haki za raia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    Familia ya Clemence Mwandambo yadai haijui alipo baada ya kuchukuliwa na Polisi

    Kupitia ukurasa wake wa Instagram anaandika Twaha Mwaipaya juu ya jeshi la polisi kuwanyima ndugu wa clemence Mwandambo haki ya kumuona na baadaye kuchukuliwa mbele ya ndugu zake. "Jeshi la Polisi Mbeya lilimkamata kaka yetu Clemence Mwandambo tarehe 29. 12. 2025 alipokuwa ameenda kuripoti na...
  2. Q

    Serikali inataka kutumia mbinu ya 'Sharpeville Massacre" kuifuta CHADEMA kama serikali ya Makaburu ilivyoifuta ANC

    Credit to Hilda Newton (X) 1960, polisi wa Makaburu katika kitongoji cha weusi cha Sharpville nchini Afrika Kusini walifyatua risasi kwa umati wa watu wasio na silaha waliokuwa wakiandamana kwa amani kupinga sheria kandamizi na kuua watu 69 na kujeruhi 186. Serikali ya Makaburu ilidai kuwa...
  3. Analogia Malenga

    Zimbabwe: Kamanda wa Jeshi aungana na Wananchi dhidi ya Rais Mnangagwa; asema nchi sio ya wahalifu (kina Chivayo)

    Veterani wa vita aliyekimbizwa na mamlaka, Blessed Runesu Geza, anayejulikana pia kama “Cde Bombshell”, amewaomba Wazimbabwe waamke dhidi ya kile anachodai kuwa ni kunyakuliwa kwa dola na wizi wa rasilimali za taifa na Rais Emmerson Mnangagwa na wadanganyifu wake. Geza alisema raia wanapaswa...
  4. Carlos The Jackal

    PreGE2025 Vyombo vya Dola, Mna uhakika Samia hatoendelea kuwaingiza kwenye mtego wa matumizi ya Nguvu na Uvunjifu wa Haki za Raia?

    Hili Swali nililiuliza Punde tu Samia alipojiteua kua Mgombea !!. ( Unajua Mtego anaowaingiza Samia, utawafanya Vyombo Dola mnuke Damu za watu, matokeo yake mtajikuta mko Blackmailed, in turn mtajikuta nanyinyi mmeamua kutumia Mbinu za Uovu ili kuendelea kubakia Madarakani, mkiogopa kuchukuliwa...
  5. ngara23

    Haki za Raia (mtuhumiwa) mbele ya polisi

    Leo nitafundisha baadhi ya haki zako raia mbele ya polisi Polisi ni chombo cha serikali kipo cha ajili ya kulinda raia na mali zao Kimsingi polisi wanatakiwa kuwa rafiki wa Raia ili kushirikiana kuondosha uharifu Polisi hawapo juu ya sheria, wakikengeuka wanaweza kushtakiwa na mkono wa sheria...
  6. Inside10

    Familia yataka haki kijana aliyedai kuvunjwa mguu na polisi

    Familia ya kijana aliyedai kupigwa hadi kuvunjwa mguu na askari polisi ndani ya chumba cha mahojiano, wamelitaka Jeshi la Polisi kumfikisha mahakamani mtuhumiwa huyo, ili hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yake. Kijana huyo, Peter Charles (21), mkazi wa kata ya Daraja Mbili jijini Arusha...
  7. Pendragon24

    SoC04 Uanzishwaji wa madarasa huru ya jamii ili kulinda haki za raia na kupunguza chuki za ukabila, uchama udini na ukanda zilizoanza kumea nchini

    Kama taifa sasa tunashuhudia kumea kwa matabaka ya chuki kati ya jamii na watu wenye itikadi kali dhidi ya wengine ambao wanaonekana kuwa inferio ndani ya nchi yao. Wananchi ambao wanaonekana kuwa inferio ndani ya jamii wengi wao wanasumbuliwa na tatizo la uelewa mdogo kuhusu maswala mtambuka...
  8. B

    Hivi Mkuu wa Wilaya Ubungo atathibitishaje ukahaba wa hawa watu?

    Bashir Yakub, WAKILI. +255 714 047 241. 1. Pengine utasema ni kahaba kwasababu kavaa nguo fupi sana dizaini ya chupi au nyinginezo. Lakini hii sio ushahidi wa mtu kuwa kahaba. Tanzania hatuna Sheria inayoelekeza(regulate) mavazi. Mtu anaweza kuvaa vyovyote vile. Na pia hakuna mavazi mtu akivaa...
  9. Yoda

    Chalamila akusudia kuanzisha oparesheni maalumu dhidi ya waganga wa kienyeji Dar!

    Hivi wakuu mkoa na wa wilaya za Dar es Salaam huwa wanakuwa na mpango kazi maalumu wa kufanyia kazi kwa mkoa na wilaya husika? Yaani baada ya kutokea mauaji ya mtoto albino huko Muleba, Kagera Chalamila yeye anaibuka na oparesheni ya waganga wa kienyeji Dar! Sasa Chalamila atawashughulikia...
  10. sitagliptin

    KERO Responded Naomba uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili uondoe CCTV Camera zilizowekwa chooni

    Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili ya Upanga, tafadhali fanyeni busara kuziondoa kamera ambazo zimefungwa chooni. Sio busara, sio ustaarabu, ni kuingilia faragha za watu. Chooni ni eneo nyeti sana usiri mkubwa sana. Nimeshangazwa kukuta kamera zimewekwa ndani chooni, eneo ambalo mkoaji...
  11. P

    Mwanajeshi kudhulumu darubini

    Habari za wakati huu, Mimi ni mwananchi wa kawaida, raia wa Tanzania. Nipo Dar es Salaam katika eneo fulani ambalo lilikuwa shamba la marehemu mzee wangu, sasa limekuwa eneo la makazi. Ilibidi mzee apime viwanja na kuanza kuuza baadhi ya viwanja. Kuna mteja mmoja, mwanajeshi, alijenga na...
Back
Top Bottom