haki

  1. JamiiForums Tanzania Watu ninaowajua ambao Gambo aliwavunjia heshima

    Wapo watu ambao Gambo aliwavunjia heshima na hivyo kuwadhihaki au kuwafanya wataabike mbele ya umma japo ni watu wasio na mawaa. 1-Mhe.Felix Ntibenda -alikuwa mkuu wa mkoa wa Arusha.(alimfitini tu hadi akaondolewa).. 2-Mganga mkuu mmoja mkoani Tanga(alimpiga kibao kisa kunywa maji wakati Yeye...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwaka huu 2025 uwe ni mwaka wa kihistoria wa kupigania haki katika Nchi

    Huu ni mwaka wa uchaguzi Mkuu. Kwa sababu tumeshajifunza chaguzi tatu mfululizo yaani 2019, 2020 na 2024 hatuhitaji tena kubembelezana. Nadhani kama ni busara au hekima vimetumika na sasa iwe mwisho. Mimi nadhani harakati zianze sasa kabla kabisa ya mchakato wa uchaguzi haujaanza rasmi. Taasisi...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi ni haki kwa mke kumficha mumewe password ya simu yake?

    Wakuu kama inavyojulikana kwa kawaida simu ya mke ndiyo simu rasmi kwa kila mwanafamilia (akiwemo baba) kuitumia kwa uhuru kabisa maana vyote (vikiwemo hiyo simu na huyo mke mwenyewe) hivyo ni mali ya baba. Sasa kama mke/mama hataki kutoa password ya simu imekaaje hiyo? Kuna ustawi wa...
  4. JamiiForums Tanzania Hii si tulidanganywa na vitabu hasa wale wa dini ya haki

    Ok mm hapa ni mzigua sasa kuna kitambu kinaniambia ety nikifa mungu atanihojii kiarabu kwaiyoo huyoo mungu hajuii kama mm sijuii kiarabu na huyoo mungu kweli atakuwa yuko sawa akamuhoji mtuu na lugha amabayoo sio yake mnajuaa dini hii ikojeee
  5. JamiiForums Tanzania Hivi Wakenya wanavyopigania haki, kama watanzania tungekuwa wao, huu ubabaishaji, uchawa, ukatili, na ukale vingeendelea kama ilivyo?

    Wakenya walio wengi kuna kitu wanatuzidi. Si wanafiki wala woga linapokuja suala la kupigania haki zao. Wala si woga wala wenye sura mbili. Wanajua wanachofanya. Siyo wala makombo au watu wa kujipendekeza. Siyo watu wa kusifia na kutukuza ukumbaff na uoza. Watanzania tujifunze kuwa wakweli kwa...
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Tegeta Escrow: Je, David Kafulila anakumbukwa kwa lipi baada ya Kifo cha Jaji Werema?

    Roho ya Marehemu ipate rehema kwa Mungu na ipumzike kwa amani -AMINA Leo mara baada ya kupata taarifa za kifo cha aliyewahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya awamu ya nne (4) chini ya Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete Hayati Jaji Frederick Werema, Kwa haraka nikamkumbuka...
  7. JamiiForums Tanzania Kenya: Wananchi na Watetezi wa Haki za Binadamu waanza Maandamano ya kupinga Utekaji na kutaka Waliotekwa kuachiwa haraka

    Maandamano ya Kupinga vitendo vya Utekaji yaliyoitishwa na Wanaharakati wa Haki za Binadamu na Ndugu na Jamaa wa watu walioripotiwa kutoweka katika mazingira yenye utata, yameanza leo nchini humo licha ya Jeshi la Polisi kuyaita ni haramu. Hatua hiyo inafuatia kupita Saa 48 za wito wa kuachiwa...
  8. JamiiForums Tanzania Hekima imuelekeze Mbowe kujiepusha na midahalo holela, badala yake ajikite kumobilize wajumbe wa mkutano mkuu ili apate ushindi wa kishindo kwa haki

    Hakuna haja wala sababu ya maana au ya msingi hata moja kwa Freeman Mbowe kupoteza muda wake na kushiriki midahalo ambayo ni wazi ina ushari ndani yake, na isiyo na tija wala maana yoyote, badala yake aelekeze nguvu na jitihada zake za kisiasa kucosolidate strong holds zake za wajumbe na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Lissu: Nilipokaimu Umakamu, haki za kikatiba zilikataliwa kujadiliwa vikaoni na Mwenyekiti!

    Akizungumza na Watanzania kupitia katika mtandao wa clubhouse mheshimiwa Lissu amejibu maswali mengi aliyoulizwa na Watanzania. Miongoni mwa mambo aliyoulizwa ni kuhusu faida za maridhiano zilizoelezwa na mwenyekiti Mbowe. Akijibu swali hilo, Ndugu Lissu akasema, anashangaa ndugu Mbowe...
  10. JamiiForums Tanzania Mh Mbowe amewaasa CHADEMA kushiriki uchaguzi wa haki ili ulimwengu wote uone uaminifu wao mkubwa wa kuhesabu kura kwa haki

    Mh Mbowe amewaasa CHADEMA kushiriki uchaguzi wa haki ili ulimwengu wote utambue uaminifu wao mkubwa wa kuhesabu kura kwa haki Amewaomba akina mama waliomlipia fomu wawaombee CHADEMA lakini pia waongeze maombi mengi kwaajili yake
  11. JamiiForums Tanzania Kweli kuna Wanachadema Hamnazo. Utawezaje kupigania haki bila kuwa na kiongozi mwanaharakati?

