kati ya waarabu na waislamu dhidi...
  14. JamiiForums Tanzania Eti, nini maana ya msemo, Mgaa gaa na Upwa hali wali mkavu?

    Salaam; Wana jukwaa Wataalamu wa kiswahili, Katika harakati za kutafuta maisha, wahenga kwanini walitunga huu msemo na nini haswa maana yake ? Nawasilisha
  15. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Unatafuta laptop bora kwa bei nafuu? Usihangaike tena!

    Jipatie Laptop original zenye ubora kwa bei rafiki. Tunapatikana Dar es Salaam Kariakoo. Kwa mawasiliano: 0712793505
  16. JamiiForums Tanzania Morogoro is my Third Home hivyo naomba kujua kuna nini Kinaendelea huko hadi hii hali imetokea?

    MOROGORO - Moto mkubwa unavyoteketeza safu ya milima ya Uluguru kwa zaidi ya wiki moja sasa , milima hiyo ina umuhimu wa kipekee kwa kuwa ni vyanzo upatikanaji wa maji yanayotegemewa na wananchi wa Manispaa ya Morogoro na mikoa jirani. Chanzo: habarileo_tz Mdogo wangu wa damu kabisa steveachi...
  17. JamiiForums Tanzania IGP Wambura hali ya Usalama nchini ingekuwa Shwari Kibao angeuliwa vibaya na akina Sativa yangewakuta? Huoni Aibu Kudanganya BBC?

    Nasikiliza sasa BBC Dira ya Dunia na nimekusikia katika Teaser yao ukisema kwa Kujiamini kabisa na ukiwa huna haya (aibu) ukisema hali ya Usalama kwa sasa nchini Tanzania ni Shwari na ukiwapongeza Maaskari Polisi wako. Hovyo kabisa Wewe na Umetuaibisha sana wana Mkoa wa Mara (Musoma) wote kwa...
  18. JamiiForums Tanzania IGP Wambura: Hali ya Usalama nchini ni Shwari

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camilius Wambura amemueleza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Daniel Sillo kuwa kwa sasa hali ya usalama nchini ni shwari, na hivyo kuwapongeza Polisi, vyombo vya usalama na raia wapenda amani kuwezesha hilo. IGP Wambura ameyasema hayo katika ufunguzi wa...
  19. JamiiForums Tanzania Lissu angekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA ingekuwa vizuri, Mbowe akae pembeni

    Binafsi naona Mbowe angeachia kijiti cha uenyekiti wa Chama ampe Lissu au Heche John Nasema haya kwasababu Chadema kwa sasa na upinzani unahitaji mtu mwenye maamuzi magumu, misimamo mikali na ambaye hajapoa sana Simchukii Mbowe hata kidogo wala siangalii ukabila wala dini, ingekua natizama...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Hali ilivyo kituo cha Polisi Lulembela kilichovamiwa na wananchi

    Picha za hali ya kituo cha Polisi Lulembela wilayani Mbogwe mkoani Geita baada ya jana Jumatano Septemba 11, 2024 kuvamiwa na wananchi huku wakifanya uharibifu wa baadhi ya mali ikiwamo gari. Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime katika taarifa yake jana Jumatano kuhusu tukio hilo, alisema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…