haki na amani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. baz kaiza

    Watanzania wote wapenda HAKI na amani ni muda sasa wa kuamka kudai kuachiliwa kwa Lissu tena kwa nguvu zote na mamlaka kutwambia yuko wapi Polepole

    Ni mda watanzania wote bila kujali itikadi za vyama na dini zetu kutoka na kushinikiza mamlaka kumwachia Tundu Lissu bila masharti yoyote. Na mamlaka kutoka na kusema Polepole yuko wapi hii nchi sio mali ya mtu hii ni nchi ya wananchi wote au Mamlaka mnataka kuona Nguvu ya Umma ile ya October...
  2. R

    Makamu wa Rais tendeni haki na amani itapatikana automatically. Sijasikia unakemea ukatili wa Polisi unaoendelea nchini

    Nchimbi, hizi ni kauli za kitoto, kitotot na kinafiki kabisa. Hakuna cha kuomba hapa, ni nyinyi mliojivika madaraka kuacha kutenda maovu! Mfano, kulikuwa na sababu gani polisi kuwapiga Bawacha? Umekemea? Kwanini mnamuweka Lisu gerezani bila sababu? Halafu unasema kuomba!
  3. M

    Said Mtanda: Dhana ya haki na amani haziwezi kutenganishwa katika ujenzi wa taifa imara, ni pande mbili za sarafu moja

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, amesisitiza kuwa dhana ya haki na amani haziwezi kutenganishwa katika ujenzi wa taifa imara, akizitaja kuwa ni pande mbili za sarafu moja. Akizungumza jana, Machi 4, 2026, katika Maadhimisho ya Siku ya Maridhiano (Maridhiano Day) nchini Tanzania, Mtanda...
  4. Traxtion

    Taliban yaruhusu wanawake kupigwa ila wasivunjwe mifupa au kupata majeraha

    Kiongozi mkuu wa Taliban, Hibatullah Akhundzada amesaini sheria mpya ya adhabu nchini Afghanistan ambayo inaruhusu wanaume kuwapiga wake na watoto wao, isipo kuwa vipigo hivyo havisababishi kuvunjika kwa mifupa kwenye miili yao. Aidha mazingira ya kisheria kwa wanawake yamezidi kuwa magumu...
  5. Zawadini

    Haki na amani: Mifano inayotolewa haifanani na hali halisi

    Wanajamvi; nimeamka nikaona niseme kidogo. Kumekuwa na matukio mawili ambayo yamekuwa yakielezwa kama kigezo cha taswira njema kwa yaliyotokea nchini mwetu wakati na baada ya uchaguzi. Matukio hayo mawili ni fainali za AFCON25 na uchaguzi wa Uganda. 1. Katika fainali za AFCON, watu humu...
  6. M

    PostGE2025 Maoni ya Abdallah Makame kuhusu HAKI na AMANI; ajing'ata kuhusu kipi kianze

    Abdallah Makame ambaye ni mbunge wa bunge la Afrika Mashariki akijibu hoja ya mtangazaji Odemba kuhusu haki na amani, amesema kuwa vyote ni pacha na haviwezi kutenganishwa kwasababu vinategemeana
  7. R

    Kwahiyo Gwajima ndiye alpha na omega wa ujenzi wa umoja na haki na amani. Siyo "Niffer", Lissu, na wanaoozea jela kwa kesi za." mchongo"

    Unadhani unajenga kumbe unaharibu. Dr. Mwigulu jitafakari kabla ya kuja mbele ya kamera kwenye majira haya ya tense and fragile moments.
  8. Yoda

    PostGE2025 Masheikh wa BAKWATA acheni kupotosha, kudai haki sio kuvunja amani

    Masheikh wa BAKWATA wamekomalia propaganda ya kwamba raia wakidai au kuzitka haki za msingi za kijami wakati huu ni kuvunja amani amani ya nchi. Huu ni uongo mtupu, propaganda chafu na ubinafsi. Watu wanaodai haki sio wavuruga amani wa nchi bali ni watu wanaotaka nchi bora na yenye usawa kuliko...
  9. Doctor Mama Amon

    Tume ya Uchunguzi wa Uvunjifu wa Haki na Amani Katika Wiki ya Uchaguzi Mkuu 2025: Naomba Nakala ya Tangazo Husika Katika Gazeti la Serikali

    Wadau, Kwa mujibu wa kifungu cha 20 cha Sheria ya Tume za Uchunguzi (Commissions of Inquiry Act), Sura ya 32, Toleo la 2023, Rais anapounda Tume ya Uchunguzi husika, Tume hiyo inapaswa kuanza kazi baada ya Uamuzi wa Rais kuchapishwa kwenye Gazeti la Serikali . Taarifa ya gazetini inapaswa...
  10. Carlos The Jackal

    Swali hili alilouliza Gwajima kwenye press zake, majibu yake yanaenda kupatikana muda si mrefu

    Wao ni wachache, wananchi ni wengi Lile swali alouliza Mzalendo Gwajima: Je akitekwa mtoto wako, akauliwa, akatobolewa macho, Utajisikiaje ?. Majibu yake yatapatikana muda si mrefu. Vijana wameuliwa Kikatili sana. Maiti zinateketezwa Kwa kuchomwa. Maiti zinazikwa Kwa pamoja. Lengo lao ni...
  11. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Askofu Msoganzila: Uchaguzi ufanyike kwa haki na amani. Nendeni mkapige kura

    Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Musoma mkoani Mara, Michael Msoganzila leo Oktoba 26, 2025 amewaomba waumini wa kanisa hilo kuombea uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Jumatano Oktoba 29, 2025 ili uwe wa haki na amani na kuwahimiza kwenda kupiga kura na kuchagua kiongozi wanayeona anafaa kwa...
  12. Just Pray

    GE2025 Tamko la baraza la maaskofu kupitia kamati ya haki na amani Hali ya nchi juu ya haki ya uhai tunapomkumbuka baba wa taifa 2025

    Askofu Jude Thadeus Ruwa'ichi akizungumza leo Oktoba 14, 2025 katika Misa ya Takatifu ya Hija ya UWAKA kuwategemeza Masista wa Shirika la Dada Wadogo Visiga Pwani, jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam ametoa tamko la baraza la maaskofu kupitia kamati ya haki na amani kuhusu uchaguzi mkuu 2025 na...
  13. Just Pray

    Sala Maalumu ya kuombea Haki na Amani ya nchini Tanzania kama ilivyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC)

    SALA YA KUOMBEA HAKI NA AMANI Ee Mungu tunakusifu, tunakuheshimu, tunakutukuza, tunakuabudu na kukushukuru sisi Watanzania kwa kutujalia Nchi nzuri. Tunakushukuru pia kwa zawadi ya Mwaka Mtakatifu wa Jubilei 2025. Tukiwa Mahujaji katika Matumaini, tunakuomba utuepushe na changamoto zinazoweza...
  14. W

    GE2020 Askofu Bagonza: Tuombe Mungu atuepushe na amani inayoletwa na Bunduki, Virungu na mabomu

    Askofu wa Dayosisi ya kKKT Karagwe, Askofu Bagonza akizungumza katika misa ya uzinduzi wa Sharika mpya katika Jimbo la Ihembe amewataka waaamini kuendelea kumuomba Mungu katika uchaguzi huu ili kupata amani itakayoletwa na haki na si virungu, mabomu wala bunduki. "Tumuombe Mungu ili haki ilete...
  15. Superbug

    Kati ya haki na amani kipi ni muhimu zaidi na kipi hutangulia kingine?

    Naomba niwaulize hasa viongozi wa dini wa kiislamu na kikristo kati ya hayo mawili kipi huanza ili kingine kifwate. Mfano. Mtu anaiba kura ukikemea unaitwa mchochezi Yani mwizi wa kura anakuwa na haki kuliko yule anayefichua wizi. Ndani ya jamii kuna utekaji na mauwaji ya raia holela...
  16. veyra

    GE2025 Zungu: Rais Samia ameimarisha amani, utulivu na haki nchini.

    Mgombea Ubunge wa jimbo la Ilala Mussa Azzan Zungu amesema Rais Samia Suluhu Hassan ni kiongozi imara ambaye amefanya kazi kubwa ya kuimarisha amani, utulivu na haki nchini. Akizungumza leo Agosti 31, 2025 kwenye uzinduzi wa kampeni za Chama cha Mapinduzi @ccmtanzania kwa Mkoa wa Dar Es Salaam...
  17. Just Pray

    GE2025 KKKT Dayosisi ya Karagwe yatangaza jumapili ya Agosti 31, mitaa yote ifanye maombi kuenzi haki na amani

    TWENDE MAGOTINI KWA NIA NA IMANI Jumapili ya 10 baada ya UTATU, KKKT utafakari juu ya HAKI HUINUA TAIFA, na DHAMBI NI AIBU KWA WATU WOWOTE. Tumo katika juma hilo. Tunaalikwa sote kumlilia Mungu ili tusitenganishe HAKI na AMANI. 1. Kama HAKI huinua Taifa, basi dhuluma huangusha taifa. 2. Ili...
  18. Just Pray

    Ukipata muda sikiliza wimbo huu wa kikatoliki wa kuombea haki na amani

    Amani ni Tunda la Haki (Yak. 3:18). Kazi ya haki ni kuleta amani (Isa. 32:17) Pasipo Haki, hakuna Amani. Furaha na upendo ni matunda pacha na amani (Wagalatia 5:22) Mama Kanisa anatutuma kama Taifa kusimama pamoja na Kuomba Haki ikatawale nchini mwetu, na Amani itokanayo na hiyo Haki, hasa...
  19. John Manoni

    Siasa za tanzania, kanisa katoliki lipo kwenye maombi ya kufunga kumwomba mungu haki na amani

    Sala na Kazi Ujasiri wa wananchi wanaonyonywa Kinyume na wanamtandao wanyonyaji. Mshikamano kukabiliana na uhuni kwenye uchaguzi dhidi ya waliojipanga kutumia mahakama kuua fikira. Ni kama kondoo kati ya mbwa mwitu. Nani panya atamfunga paka kengele? Tumrudie Mungu Mwenyezi, Mungu wa Paulo...
  20. E

    Rais TEC atangaza maombi ya kufunga kuombea haki na amani katika uchaguzi mkuu

    Rais wa Baraza la Maaskofu wa Katoliki Tanzania (TEC), Wolfgang Pisa ametangaza kuwepo kwa maombi ya kufunga Agosti 23, 2025 kuombea haki na Amani katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Ameyasema hayo Juni 29 katika misa ya kutolewa kwa daraja takatifu la upadre na ushemasi katika parokia ya...
Back
Top Bottom