haki

  1. JamiiForums Tanzania Orodha ya watu ambao sio wapenda haki bali ni matapeli na wenye chuki binafsi

    1. Mtu anaenasibisha uongozi wa Samia na uzanzibar au uislam. Samia hatumii vifungu vya dini kufanya mambo yake, keanza mengi yapo kinyume na dini, pili wa Zanzibar nao pia ni wahanga wa CCM, ni makundi machache yanayonufaika na CCM ndio wanaoshangilia hapa wapo wanajamiiforums wengi 2...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Sheikh Shafii amtetea Gwajima, asema kama watu wanapotea na kutekwa ni haki kusema tunapoelekea si salama

    Sheikh Shafii alipokuwa akifanya mahojiano na Battle TV ameeleza kuwa alichokisema Askofu Gwajima ni sahihi labda kama amekosea eneo la kusema na kutoa baadhi ya mifano lakini kama watu wanatekwa kweli na kupotea ni haki kusema kuwa tunapolekea si salama. "Ukizungumzia kuhusu Gwajima watu...
  3. JamiiForums Tanzania Uhuru wa Kuabudu na Haki ya Askofu Gwajima Kufundisha Amri za Mungu: Usiue mtu asiye na hatia, Usiue jina zuri la mtu baki, na Usiibe mtu kwa Kumteka

    https://youtu.be/NhpB9Zh2_6Y I. Usuli Uamuzi wa serikali wa kukurupuka kufunga kanisa la ufufuo na uzima na matawi yake 2,000 nchini Tanzania, tena bila kutoa nafasi ya kujitetea kwa viongozi wake, ni ushahidi kwamba huenda viongozi wetu hawaelewi kwamba uhuru wa kuutafuta ukweli wa...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Mnyonge mnyongeeni, haki yake mpeni- kwa mafanikio haya, Rais Samia umetutendea haki wakulima

    Katika zama ambapo kilimo kilionekana kama kazi ya kizamani isiyo na tija, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekuja na mtazamo mpya, ambao umegeuza kilimo kuwa fursa muhimu ya kibiashara. Sauti za wakulima ambazo kwa muda mrefu zilisikika kama kilio kisicho...
  5. JamiiForums Tanzania Kila mtanzania mpenda HAKI kwa IMANI yake apige magoti kwa Mungu, atajibu HAKIKA

    Naelewa na najua watanzania wengi wanaumia na Wana maswali mengi ya haya yanayoendelea..je ni sababu ya ulafi wa Madaraka ama Kuna kingine? Ila kwa tafakuri niliyofanya nimekuja na majibu haya Usicheze na maslahi ya kifisadi ya kikundi Cha watu kadhaa , ...utekaji/mauaji yanatokeaje? Pale...
  6. JamiiForums Tanzania Mnyonge mnyongeni - Kwa mafanikio haya, Rais Samia umetutendea haki wakulima

    Na, Kalamu ya Jenerali, Mbalali Katika zama ambapo kilimo kilionekana kama kazi ya kizamani isiyo na tija, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekuja na mtazamo mpya, ambao umegeuza kilimo kuwa fursa muhimu ya kibiashara. Sauti za wakulima ambazo kwa muda...
  7. JamiiForums Tanzania Wapenda haki tunataka kusikia tamko la Umoja wa Makanisa Tanzania CCT

    Sina mengi kama heading inavyosomeka umoja wa makanisa Tanzania CCT utoke hadharani na tamko lake ili tujuwe msimamo wa kanisa ni nini juu ya haya yanayoendelea.
  8. JamiiForums Tanzania Kufungia Kanisa kwa Sababu ya Hoja za Gwajima? Taifa Linapotea Mwelekeo wa Haki na Uhuru

    Tarehe 2 Juni 2025, nimeona barua inayojinasibu kuwa ni ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya kulifungia Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church @ Ufufuo na Uzima, linaloongozwa na Mbunge wa CCM, Askofu Josephat Gwajima. Kisingizio? Lakini kwa anayesoma hali kwa makini, hoja ya kweli ni moja tu...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Maombolezo ya Jamii Iliyopotea: Wito wa Kurudisha Haki na Utu kwa watanzania

    Ni kweli kwamba tumepoteza wengi—marafiki, ndugu, na binadamu wenzetu—kwa mateso, mauaji, na kupotezwa bila haki. Ni picha ngumu sana kuona jamii ikizidi kuangalia mambo ya msingi kama burudani na mapenzi, huku haki, utu, na thamani ya maisha zikidharauliwa. ni kama tumelala usingizi wa pono...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia anasemwa kwa haki kabisa kutokana na mwenendo wa uongozi wake. Sijui kwanini anaona anaonewa? Mimi simuelewi kwanini aone hivyo

    Rais Samia aambiwe tu ukweli kuwa anaweza kubadilika na akaongoza vizuri tu kwa kufuata uelekeo mzuri. Tumwambie kuwa uelekeo alipo ni kama sisi watu wa Tanganyika tunaona hatupendi. Tumwambie tu hata kama ataendelea kuchukia sisi tuendelee kumwambia tu. 1. Kwanini amefungia mtandao wa Twitter...
  11. JamiiForums Tanzania Waarabu Hawajawahi Kujali Haki za Watoto: Kinachoendelea Zanzibar na Kesi la Ulawiti ni Dalili Za Mwanzo za Unyama unaofanyika Nchi za Kiarabu

    Na Tauceti Rigel Ni lini jamii itaamka kutoka usingizi wa kina, na kukubali kuwa baadhi ya tamaduni zinazofichwa nyuma ya pazia la dini ni vazi la unyama wa wazi? Swali hili linapaswa kutusumbua sisi sote, hasa wakati huu ambapo Zanzibar inatikiswa na kesi za ulawiti wa watoto huku wengi...
  12. JamiiForums Tanzania Wabongo wanapenda kukusakizia uwapiganie haki zao. Yakikukuta wanakuacha! Ukisusa wanakulalamikia kwa Jambo ambalo ni wajibu wao kujipigania wenyewe!

