haja

Håja (Norwegian) or Jievju (Northern Sami) is an unpopulated island in Hammerfest Municipality in Troms og Finnmark county, Norway. Håja is located in the Sørøysundet strait, between the larger islands of Kvaløya to the east, Seiland to the south, and Sørøya to the northwest. The town of Hammerfest lies about 8 kilometres (5.0 mi) to the east of Håja.On the island, there is a gull colony. Locals use the island for picking seagull eggs and berries, traditional ingredients of North Norwegian cuisine.
Several companies and institutions in Hammerfest have been named after Håja, including a kindergarten.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Submissions zimekidhi haja, tusali na tuombe

    Submissions za Dr. Rugemeleza Nshala et al, kule Dodoma Court of Appeal zimekuwa nzuri. Zimekidhi haja! Kila mmoja kwa imani yake tusali na kuomba Watukufu majaji wasipigiwe simu, na wakipigiwa wakatae watende haki. Semeni AMEN. By the way Majaji walikuwa akina nani?
  2. Yoda

    Mfumo wetu wa utawala wa sasa hatuhitaji kupoteza pesa kulipa wabunge, tuige NPC China

    Bunge kama la Tanzania huwa na maana pale nchi inapokuwa ni ya kidemokrasia na mihimili mitatu ya utawala iko huru. Unapokuwa na mfumo wa utawala ambao serikali inaloamua ndilo linakuwa huku bunge likiwepo kugonga muhuri tu bila kuwa na uwezo wa kuiwajibisha serikali kunakuwa hakuna sababu ya...
  3. Genius Man

    Mmeuwa watu wengi sana kujisimika madarakani nini kilicho badilika sasa kulikuwa na haja gani kwa haya hamna akili kabisa

    Mmeuwa watu wengi sana kujisimika madarakani nini kilicho badilika sasa kulikuwa na haja gani kwa haya hamna akili kabisa. Mpo mpo tu kama machizi kulikuwa na haja gani ya kutoa rushwa, kukodi majambazi kuuwa watanzania ili mpate madaraka sasa nini cha maana mlicho ambulia ? mpo kama makichaa...
  4. Nyankurungu2020

    Kulikuwa na haja gani kumfuata Muwekezaji na makamera maiki wakati kuna wataalamu waliopaswa kuhojiwa?

    Lack of sense. Yaani kukosa akili ya kuweza kug'amua mambo ya msingi kama mtu makini. Ni upumbavu na upuuzi. Wataalamu waliochini ya halmsahauri wote wanalipoti kwa baraza la madiwani. Msukuma na kamati yake walishindwa vipi kuwahoji hawa wataalamu kwanza? Kwa nini mwekezaji ajenge bila...
  5. Etwege

    Kuna haja ya kuitisha maandamano makubwa ya kudai miili ya wapendwa wetu

    Yanahitaji maandamano makubwa ya kudai miili ya wapendwa wetu. Ukisikiliza watu wanaofika mbele ya tume kutoa ushahidi wa jinsi wapendwa wao walivyouawa na miili yao kupotezwa kwa kweli inasikitisha sana. Rais Samia huwezi kuuwa ndugu zetu kama panya alafu pia utuzuie kuwazika kwa heshima...
  6. Lord Denning

    Tujadili pamoja: Kuna haja na faida tena ya kuwa na TISS nchini?

    Nchi inapaswa kuwa salama kwenye maeneo 3; 1. Kiuchumi 2. Kijamii 3. Kisiasa Kisiasa Katiba ya Nchi yetu inatambua nchi yetu kuwa ya Kidemokrasia. Hii maana yake ni kwamba ili nchi iwe salama ni lazima mifumo ihakikishe siasa za nchi hii ni za kidemokrasia kweli. Vyama vya kisiasa vinashindana...
  7. Fbn

    Jirani akiweka ukuta hakuna haja kuweka kichochoro

    Kuna makosa mengi kwa sisi tunaojenga au kupanga maeneo. Kama sehemu ya mwenzako kaweka uzio ambao ni ukuta inatakiwa na wewe kutumia uzio huu kuzibiti vichochoro visivyokuwa na tija.
  8. ERTUGRUL BEY

    Hakuna Haja Ya Kuandamana Na Kupoteza Uhai,Damu Iliyomwagika Awali Inatosha

    My people, Natambua kabisa bandiko hili halikubaliki kwa wengi wenu na mna haki ya kufanya hivyo kama ambavyo nami nina haki ya kuandika haya Guys Serikali inaondoka madarakani pale tu ambapo jeshi au majeshi ya Ulinzi na Usalama yakiwa pamoja na wananchi na kujitenga na Dola,hapo ndio mtegemee...
  9. H

    Kuna haja watu kujiunga na mitandao ya kijamii kwa taarifa zao sahihi za NIDA hasa JF

    Kumekuwa na tabia za watu kutoa taarifa za uongo na kuchangia vitu vya uongo kwe mitandao ya kijamii hasa JF kwakuwa wana uhakika hawawezi kukamatwa hivyo kuharibu malengo halisi ya jf na mitandao mingine kama kutukana na kutumia lugha chafu kufikisha au kuchangia hoja/mada. Sasa dawa yao ni...
  10. F

