hai

“Haï” is an essay written by French Nobel laureate J. M. G. Le Clézio.

View More On Wikipedia.org
  1. Majeshi ya Israel yanamsaka Izz ad-Din al-Haddad kamanda pekee aliyebakia hai!!!

    Huyu ndiye afisa mkuu wa mwisho wa mrengo wa kijeshi wa Hamas ambaye anachukuliwa kuwa mmoja wa wasanifu wa Oct 07,2023 na bado yuko hai - Izz ad-Din al-Haddad, Kamanda wa Brigedi ya Gaza. Yeye ndiye shabaha inayofuata, shabaha inayofuata ya kuondolewa. Gaidi huyu wa kudharauliwa anayelivunjia...
  2. W

    PreGE2025 Mwabukusi: Tunamtaka Mdude akiwa hai

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniphace Mwabukusi, amevitaka vyombo vya dola kuhakikisha kuwa mwanaharakati Mdude Nyagali anapatikana akiwa hai, huku akilaani vikali kauli ya kutolewa zawadi ya Shilingi milioni tano kwa atakayesaidia kupatikana kwake akiwa hai au mfu...
  3. Q

    CCM ni Mwanachama Hai wa 'Progressive Alliance' chama kinachotetea Ushoga Duniani.

    Tumefichwa kwa muda mrefu leo ukweli umejulikana. https://progressive-alliance.info/guiding-principles/ Who We Are: The progressive, democratic, social-democratic, socialist and labour movement is based on a common commitment to human rights and the joint pursuit of freedom, justice, social...
  4. RC wa Mbeya aambiwe, Tunamtaka MDUDE akiwa HAI , aache Janja Janja na Kauli za kihuni zinazoashilia MDUDE Hatopatikana!

    Kila kitu Kiko wazi, RC Mbeya aache kutoa Kauli za kihuni , Et Milion 5 Kwa atakayemleta Mdude akiwa Hai au Amekufa??. Kwa tafasiri ya kawaida, ni Kauli inayoonyesha Mdude hatopatikana . Sasa angalieni Upuuzi, RC badala ajikite kwenye Waliomteka Mdude, CHADEMA imemplekea majina ya wanaohisiwa...
  5. Kibaiolojia ni kwamba tumeundwa na kemikali mbalimbali ambazo tunakula ili kubakia hai

    Kwa hiyo tulivo kifikira na tofauti zetu zote zinakuja kutokana na chemikali zinazofanya kazi kwenye maisha yetu, japo primarily tunafanana kwenye uwepo wa hizi KEMIKALI katika miili yetu japo viwango vinatofautiana pia. Sasa mimi najiuliza hakuna mtu mwenye mamlaka aliyesitukia hili suala la...
  6. PreGE2025 Mbunge Kibamba: Ndani ya uhai wangu CCM haiwezi kutoka madarakani, labda nisiwe hai

    “Ndani ya uhai wangu CCM haiwezi kutoka madarakani, labda nisiwe hai” Issa Mtemvu - Mbunge wa Kibamba
  7. Natamani mtanganyika Mtikila angekuwa hai ili siasa zinoge

    Sijui kama mwanangu Christopher Mtikila angekuwa hai hali ingekuwaje alivyokuwa haogopi na kuona mbali?
  8. PreGE2025 Mbunge Viti maalumu Kilimanjaro agawa mashuka 50 hospitali ya Hai

    Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Kilimanjaro Esther Maleko amesema serikali ya awamu ya sita ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetoa zaidi ya Bilion nne (4) katika Halmashauri ya Wilaya na ameunga mkono jitihada zinazofanywa na Serikali kwa kutembelea Hospitali ya Wilaya Hai na Kugawa Shuka zaidi...
  9. S

    Nyerere angekuwa hai angefunguliwa kesi ya uhaini? Alichosema Lissu ni kile kile alichokisema Nyerere, kwa nini CCM wanajifanya kusahau? Angalia hapa

    Hizi ni Nukuu za Nyerere "Watu walio hatari sana ni wale ambao wanafikiri kuwa wanajua kila kitu, wala hawana haja kujifunza zaidi. Hii ni tabia mbaya ambayo huzuia kabisa maendeleo.” ” Tunataka kuona vijana jeuri katika Taifa hili na wenye kujiamini na sio waoga akina ” ndiyo bwana mkubwa”...
  10. Wengi wetu tuko hai lakini tumegeuka mazombi, tunachati Kwa Furaha, Lakini hatufikiri tunachozungumza

    Kupungua kwa mawasiliano ya kijamii kati ya wanajamii (socialization), na hasa kwa vijana na wanawake waliokulia katika maeneo ya mijini. Yote ni athari zinazochangiwa na matumizi ya simu za mkononi na mitandao ya kijamii kama Twitter (X), TikTok, na Instagram, na jinsi zinavyochangia kuporomoka...
  11. Mchezo: 'Niongezee Sentensi' – Hadithi Hai ya Mtaa na Taifa

