The Halali reservoir is a reservoir in the Raisen district of Madhya Pradesh, India. It is built on the Halali River, and lies 40 km away from the state capital Bhopal.The major fish species found in the reservoir include catla, rohu, mrigal, wallago attu, mystus and chitala.
Habari wanaJamiiForums
Naomba mtu yeyote mwenye mchongo wa kazi anisaidie.
Kitaaluma Mimi ni mwalimu ila Nina fani mbalimbali ninazoziweza tofauti na uwalimu kama vile.
-Ujenzi
-Computer
-kusimamia biashara/mradi
Hivyo mtu yeyote mwenye mchongo anisaidie nipo Dodoma
Contact
* Mob...
Wakati wa utawala wa JPM aliwahi kuwashukia baadhi ya wahasibu na wakaguzi wa mahesabu kwa kusababisha serikali kukosa mapato yake halali yatokanayo na kodi.
Aliwaambia ana kwa ana kuwa wanahusika katika kutoa mahesabu yaliyokaguliwa ya aina mbili. Seti ya kwanza ya mahesabu yaliyokaguliwa ni...
Mashabiki wengi wa Simba ni awajielewi kabisa,,Leo hii wanapiga mayowe eti refa kawanyonga na wamesahau ni refa uyu uyu alikataa goli halali la yanga kule kwa madiba na wakakenua meno yote 32 nje?
Goli lile laiti lingekubaliwa lingeipekeka yanga hatua ya nusu fainali ya klabu bingwa laana ambayo...
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba SC, Salim Abdallah Muhene maarufu 'Try Again' ameeleza yanayoendelea kuhusu Elie Mpanzu kuwa yupo Klabuni humo kwa mkopo.
"Elie Mpanzu ni mchezaji halali wa Simba alisaini mkataba wa miaka miwili tena alisaini ofisini kwangu sasa yanayoendelea kwasasa ni...
Habari zenu wanaJF nipo Dsm natafuta kazi au kibarua cha kulipwa kwa siku. Iwe saidia fundi, bandarini, kiwandani au kazi yoyote ya halali. Elimu yangu ni shule ya msingi. Napatikaa Mbezi makabe. Natanguliza shukrani zangu za dhati
Iwapo wewe hutumii kitu basi usipande mibarini na kuanza kuhubiri watu kuwa pombe ni dhambi.
Kila mtu kashajiwekea mipaka yake wapo wapagani kabisa hawajawahi kuambiwa na kiongozi yeyote wa dini kuwa pombe ni dhambi lakin automatic tu hawanywi hiyo ni mipaka yao wamesha jiwekea wenyewe mfano...
Kikundi cha Chadema ambacho kimedhamiria kufanya fujo na kukaidi amri halali ya Jeshi la polisi kinadhani kitachekewa na Jeshi la Polisi.
Hakuna kitu kama hicho. Polisi wapo kwaajili ya kulinda usalama wa raia na mali zao, ikitokea wakaidi lazima watqchezea kichapo cha mbwa koko.
Sasa Chadema...
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo ambayo ni Sikukuu ya Pasaka.
Pasaka ni sikukuu ya ukombozi na ushindi dhidi ya dhambi zozote ikiwemo dhambi ya dhulma ya uchaguzi, Je tuitumie Pasaka hii kuombea uchaguzi wetu uwe uchaguzi huru kweli na wa haki kweli, au...
Biashara ya mirungi imeshamiri sana hapa Himo na inauzwa kwa uwazi kabisa.
Asilimia kubwa ya Vijana (Ke na Me) ndiyo wateja wakubwa wa biashara hiyo.
Polisi Himo naamini wanawajua suppliers na vendors wa mirungi lakini hawawafanyi chochote. Labda kwa sababu wanafaidika na biashara hiyo au...
Jinsi ya Kusitisha Uchaguzi Usiofuata Sheria na Kuhakikisha Mshindi Halali Anatangazwa:
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, Ibara ya 21(1), inasema Hapa https://www.nps.go.tz/uploads/documents/sw-1708320157-KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YA MWAKA 1977 (1).pdf ...
Hello JF family,
Nina umri wa miaka 26 (mwanamke)nina cheti cha kidato cha 4, pia nina mtoto mmoja.
Naomba mnisaidie nipate kazi ili nijikimu na mwanangu 🥹 maisha magumu sana.
Nina kipaji cha kupika na ninapenda sana kupika. TIA
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kwa sasa Tanzania imeondoa njaa kwa asilimia 100, akifafanua kuwa kilichobaki ni kuondoa kwa mtu mmojammoja.
Akizungumzia namna Tanzania inavyotekeleza Mpango wa Maendeleo Endelevu (SDGs) Rais Samia amesema nchi inajitosheleza chakula chake na zilizobaki ni...
Ninachojua pombe pombe tu Kuna za wanaojifunza na makonki kama sisi
Sasa pombe. Nyepesi isiwe sababu ya kuzihirisha
Kuna pombe haramu na HALALI pombe itabaki pombe
Habari zenu wakuu.
Nilikua na mpango wa kuanza biashara ya pocket option trading.
Ila kabla ya kuanza ningependa kujua kama sheria za hapa Tanzania zinaruhusu
Wanabodi
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi,TAAMULI HURU: 4R zitumike kuponya makovu ya Mapinduzi ya Zanzibar
Jumapili ya Tarehe 12 January 2025, imedondokea siku ile ile ya Mapinduzi ya Zanzibar, yaliyotokea Jumapili ya Januari 12, 1964. Tanzania imeadhimisha miaka 61 ya Mapinduzi...
Inashangaza sanaa
YAAN tkt za basi n MUHIMU kuliko elimu yetuu
Naangalia mikoa zaidi ya mitano wanalia upandaji WA bei kuanzia madaftari
Magodoroo
Vyatu vya shuleeeeeeee
Soksi
Vitandaaaaa
Vitabuuuuu
Kwani latra wamefaulu ku control bei za juu sikukuu
Wizara ya elimu
.tamisemi...
Hakuna vijana wanaopitia Magumu kama Hawa wa Dar , Vijana wa Dar wanataka mafanikio ya haraka sana, wanaumizwa wanapoona watu waliwafaham miezi michache nyuma wakiwa hawana kitu, sasa wanawaona Mitandaoni wakiwa wenye Mali, Magari mazuri, majumba mazuri.
Itakufaa nini kua Utajiri wa haraka...
Great thinkers.
Hakuna kitu kinaharibu mambo kama conflict of interest.. udhami k wanGsm wa Vila u kadhaa Tanzania Bara umeondoa Imani ya mashabaiki wengi es Mpira wa miguu Tanzania.
Kwa wa watu wengi wanaamini hi matokea ya Mechi nyingi yanapangwa nje ya uwanja jambo( Mechi fixing) jambo...