Hata kama hatukubaliani sana juu ya kwa nini kunahitajika REFORMS hasa kwenye nyanja za kisiasa
Lakini leo embu yatufikirishe haya yafuatayo
Wabunge wetu wakikaa bungeni miaka mitano tu, Kiinua mgongo chao ni 400M, hapo hakuna cha aliye na shule na asiye na shule wote watalipwa mkwanja sawa...
Hayo yamesemwa na Mjumbe wa EU na makamu wa Rais wa EU na muwakilishi mkuu wa Sera za kigeni na masuala ya Usalama aliyekuwa na ziara ya kikazi ya siku tatu nchini Tanzania
Umoja wa Ulaya (EU) umeisifu Tanzania kwa kudumisha hadhi yake kama kielelezo cha amani katika eneo la Afrika Mashariki...
Zimebaki siku kadhaa kuelekea kutafuta HAKI. Bila shaka muda huu upande wa mashtaka wanapanga namna ya kupeleka maombi ya kupeleka mbele kesi. Wanafanya hivyo kwa sababu waendesha mashtaka hawana ubavu wa kukataa maombi yao, isipokuwa wana ubavu wa kukataa maombi yote ya mshtakiwa.
Rai yangu...
Naomba msaada nijue haki yangu naipata wapi Mimi niliajiriwa katika kampuni binafsi na nimemaliza mkataba wangu.
Kama ilivyo makubaliano ya mkataba ni WA muda mfupi 12 months na yote nimetumikia, nilipoandika barua ya kutoa taarifa ya kutoendelea na wao baada ya mkataba huu kuisha kama ilivyo...
Kenya wakipita 2027 vizuri wamshukuru Mungu. Mwaka 2007 walipouana mambo yalianza hivi hivi.
Kuenguliwa kwa Riggy G kummemfanya afanye siasa za ukabila waziwazi. Hata haogopi kutamka kauli zinazoweza/japo zimeanza kuligawanya taifa kikabila.
Ukiwaskia wanasiasa hasa wa Bonde la ufa hoja yao...
Hiki kitu nimekuwa nikijiuliza sana Masheikh wengi wamekuwa wakitete Amani badala ya haki,huku ukiangalia kwa maksudi serikali na chama tawala haitaki kukubali kubadili baadhi ya vifungu vya katiba na sheria vya tume ya uchaguzi vitakavyotupeleka kwenye haki ya kumchagua kiongozi, siyo amani ya...
Kama ulikua huzijui haki zako ukikamatwa na POLICE wacha nikufahamishe;-
Watu wengi hawajui haki zao wakikamatwa na polisi,
Sasa kama huzijui haki zako ni hizo hapa;-
1). Askari akikuweka chini ya ulinzi muulize kitambulisho, ni haki yako.
2). Askari akikukamata akuoneshe...
Hivi kweli Wanamichezo hapa JamiiForums tukiweka pembeni Mahaba yetu kwa hizi Timu zetu kabisa tukifanya thorough analysis kuanzia Msimu wa Ligi Kuu ya NBC ianze mpaka hivi juzi ilipomalizika na tukiangalia kuanzia Mechi walizocheza, Mchango wao na uwajibikaji wao kwa Timu zao tukiwa na Akili...
Bunge la Kitaifa linaloungwa mkono na serikali ya Venezuela limemtangaza Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Kibinadamu, Volker Turk kuwa mtu asiyetakiwa nchini humo
Hatua ya Venezuela inafuatia ripoti ya karibuni ya ofisi ya Turk kuelezea kuendelea kuzorota kwa haki nchini humo.
Turk...
Siku chache zilizopita niliandika uzi unaoitwa: “Watu wanasali, mabomu yanalia. Je, kuna uhuru wa kuabudu?”Ulikuwa ni mwitikio wa kile tulichoshuhudia tarehe 22 na 29 June 2025: waumini wa dhehebu flani wakitawanywa kwa mabomu wakati wakiwa kwenye ibada.
Sikuandika kwa lengo la kutetea mtu...
Rais wa Baraza la Maaskofu wa Katoliki Tanzania (TEC), Wolfgang Pisa ametangaza kuwepo kwa maombi ya kufunga Agosti 23, 2025 kuombea haki na Amani katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Ameyasema hayo Juni 29 katika misa ya kutolewa kwa daraja takatifu la upadre na ushemasi katika parokia ya...
Uwekezaji Mkubwa a Kijasusi alouwekeza Israel nchini Irani, ulifikia Hatua ya kudhani Operation ya Kumuua Kiongozi wa Iran, Ayatollah, na kuwaua Wakuu wa MAJESHI nchini Iran haraharaka kungepelekea Taharuki ambayo ingewainua Wairan na kuwafanya waingize Barabaran na kupindua Serikali yao kama...
Kuna wenzetu tuliokuwa nao katika jukwaa hili lakini isivyobahati kutokana na sababu mbalimbali leo hii hawaonekani.
Kutokuonekaa kwao ama kunasababishwa na kutangulia mbele ya haki ama kubanwa na shughuli mbalimbali za Kila siku.
Pia kuna members wameachana na ID zao za zamani hivyo hii ni...
Uchaguzi hauwezi kufanyika bila upinzani wenye nguvu na uwepo wa haki kinachoenda kufanyika ni maigizo sio uchaguzi.
Hakuna uchaguzi bila mabadiliko bali maigizo.
Kumekuwa na nyimbo za kila siku. Makabwela tunaambiwa tutunze amani amani......
Linapokuja swala la kutendewa haki sisi makabwela hatukumbukwi. Tunahimizwa tu tutunze na kulinda amani.
Kilichotokea kwenye Machafuko ya sasa huko Nchini Irani kimetupa funza kali
Mkuu wa Nchi hiyo amekimbia...
Wana Simba SC tutazunguka kila Kona, tutasema kila Maneno, tutatafuta Mchawi / Wachawi kila pembe ya dunia, Tutalaumiana mno, tutachukiana sana wenyewe kwa wenyewe ila Leo hii namaliza rasmi Utata kuwa Simba SC hatuwawezi Yanga SC na tusipojitathimini Kimkakati upo uwezekano mkubwa tukaendelea...
Madeleka kugombea Ubunge Tabora kumekutoa akili kweli? Mbona ulikuwa shujaa wa IMANI katika Mungu na mkeo kaokoka?
Leo unasema utekaji umepungu/haupo? Kweli?
Umeshakuwa "chawa" wa ACT, but remotely chawa wa CCM!
KWELI HAKUNA UTEKAJI?