haki na amani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. musicarlito

    Mkatoliki kesho wahi Misa Takatifu ya Asubuhi kuanza vema mfungo kwa ajili ya Haki na Amani ya Nchi yetu

    Tumsifu Yesu Kristu Mkatoliki mwenzangu kanisa linaongozwa na utii Kesho Misa ya Asubuhi...tolea ombi hili tuu...Mungu Aliangazie taifa letu Haki na Amani Azichome roho na mioyo ya wote wanao gandamiza haki na kupoteza au kuweka amani yetu rehani...awachome kwa moto mkali wa Mungu Roho...
  2. Ex Spy

    Tanzania: Kanisa Katoliki kufanya ‘sala maalum’ kuombea uwepo wa Haki na Amani katika nchini

    Huu ndo mwongozo maalum umetolewa leo
  3. Tman900

    Haki na Amani

    Mimi sio mwanasiasa ila kumekua na mvutano wa kimaneno kwa wanasiasa ila naona Wengi Neno Haki Hawalizungumzi, nawaomba Wenye Mamlaka Tazameni Haki, Palipo na Haki Amani Utamalaki. Pia Punguzeni kufanya mambo kwa Maslai ya Tumbo, pia kutazama Maslai ya watu Fulani( Kikundi Cha watu) Neno Amani...
  4. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Dkt. Ndumbaro: Mnaodai haki msiwe chanzo ukosefu wa haki

    Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro amewataja watu wanaodai haki kuacha kuwa sababu ya ukosefu wa haki kwa wengine. Dkt. Ndumbaro alisema hayo mjini Morogoro wakati akifungua mafunzo ya kuwajengea uwezo maafisa sheria wa Jeshi la Magereza kuhusu huduma za msaada wa kisheria, mapokezi...
  5. Tman900

    Haki na Amani

    Haki na Amani. Wanasiasa wa Africa, au Tanzania malazote Kwenye majukwaa utakuta wanazungumzia tudumishe Amani. Swali Huwa najiuliza, Mbona awazungumzii swala la Haki na Usawa, Maana Palipo Na Haki Amani utamalaki pia Haki ni ngao kubwa ya Amani, Kwa Nini Amani Imekua kama kichaka cha...
  6. K

    Ni wakati sasa Watanzania wote Wanaopenda Haki na Amani ya Nchi yetu Tuombe BBC Africa Eye Documentary waingie site watusaidie?

    Hii ndio njia pekee na dawa ya Mua40 Itakayokomesha hicho kikundi cha kigaidi kisichojulikana na vyombo vya ulinzi na usalama Tanzania. Kinachoteka watu mchana-usiku kupoteza na kuua raia Nchini Tanzania kilichoanza KAZI kuanzia serikali ya awamu ya tano na awamu hii ya sita kikapewa na kinga...
  7. peno hasegawa

    Watanganyika: Haki na amani ni muhimu katika maisha ya binadamu, lakini Haki inapaswa kuwa kipaumbele cha kwanza

    Katika dunia ya leo, suala la haki na amani lina umuhimu mkubwa katika maisha ya binadamu. Haki na amani ni misingi miwili muhimu ambayo inapaswa kutekelezwa kwa usawa ili kuhakikisha maendeleo endelevu na furaha ya jamii. Lakini, ni ipi kati ya haki na amani inapaswa kuwekwa mbele katika mfumo...
Back
Top Bottom