haji manara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ushauri: Haji Manara arudie kazi yake ya udalali na kufundisha madrasa, maisha yatamuwia magumu

    Namshauri Haji Manara arudie kazi yake ya zamani ya kufundisha madrasa na udalali wa nyumba na magari. Muda si mrefu GSM atachoka kumlipa mshahara wa Bure.
  2. M

    HAJI MANARA: Yote maisha, nimezamishwa kuna siku nitainuka, ninachoshukuru ninajua kuogelea!

  3. Ukweli Mchungu: Haji Manara ni mkubwa kuliko TFF

    Huu ndiyo ukweli Mchungu 1. Watanzania wengi wanamjua Haji Manara na hawaijui TFF wala viongozi wake. 2. Haji Manara amechangia uhamasishaji wa watu kupenda soka, nakumbuka kipindi kile akiwa Simba na Jerry Muro akiwa Yanga ilikuwa burudani murua sana. 3. Japo Haji amefungiwa lakini namsihi...
  4. Kwanini Watangazaji wa 'Kipyenga Extra' East Africa Radio wameumia sana na 'Nyundo' aliyopewa Haji Manara?

    Wanatumia muda mwingi Kumtetea huku pia wakiwatafuta Mawakili wenye Uyanga kutoa Ufafanuzi wa Hukumu iliyotolewa na Poti ( Mkurya ) kutoka Kwetu Mkoani Mara ( Musoma ) Watangazaji wa Kipyenga Extra East Africa Radio na wale wa Kipindi cha Michezo cha Usiku cha East Africa Radio nawaonyeni...
  5. Haji Manara natumai umeshajiandaa Kisaikolojia kwa Kifungo utakachokipata Leo na Kamati ya Maadili

    Ulionywa Punguza Nyodo na Ujeuri hukusikia. Na ulichokosea ni Kuongozana na Injinia Hersi Said kwenda kwa Boss wa Mpira wakati Logically uliyemkosea si Yeye bali ni Taasisi yake nzima ya TFF ambayo mara kwa mara umekuwa Ukiidhalilisha kwakuwa unabebwa na kupewa Jeuri na Mstaafu wa Msoga mwenye...
  6. IMEISHA HIO: Kuomba msamaha kwa Haji Manara sio taarifa njema kwa Simba waliodhani kwamba atasimamishwa, Wembe ni ule ule

    Tunaendelea tulipoishia! Hapa hafungiwi mtu, Manara ataendelea kuwapelekea simba moto kama kawaida, hizo ndoto za abunuwasi kwamba Manara atafungiwa msahau, Sana sana Manara ataambiwa alipie faini ya milioni 5 na ataendelea na majukumu yake Wananchii !!! Makombe yaendelee!!!
  7. Kwa maslahi mapana ya soka, TFF mfungieni Haji Manara

    Kufuatia mfululizo wa matukio yake ya kupishana maneno na watu wanahabari, wadau wa soka mbalimbali, sasa ni vyema TFF ikampeleka jela ya kabumbu Bw.Haji, Na hata CAF nao wanapaswa wawazuie mashabiki wa Yanga kuungia kiwanjani ktk mechi za hatua ya awali ya michuano ya klabu bingwa Afrika hii...
  8. TFF yafungua shauri dhidi ya Ofisa wa Yanga, Haji Manara baada ya kudaiwa kuzozana na Rais Karia

    Sekretarieti ya TFF imefungua shauri mbele ya kamati ya maadili dhidi ya Ofisa wa Klabu ya Yanga Haji Manara, kutokana na vitendo vya ukiukwaji wa maadili. Manara alionekana akijibishana na kiongozi wa juu wa TFF ambaye ni Rais Wallace Karia, jana Julai 2,2022 wakati wa fainali la Kombe la...
  9. F

    Haji Manara si alitutambia kuwa mpaka tarehe 28 watakuwa wamemtangaza Aziz Ki

    Haji Manara si alitutambia kuwa mpaka tarehe 28 watakuwa wamemtangaza aziz ki. Vipi mbona kimya?
  10. Haji Manara punguza kuitaja Simba kwenye kila press na maongezi yako

    Binafsi nadhani kila mtu keshajuwa kwanini uko Yanga Sasa. Hakuna sababu ya kuendelea kuitaja Simba katika kila fursa ya kwenda hewani. Ubongo wa Binadamu una tabia ya kuchoshwa (fed up) na kitu kinachojirudiarudia kila wakati, hata harufu ya chooni inapotea puani kama utakaa chooni kwa muda...
  11. Hili la Haji Manara kushangaa Meneja wa mchezaji kutojua English ni UTUMWA wa kifikra

