Wakili William Maduhu kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) ameeleza kuwa Sheria ya Mtoto nchini Tanzania inakataza upigaji picha za watoto na kuzichapisha mitandaoni kwa sababu ya kulinda faragha za watoto hao.
Akizungumza leo Machi 19, 2026, kupitia kipindi cha Jambo Asubuhi...
Nina rafiki ninayefanya naye kazi, sasa kutokana na ubize wa kazi pamoja na mkewe, waliamua kufunga kamera kwenye nyumba yao ili waweze kujua kinachoendelea wanapokuwa nje ya nyumba.
Nyumba yao ni ya vyumba vitatu, ambapo kimoja anatumia msaidizi wa kazi za ndani ambaye pia analala na mtoto wao...
Wakuu,
Juzi bwana Zungu alitoka povu baada ya ATCL kuchelewesha safari ya Mwanza - Dar bila ya kutoa taarifa, povu lote akalitolea kwenye mitandao ya kijamii. Kumbuka Zungu hakuwa peke yake katika uwanja huo wa ndege, abiria wengine kibao walimshuhudia na alijitahidi kupaza sauti (pamoja na...
Kwa mujibu wa wa kifungu cha 60 & 63 cha Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi Toleo Namba 44 la 2023 kusambaza taarifa binafsi kuhusu migogoro ya kifamilia ya watu bila idhini ya wahusika ni kukiuka haki ya faragha.
Na iwapo ukapatikana na hatia kwa mtu binafsi anapaswa kulipa faini isiyopungua...
Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Wilfred Willa kutoka Makao Makuu ya Polisi Dodoma, Kitengo cha Dawati la Jinsia, Ulinzi na Mtoto, amesema kuwa ni kosa la kisheria kumpost Mtoto au Mtu mtandaoni bila ridhaa yake ambapo ametaja kuwa adhabu ya kosa hilo ni kifungo cha hadi miaka mitatu jela, faini ya...
Kuna binti kaja kwenye kikundi leo analia, jana mume karudi nyumbani amelewa binti kafungua simu amekuta meseji za kimapenzi za wanawake, picha za utupu kutoka kwa wanawake watatu na wawili kati yao ni wafanyakazi wenzake na mumewe. Asubuhi hii ameondoka nyumbani akaenda kanisani na hajaongea na...
Mimi ni Mwananchi ambaye nimekuwa nikipata huduma katika Hospitali ya Wilaya ya Magharibi, Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja (Hospitali ya Ijitimai) kuna kero ambayo imekuwa ikinisumbua muda mrefu na ninaamini inasumbua watu wengi pia.
Nimekuwa nikifika kituoni hapo kupata huduma ya Ugonjwa wa...
Wakuu, salama huko mlipoamkia?
Naamini wengi wetu tumekuwa tukipokea matangazo kwenye simu zetu ya huduma ambazo hatujawi kuzitaka, na hujawahi kutoa namba yako na kuwaruhusu kukutumia matangazo hayo.
Tena wakati mwingine wanataja mpaka jina lako, mf. Habari Cute Wife, unajua unaweza...
Katika mazingira ya Tanzania ambapo kulishatokea matukio ya kigaidi, kama shambulio la bomu kwenye ubalozi wa Marekani mwaka 1998 na matukio ya vurugu za Kibiti, vyombo vya usalama vya serikali (Intelligence community) vinategemewa kufuatilia mawasiliano ya watu kwa sababu za kiusalama Vyombo...
Si kwa Tanzania tu bali ni dunia nzima, serikali imekuwa ikitumia mamlaka yao kufanya uovu kwa watu walio kinyume nao, wanasiasa, wanahabari, n.k.
Hakuna kampuni ya itaweza zuia agizo la serikali kwakuwa hatuna katiba imara ya kufanya hivyo, Tigo na Voda au hata wengine, wanaangushiwa tu jumba...
Mahakama yaiamuru Kampuni ya Safari Automotive Limited kulipa Fidia ya Milioni 10 kwa kusambaza video za mteja wao bila ridhaa yake.
Mahakama Kuu (Masijala ndogo ya Dar es Salaam) yaiamuru Kampuni ya Safari Automotive Limited kumlipa Godwin Danda fidia ya Shilingi Milioni Kumi (10,000,000/=) za...
Wiki iliyopita si ni li kopa pesa x ikawa natakiwa nirejeshe pesa nusu mara mbili ndani ya siku 14 yani kila baada ya siku Saba nirejeshe.
Sasa rejesho la kwanza lilikuwa jana ila cha moto nakipata! Aloo najuta, sio kwa meseji hizo ninazotumiwa!
Kwani nisipolipa watanifanya nini tofauti na...
Unapita mtaani usiku mida ya saa2au sa4 usiku ghafla kamera inatowa mwanga mkali kumbe kamera inatupiga picha si poa. Yani tunarudi kwetumakamera yenu yanatuphotowa jamani!!!!.
📺KENYA| CS for Transport, Kipchumba Murkomen, proposes that Parliament should urgently introduce and pass a Lifestyle Audit Bill.
The Bill aims to ensure that state and public officers' living standards align with their lawful income, setting parameters for auditing and capping the maximum cost...
Wabunge wawili wa vyama vya Republican na Democratic nchini Marekani wamefikia makubaliano ya pande mbili ambayo kwa mara ya kwanza yanaweza kutoa haki ya msingi ya faragha ya kidijitali kwa Wamarekani wote na kuanzisha sheria ya kitaifa inayosimamia jinsi makampuni yanavyoweza kukusanya...
Jiuzi nilienda ofisi ya NIDA Kinondoni huko Kawe. Kisa mtandao wao kukata nilipoenda mara ya kwanza nilipaswa kuacha makaratasi yangu ofisini kwao. Niliporudi kupigwa picha na kuchukuliwa alama za vidole yaani kuingizwa kwenye mfumo, maafisa wote wa chumba cha picha walikuwa bize na shughuli...
Kuna watu mjadala ukiwa maadili yanavunjika wanawalaumu viongozi, na maadili yakinyooshwa wanawalaumu viongozi😃. Mara haki ya faragha, wengine hadi ushoga wameuweka kwa haki za binadamu.
Humu kuna anayependa dada yake ajiuzee? Kama jibu hapana, sasa tujadili kuwapa mitaji na pia tujadili...
Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili ya Upanga, tafadhali fanyeni busara kuziondoa kamera ambazo zimefungwa chooni.
Sio busara, sio ustaarabu, ni kuingilia faragha za watu. Chooni ni eneo nyeti sana usiri mkubwa sana.
Nimeshangazwa kukuta kamera zimewekwa ndani chooni, eneo ambalo mkoaji...
Serikali nyingi duniani zinaongeza matumizi ya udukuzi kufanikisha shughuli zao za upelelezi. Hata hivyo, nyingi hutumia udukuzi huo kwa siri na bila msingi wa wazi wa kisheria. Hata katika kesi ambapo serikali zinajaribu kuweka uwezo huo katika sheria, mara nyingi hufanya hivyo bila kuweka...
digital privacy
digital privacy 2023
digital rights
hakiyafaraghahaki za binadamu
pegasus
udukuzi
uhuru wa habari
ulinzi wa data
ulinzi wa taarifa binafsi
Marafiki hao 15 walipanga nyumba huyo kwa ajili mapumziko British Colombia, ndipo usiku mmoja wa mapumziko wao waligundua kulikuwa na camera zilizokuwa zimefichwa kwenye soketi ya umeme zikiwa zimeelekezwa bafuni.
Mmoja wa marafiki hao aliona video kutoka mtandao wa Tiktok ikiongelea kuhusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.