    Waziri Mkuu anasema hakuna haja ya kuhesabu watu waliouawa, tuhesabu vitu vilivyoharibiwa

    Imenisikitisha sana kuisikia clip ile inayomuenesha akisema hakuna haja ya kuhesabu watu waliouwawa 29 October, kwani kufanya hivyo ni kuwahesabu watu kama vile tunahesabu vitu. Nasema inasikitisha saaana kusikia haya kutoka kwa mtu ambaye alipaswa kuwalinda na kuwaheshimu watanzania.
  11. Pakome

    Kuna haja ya kuendelea kulinda Amani ya Taifa la Tanzania, Matatizo yanayotokea ni mkono unateleza bahati mbaya na kupelekea chupa ya Taifa kupasuka

    Kuna haja ya kuendelea kulinda Amani ya Taifa la Tanzania, Matatizo yanayotokea ni mkono unateleza bahati mbaya na kupelekea chupa ya Taifa kupasuka Tanzania ni Taifa bora sana duniani hasa pale linapolinganishwa kinidhamu, watu wake ni wapole na wakaribu na hii ndiyo sifa kubwa tuliyo nayo...
  12. comrade_kipepe

    Hakuna haja ya visingizio 👇👇👇

    Jasusi ni mpambanaji tokea miaka hiyo akikata mkaa huko kolomije hajawahi kupoteza pambano.
  13. The Father of All

    Kuna haja ya kuhakikisha kikatiba makamu wa rais harithi madaraka pale rais anapokufa ili kuepuka kurudia makosa

    Kama katiba yetu ingekuwa hairuhusu makamu wa rais kuchukua madaraka baada ya kifo cha rais, tusingekuwa kwenye balaa hili linalotusumbua sasa hadi kupoteza maisha ya watu wetu wasio na hatia. Wala tusingekuwa na rais pandikizi ambaye hatukumchagua. Tusingekuwa na utawala usiojua unachopaswa...
  14. S

    Naenda kufa Desemba 9, hakuna haja ya kuendelea kuishi tena

    Rejea kichwa cha habari .
  15. MamaSamia2025

    Hakuna haja ya serikali kupoteza muda kufanya maridhiano na wahalifu

    Maridhiano na kina Mange, Mwamakula, Maria, Sativa, Bagonza na wahalifu wengine ni kupoteza muda. Serikali ikamate wote waliohusika na huu uhalifu uliosababisha vifo na kuwafikisha mahakamani. Serikali isipoteze muda kujadiliana na wahalifu. Mtu aliyechoma vituo vya mabasi ya mwendokasi...
  16. Y

    Kutoa shahawa mwisho wa haja ndogo

    Habari Wana JF Naomba anaefahamu hilitatizo linasababishwa na nn aniambie Kwani kunawakati nikienda haja ndogo kujisaidia wakati namaliza zinatoka shahawa naomba msaada
  17. Mende mdudu

    Kuna haja gani ya kutunishiana misuli, wote tunajenga nyumba moja?turudi mezani kwa maslahi mapana ya taifa.

    Sio shabiki wa chama chochote cha siasa ila kuna haja ya kuskilizana, nikiangalia machafuko ya uko Congo, Msumbiji, bado tuna nafasi ya kua wamoja. Polisi kusema wamejipanga, raisi kasema yeye ndo amiri jeshi mkuu, waandamanaji nao wanaabaki na msimamo wao, vp kwa sisi wastarabu non. Allied...
  18. B

    Kuna haja ya hivi vilabu kuwa vinawaelekeza wasanii nini wasifanye kwenye matamasha ili kutengeneza hadhi

    Niliangalia matamasha ya simba day na yanga day ya mwaka huu nikaendelea kushuhudia kitu ambacho nilidhani hakikupaswa kufanyika kutokana na ukubwa wa vilabu hivi kwa sasa na umaarufu wa matamasha haya kwa sasa barani afrika na duniani kwa ujumla. Msanii kiongozi kwenye tamasha la simba day...
  19. Chizi Maarifa

    Kulikuwa na haja gani Jinbril kumkaba Muhammad akimlazimisha kusoma?

    Hii inatafakarisha sana. Huyu kiumbe Jin anamlazimisha Muhamad kusoma. Maskini Muhamad hakuwa ameenda shule. Kama ni Malaika basi alipaswa awe na hizo taarifa. Lakini hakupewa. Akawa anamlazimisha Mtume asome akiwa amempiga Kabali nusu ya kumuua. Mtume akasema akiwa anahema kwa "shida sijui...
  20. Rico redi

    Kwa pira hili hakukua na haja ya kwenda pre season Egypt

    Duh nideclare interest ni kwamba kazi ipo sana tu Fadlu kulikua na haja gani ya kuchezesha wachezaji nafasi ambazo sio zao kiasili chasambi full back???? Hamza no 6 seriously??? Kwamba hakukua na wachezaji sahihi hapo au kipindi cha kwanza hamza kaongoza kupoteza mipira hovyo Yani katika...
Back
Top Bottom