    Mpo Salama! Kwa kweli inaumiza Sana! Nitakuwa mkweli na mwaminifu. Nitatenda haki kwa pande zote. Nimefuatilia kwa kipindi kirefu sasa. Nimegundua Wabongo wengi wanatabia mbaya Sana. Kwanza, wanapenda kufanyiwa mambo ambayo ni wajibu wao kuyafanya. Niliwapa stori iliyonitokea mwaka 2018...
  13. JamiiForums Tanzania Katu huwezi ilinda amani kwa kuua sauti ya haki

    "Miaka ya 4500 kabla ya Kristo, wakati jamii zilipoanza kuelimika, askari walijitolea kwa moyo wa dhati kuilinda jamii dhidi ya watu wabaya. Walikuwa ngao ya wanyonge, walinzi wa haki na utulivu. Magenerali kama Hannibal Barca wa Karthage (Tunisia ya sasa), aliyepambana kulinda taifa lake dhidi...
  14. JamiiForums Tanzania Nendeni mkatende haki kwenye mchujo. Lakini type za ama Gwajima muyaache nje. Haki gani hiyo ??

    Alianza kwa kusema nawaombeni. Halafu akasema au sijui niagizeee ? Nendeni mkatende haki kwenye mchujo. Lakini Ma Gwajima tuyaache nje. Jamani, ndivyo alivyosema Mwenyekiti. Sasaaa...... logic yake hapa mimi sijamuelewa. Haki hapa ni kumkata mwana CCM asubuhi na mapema au kumpa chance mtu...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Kwa hizi hotuba za Rais wetu, CHADEMA ni vyema mjiandae kimkakati kuelekea 2030, uchaguzi wa mwaka huu ni wazi hata kwa 0% hautakuwa wa huru na haki.

    Nawasikitikia sana wale wanaosema watapambana wakiwa uwanjani, kiukweli mtachakazwa na kila aina ya rafu hadi mtakimbia kabla hata ya dakika 90. Wale walioahidiwa ubunge wa bure sahauni, simuoni mwana ccm yeyote wa kukubali kuachia jimbo kizembe eti kisa wewe mpinzani. Chadema mwaka huu...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tausi Likokola: Serikali iwajibike kutoa majibu kuhusu matukio ya utekaji na watu wanaopotea hasa wale wanaoikosoa

    Mwanamitindo wa Tanzania anayeishi nchini Marekani, Tausi Likokola ametoa ujumbe mitandaoni akiitaka Serikali kuwajibika kutoa majibu kuhusu matukio ya utekaji na watu wanaopotea hasa wale wanaokosoa Serikali. Sikiliza video yake hapo chini
  17. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa ACT Wazalendo Dorothy Semu anakiri mifumo ya uchaguzi haiwezi kutoa haki lakini hawatasusia uchaguzi

    Nina swali kwake. Hivi hawaoni wakiungana na Chadema kutoshiriki uchaguzi mpaka mabadilko ya kweli yawepo ndio njia bora ya kushiniiza mabadiliko? Ni akil gani ya kuamini utashinda wakati unakiri kura zinaibiwa, wagombea wanaenguliwa kwa sababu zisizo za kikatiba. Haoni kushiriki uchaguzi ni...
  18. JamiiForums Tanzania Kama Gwajima Ndiye Mtetezi wa Haki, Basi Fisi Ni Mlinzi wa Kondoo

    Katika dunia ya hoja na mantiki, ni kweli kwamba ujumbe ni muhimu kuliko mjumbe. Lakini je, kila mjumbe anastahili jukwaa? Mbona si kila njiwa huleta barua njema; wapo wanaoruka wakiwa wamebeba hadaa na uzushi. Gwajima ni baba wa ahadi zilizoharibika kabla ya kuzaliwa. Aliwahadaa wananchi wa...
  19. JamiiForums Tanzania Haki na Amani

    Mimi sio mwanasiasa ila kumekua na mvutano wa kimaneno kwa wanasiasa ila naona Wengi Neno Haki Hawalizungumzi, nawaomba Wenye Mamlaka Tazameni Haki, Palipo na Haki Amani Utamalaki. Pia Punguzeni kufanya mambo kwa Maslai ya Tumbo, pia kutazama Maslai ya watu Fulani( Kikundi Cha watu) Neno Amani...
  20. JamiiForums Tanzania Ongezeko la ajira 300 za TRA wasailiwa hawajatendewa haki

    Wakuu Habari. Usiku wa leo TRA imetangaza siku ya matokeo ya oral lakini pia ndani ya taarifa hiyo wamesema kulikua kuna ongezeko la ajira 300 ambazo hazikuepo hapo awali katika usaili wa kuandika. Kuna watu wengi wamekosa nafasi ya kwenda oral interview kwa sababu ya ratio na sio kwa sababu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…