    Habari wanaJF, Leo tunakuja na mchezo mpya unaoitwa “Niongezee Sentensi” – huu ni mchezo wa fikra, ubunifu na mantiki, ambao wa mwisho kabisa tutamtumia mkono wa pongezi. Unaburudisha, unachokoza akili na pia unaweza kuibua hadithi ya ajabu au tafakari ya kina juu ya maisha yetu ya kila siku. 📌...
  12. Orodha mpya ya Wanachma wa TP OK Jazz ambao bado wapo hai

    1. Lokombe Ntal (mwimbaji) - Ufaransa 2. Makosso Kindudi (gitaa la rhythm) - Ufaransa 3. Flavien Makabi (gitaa la besi) - Ufaransa 4. Sam Mangwana - Angola 5. Kakoma Nado (ngoma) - Paris, Ufaransa 4. Mukulu Muki (Tarumbeta) - Brussels, Ubelgiji 5. Dele Pedro (Sax) - Brussels, Ubelgiji 6. Iblo...
  13. Taasisi za serikali wilaya ya Hai zadaiwa bili za maji zaidi ya mil.30, DC acharuka

    Baadhi ya Taasisi za Serikali zilizopo wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro ikiwemo Jeshi la Polisi Hai, Shule ya Sekondari Hai Day zimetajwa kuwa na deni sugu la bili za maji inayofikia Zaidi ya Shilingi milioni 30 hali ambayo inawapa changamoto yakifedha na uendeshaji bodi ya Maji Uroki Bomang’ombe...
  14. ALTEZZA TRAVEL YASHINDA TUZO YA MLIPA KODI BORA WILAYA YA HAI K'NJARO

    ALTEZZA TRAVEL MLIPA KODI BORA WILAYA YA HAI K'NJARO MOSSHI Kampuni ya wakala wa Utalii ya Altezza Travel imeshinda Tuzo ya mlipa Kodi bora kwa walipa Kodi kutoka wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro . Tuzo hizo zimetolewa wiki iliyopita Katika hafla fuoi ya kutunuku Tuzo kwa walipakodi bora...
  15. ivi hii telegram ndo imekufa mbona hai respond tangu january?

    Jamuhuri ya telegram Kila nikifungua inaandika updating na haijawai kumaliza
  16. Haifai kuwa mtu wa lawama kila unapopiga au kupigiwa simu

    Mtu anakupigia simu au umempigia simu unaanza, "Oooh simu zangu hupokei siku hizi, umenitupa. Hunitafuti mpaka nikutafute." na maneno mengine kama hayo ya kutaka kumfanya mtu ajihisi guilt. Hiyo ni tabia mbaya na roho mbaya. Haifai. Kuwa na mazungumzo ya shangwe utaona watu wanavyokupigia na...
  17. Bodi ya Maji ya Uroki Bomang'ombe wilayani Hai yajenga Choo kipya baada ya uchakavu wa Choo cha wanafunzi katika Shule ya Msingi Kiselu

    Uchakavu wa Choo cha wanafunzi katika Shule ya Msingi Kiselu iliyopo Kata ya Machame Uroki Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro uliyokuwa ukihatarisha usalama wa wananfunzi katika shule hiyo kutokana na choo hicho kuwa na dalili za kutitia umepatiwa ufumbuzi baada ya Bodi ya Maji ya Uroki...
  18. W

    PreGE2025 Mwananchi mmoja huko Hai amesema akifa kabla ya uchaguzi mkuu 2025, kaburi lake lipige kura kisha apewe mbunge wa Hai wa sasa

    Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Levina Rajabu mkazi wa kata ya Bondeni katika mji mdogo wa Bomang’ombe wilaya ya Hai mkoa wa Kilimanjaro amesema endapo atafariki dunia kabla ya uchaguzi Mkuu wa hapo mwezi Oktoba basi kaburi lake lipige kura na hiyo kura apewe Saashisha Mafuwe mbunge wa...
  19. PreGE2025 CCM yampongeza DED Hai kwa kusimamia miradi ya maendeleo

    Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kilimanjaro kupitia Katibu wake, Ndugu Mercy Mollel amempongeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha Dkt. Haji Mnasi kwa kusimamia miradi ya maendeleo huku akiwaeleza wajumbe kazi kubwa aliyofanya DED Mnasi wakati akiwa Mkurugenzi Mtendaji wa Ileje...
  20. P

    Matukio ambayo nikikumbuka namshukuru Mungu naendelea kua hai mpaka sasa

    Dah Leo tumetoka kumzika rafiki yangu kipenzi Bado mdogo tu na alikua na potential kubwa tu ya kufanya mengi maishani, nimekaa nimewaza Sana nimekumbuka baadhi ya matukio ambayo nikikumbuka nabaki kumshukuru Mungu Kwa ulinzi wake mpaka muda huu, ntaleta kisa kimoja kimoja inform of episodes...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…