    Wadau wa Sports mwanzoni mwa Juma hili tulishuhudia Yanga Sc kumuongezea mkataba mpya mchezaji wake Farid Mussa, Kuliitishwa Press conference na msemaji wao Bw.Haji Sunday Manara, na katika press hiyo pia ilitamkwa au alitangazwa manager mpya wa mchezaji Farid Mussa, ajabu sasa ikaja ambapo...
  12. Waandishi waungane kukomesha hii Tabia Chafu ya Haji Manara

    Ukimsikiliza Afisa Mhamasishaji wa Yanga utaona namna gani anaumizwa na dhihaka anayofanyiwa na Watanzania wenzake ambayo hajawahi kufanyiwa akiwa nje ya Nchi yake pendwa aliyozaliwa na kuipenda. Kama kuna Watanzania wanamfanyia dhihaka hii bila sababu yoyote, yani anapita tu mtaani unamdhihaki...
  13. Haji Manara ndio ushindi. Hata akihamia Ruvu Shooting kuna uwezekano kombe likamfuata.

    Habari! Haya ni maoni yangu baada ya kufanya uchambuzi mfupi. Huyu jamaa Haji Manara huenda nyota ya mafanikio iko mikononi mwake au kuna siri muhimu juu ya mpira wa miguu Tanzania anazijua ndizo zinazompa nguvu ya ushindi. Imagine Yanga tuliburizwa na Simba sports miaka kadhaa tukiachwa na...
  14. Vita gani Haji Manara anaihubiri hapa?

    Hapa ndipo utakapoona kuwa watu wa aina ya huyu Manara ni hatari sana katika ustawi wa soka nchini,wanaturudisha nyuma sana hawa.
  15. Ahmed Ali bado sana kumfikia Haji Manara ingawa Haji kashaanza ingiwa na hofu

    Katika moja ya Interview ya Haji Manara wakati akiwa ni msemaji wa Simba, alishawahi kusema "Mimi sitadumu Simba milele ipo siku nitaondoka na atakuja mtu mwingine. Haji amefanya mengi sana na sidhani kama itakua fair kumjudge msemaji ajae kwa kumfananisha na Haji viatu vyangu ni vikubwa ila...
  16. M

    Msemaji wa Yanga SC Haji Manara kwa Uongo wako huu mkubwa Umejiaibisha na Umewadharaulisha wana Yanga SC wote duniani

    Jana kama kawaida yako ya kupenda Kujimwambafai na kujifanya unajua Mambo wakati Kiuhalisia huna ukijuacho kwa Kujiamini Kwako Kipuuzi ulisema (na nasikitika waliokuwepo Ukiwadanganya) walikuamini uliposema kuwa Msimu ujao Simba SC ndiyo itaanza Kucheza hatua za mwanzo Mechi za Klabu Bingwa...
  17. Haji Manara una mizigo mingi kutua-baki nayo,achana na Simba Sc

    Jana huyu mpayukaji aliitia press conference isiyo na kichwa wala miguu. Press conference isiyo na ajenda yeyote zaidi ya kupayuka na kupovuka. Kama kawaida yake,katika kutoa povu amejikuta anaijadili Simba Sc. Kwamba hata yeye anatamani Simba Sc ishinde kombe la CAF. Hatutaki maombi ya...
  18. Picha: Haji Manara aoa mke wa pili jioni ya Aprili 14, 2022

    Afisa Mhamasishaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara katika picha mara baada ya kufunga ndoa kwa mke wake wa pili jioni ya Alhamisi Aprili 14, 2022
  19. Haji Manara: Paul Makonda alilazimisha kwa nguvu uteuzi Simba SC, Mo Dewji asilaumiwe hakuwa na namna

    Haji Manara ameendelea kuanika maovu ya Paul Makonda aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam, kupitia Instagram yake, Haji Manara amesema haya kuhusu Paul Makonda kulazimisha uteuzi katika Klabu ya Simba. Ukalazimisha uteuzi Simba kwa nguvu, ktk hili MO alikuwa hana namna asilaumiwe, angefanyaje...
  20. Kwa hili Haji Manara ametudhalilisha sana. Uongozi ukemee huu upuuzi

    Kutufananisha sisi Yanga na Wanawake ni akili za kipumbavu. Anaposema Orlando Pirates waje wao wanaume watawakuta huku huku maana yake sisi Yanga ni Wanawake? Huyu niliwaambia bado ana Usimba. Huwa anajifanya kama kuwaponda Simba ilhali anatuponda sisi Yanga. Uongozi uangalie suala hili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…