    KWELI KUNA WANACHADEMA HAMNAZO. UTAWEZAJE KUPIGANIA HAKI BILA KUWA NA KIONGOZI MWANAHARAKATI? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kwa kweli Wanachadema wamenishangaza Sana. Uchaguzi huu umeniongezea uelewa kuhusu CHADEMA inawatu wa aina gani. Hivi mtu anawezaje kupambania HAKI, ukombozi pasipo...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KWA UAMUZI HUU, KWA NINI NISIAMINI HAKIMU ZENAS TARIMO WA MAHAKAMA YA MWANZO ILALA AMEPEWA RUSHWA NA TIGOPESA (HONORA TZ MOBILE SOLUTI KUPINDISHA HAKI

    Ndugu wana jamvi kwa uamuzi wa hovyo hivi ni kwa nini nisiamini kuwa huyu hakimu ni mla rushwa? Amehongwa na kampuni ya honora tz mobile solutions ili kufuta kesi hii. Ni utaratibu kuwa watoa huduma za fedha wanasimamiwa na benki kuu chini ya sheria ya Bot Act na Bot financial consumers...
  13. JamiiForums Tanzania Ni wangapi wanapenda kifo kutokana na kutenda haki?

    Japo wengi wanachukia kifo, kuna ukweli kuwa kifo ndiyo kitu pekee kinachotenda haki kuliko vingine. Mvua inaweza kunyesha lakini si dunia nzima. Kifo kipo kila mahali dunia nzima. Furahi ipo duniani lakini siyo kwa watu wote. Ni kifo pekee kinachosawazisha mambo. Mbali na kifo, kinachofuatia ni...
  14. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri TAMISEMI apongeza watumishi wa TAMISEMI kwa kuendesha Uchaguzi kwa haki. Asema malalamiko ni kawaida

    Wakuu, Wiki chache baada ya kumalizika kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Naibu Waziri Ofisi ya Rais,Tawala za mikoa na Serikali za mitaa (TAMISEMI )Dkt. Festo Dugange amewapongeza watumishi wa TAMISEMI kwa kusimamia Uchaguzi vizuri Dugange amesema kuwa pamoja na malalamiko yaliyokuwepo...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu nisikilize, upepo wa kisiasa uko kwako 100% lakini mkakati wa kuibiwa kura umeshaanza kusukwa, jiandae

    Mimi sio mwanachama wa Chadema na sifurahii siasa zao za kutukana tukana viongozi hivyo hasa vijana wao wanavyofanya harakati za kijinga mitandaoni jambo linalosababisha wawaudhi viongozi wa serikali na ndio maana wanakamatwa kamatwa hivyo lakini najaribu kulinganisha sifa za uongozi kati ya...
  16. JamiiForums Tanzania Mbowe ana haki ya kikatiba ya kuchaguliwa na kuchagua, asizuiwe kutumia hizo kwa sababu tu Lissu na yeye anataka kugombea

    Naonakuna genge limejikita kusema Mbowe asigombee, huu ni upuuzi mkubwa sana kufanywa na wanachama wa chama kinajiita cha demokrasia. Katiba yao inamruhusu agombee, kwa nini Mbowe asiachwe ashinde/ashindwe kwenye sanduku la kura, ila anashinikizwa asigombee? Sasa kutakuwa na tofauti gani na...
  17. JamiiForums Tanzania Linapokuja suala la IMANI, Waafrika wanampigania Mungu. Likija suala la Haki zao za msingi, wanamwachia Mungu awapiganie!

    Imani za kidini barani Afrika ni zaidi ya madawa ya kulevya zimeharibu akili na mfumo mzima wa kufikiri wa waafrika. Linapokuja suala la udini Waafrika wanampigania Mungu kwa nguvu zao zote wakitetea dhana ya kufikirika ambayo hawawezi hata kuithibitisha uwepo wake. Tena unakuta wanaipigania...
  18. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wanafunzi tunaosoma Shahada ya Usingizi na Ganzi Salama tupewe haki za kimasomo, Serikali ifanye maboresho katika hii Shahada

    Sisi ni wanafunzi tunaosoma Shahada ya Utoaji Dawa za Usingizi na Ganzi Salama (NURSE ANAESTHESIA) Shahada hii inachukua miaka minne mpaka kuhitimu. Dawa hizo ni mhimu sana katika Huduma za Kiafya hasa katika sehemu ya vyumba vya upasuaji (theater), kwa wagonjwa mahututi, emergency, clinics na...
  19. JamiiForums Tanzania Aikaeli Mbowe kaonesha chuki dhidi ya alivyoviita vyama 14 vya siasa

    Friends, ladies and gentlemen. Je ni kweli kwamba umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu? Inaonekana kwenye siasa za Tanzania hasa upinzani, chuki binafsi, migawanyiko, uhasama na utengano miongoni mwa vyama vya siasa eti ndiyo huleta nguvu na ndiyo kipaumbele chao kwa sasa. Kitendo cha...
  20. JamiiForums Tanzania Siku ya Haki za Binadamu: Je, Tanzania inaheshimu na kuzilinda?

    Siku ya Haki za Binadamu huadhimishwa kila mwaka duniani kote tarehe 10 Desemba. Siku hii inaadhimisha kumbukumbu ya moja ya ahadi muhimu zaidi duniani: Tamko la Ulimwengu la Haki za Binadamu (UDHR) la mwaka 1948. Hati hii ya kihistoria inathibitisha haki za asili ambazo kila mtu anastahili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…