Atafikishwa Mahakamani baada ya kuhakikisha mtendaji wa kata ya Keko anatenda kama sheria za uchaguzi zinavyotaka kwa kumpatia mgombea halali fomu zake , hii ilitokea baada ya Mtendaji huyo kuchelewa kujificha hadi kukutwa ofisini na Mgombea wa CHADEMA ambapo akataka kukataa kumhudumia mgombea...
Kuna Mambo hayasemwi kwa uwazi kwasababu ya busara ambazo Ni sahihi tukumbuke Magufuli anaongoza watu milioni 60 na sio familia ya mke wa John Pombe Magufuli na mama jeska // Magufuli Ni rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania yeye Kama binadamu Kuna Mambo atakosea ila kwa uongozi wa watu 60M...
NA RAJAB MKASABA, IKULU
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, ameitaka Jumuiya ya Majaji na Mahakimu ya Nchi za Afrika Mashariki (EAMJA) kuhakikisha sheria zinatafsiriwa kutoka lugha ya Kiingereza kwenda lugha ya Kiswahili.
Alisema hatua hiyo...
Kwema wakuu?
Miaka iliyopita mshahara ukitoka tu Maza alikuwa ananiambia nikamtolee fedha yote nitakayoikuta kwenye akaunti yake pindi tu mshahara unapoingia.
Nikifika tu NMB nakutana na foleni kubwa sana. Nikienda tarehe za kawaida kwa issue zingine pale Benki nikichungulia ATM sioni foleni...
Popote ulipo Shangazi kipenzi cha watu nakusalimu na kukujulia hali.
Kwanza unisamehe shangazi kwa uandishi wangu mbovu unao chosha wasomaji.
Hii yote sababu nilimkosa kwenye simu anko Pascal Mayalla anipe 'shoti kozi' ya uandishi.
Nauliza mbona kimya kingi na huku matukio uliyo kuwa...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la wito wa Tuacheni Ramli Chonganishi Kuhusu Mhusika wa Shambulizi la Risasi kwa Mhe. Tundu Lissu, kupotea kwa mwana jf maarufu Ben Saanane, kupotea kwa mwanahabari Azory Gwanda, kuibuliwa kwa miili yenye majeraha kwenye viroba, au vitendo vingine vyovyote vya...
Nayakumbuka maneno ya Hayati Mwalimu Nyerere pale Chuo Kikuu cha DSM siku alipoalikwa na uongozi wa wanachuo.
Wakati ule kulitokea kipindupindu maeneo ya Mtwara. Serikali haikununua dawa kwa sababu haikuwa na hela. Hivyo serikali ikaagiza wananchi wazingatie usafi. Watu wakaendelea kufa na...