habari

  1. N

    JamiiForums Tanzania Habari njema, je wajua unaweza kumiliki Tv yako au Redio yako kwa njia ya mtandaoni ?

    Habari wakuu, Katika zama hizi za maendeleo ya teknolojia ya kidijitali, umiliki wa televisheni na redio hauhitaji tena njia za kizamani kama vile kuwa na mitambo mikubwa, studio za gharama kubwa, au leseni ngumu za urushaji. Sasa, mtu yeyote anaweza kumiliki televisheni au redio ya mtandaoni...
  2. JamiiForums Tanzania Video: Waziri wa Afya wa Sweden aanguka live akiwa kwenye mkutano na waandishi wa habari

    Hii kitu nimewaza kama ingekuwa bongo nadhani leo kuna baa zingeuza sana pombe maana watu wangefanya sherehe Sasa hapa nimeshindwa kuelewa shida ni nini? Au alikuwa ana changamoto gani ya afya Kuna mbaba mmoja badala ya kumsaidia mgonjwa kawahi kamera yake kupiga picha
  3. JamiiForums Tanzania Habari za huko TANZANIA, kufungiwa Kwa Jamiiforums ni ishara ya ushindi wa umma

    Mimi ni Mtanzania ninayeishi Albetta Canada Najua Watanzania wenzetu Sasa hawaipata jamii forums kama jukwaa huru Nawapa pole Jamii forums na kuwatia moyo kuwa Sasa ushindi unakaribia CCM na njama zake wanakaribi kuanguka, wamegusa pabaya.mara hii Jamiiforums ni kubwa mno, yaani jamii forums...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Waandishi wa habari wa Jambo TV na Manara TV washikiliwa Arusha

    Kushikiliwa Kwa waandishi wa habari wa JAMBO TV na Manara TV Jijini Arusha Arusha* Nimepata taarifa usiku huu za kushikiliwa Kwa Mwandishi wa habari Baraka Lucas wa Jambo TV Arusha na Ezekiel wa Manara TV Arusha Taarifa za awali zinasema walikamatwa jioni hii Jijini Arusha na hadi...
  5. JamiiForums Tanzania Habari naomba kujua kuhusu m Koba

    Nimeunga kikundi kupitia m Koba lakini tunacheza vikoba Sasa nahitaji kukopesha hela Kwa wanachachama Ili warudishe Kwa riba mfuko uweze kukua nashindwa nianzie wapi mimi ni mwenyekiti wa kikundi,msaada tafadhali na wakikopa Mwanachama akirudisha hela itakayorudishwa pamoja na riba vitaonekana...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Sio shida wala aibu kwa chama kuwasafirisha wanachama wake

    Akizungumza leo Septemba 5, 2025 mgombea urais kupitia CCM Samia Suluhu Hassan akiwa, Tukuyu (Rungwe) mkoani mbeya katika mwendelezo wa kampeni za chama hicho amesema ''Ni hakika lakini hatutoi kutoka Wilaya moja kwenda nyingine, tunatoa ndani ya Wilaya hiyo hiyo,,,siyo aibu kwa Chama...
  7. JamiiForums Tanzania Habari kwa Picha

    Mimi sio muumini wa Siasa lakini izi picha za mama Abduli zinafikirisha sana
  8. P

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa loan officer wa Wezesha Microfinance Ltd ni kiasi gani?

    Habar zenu naomba kuuliza mshahara wa credit Officer Wezesha microfinance Ltd
  9. J

    JamiiForums Tanzania Ya CCM tumeyasikia, yamepita. Turudi kwenye habari ya mjini yaani Mifumo kusomana.

    CCM wanajua kucheza karata zao vizuri. Wana magwiji wa Mikakati mizuri na ya hovyo pia. Siyo siri Kombora la mwisho alilotoa Humphrey Polepole kwamba mifumo ya INEC, NIDA na Lumumba inasomana hivyo kupora maamuzi ya watu katika kupiga kura, limewashtua na kukitikisa Chama hicho. Mabadiriko ya...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari Tanzania tusivilaumu, vinaogopa kufungiwa, ukiacha machawa wachache

    1. Wanaogopa kufungiwa, kuna tight, very tight grip on media outlets na serikali 2. Sidhani wanapenda kuandika /kutokuandika kama wanavyofanya. 3. Wapo wachache machawa, lkn wengi nadhani wanaogopa wrath of this dictatorial gov. 4. Ukiacha akina Balile et al .....wengine wanaogopa kufungwa...
  11. O

    JamiiForums Tanzania Habari zenu naomba kuuliza mwenye uzoefu na interview katika post ya assistant trade officer anipe muongozo notice za kusoma

    Samahani great thinker shida yangu nikujua muongozo vitu vya kusoma kwa anaeenda interview ya post ya assistant trade ooficer
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ni ujinga kwa vyombo vya habari Tanzania kusaidia kuuwa demokrasia!!!

    Ni ujinga kwa vyombo vya habari Tanzania kusaidia kuuwa demokrasia!!!. Hawajui kwamba wakimaliza demokrasia hata wenyewe watafungiwa!!!! ni kutokuangalia mbali!!!. Yaani wenyewe wanaficha habari zote hasi kwa serikali
  13. JamiiForums Tanzania Mbona habari ya Polepole ya kuiba kura haipewei airtime? Ina maana media zote zimeshikiliwa na CCM?

    Kuanzia , JF na mitandao mingine yote habari ya Polepole ya CCM kuiba kura kwanini media hawataki kuiweka ili wananchi waipate .
  14. JamiiForums Tanzania Umeshawahi kumsaidia Mtu kile Kidogo kabisa ulichonacho kisha baada ya kumsaidia akaingia Mitini hana Habari na Wewe unajua inauma Kiasi Gani?

    Wakuu, hivi nyinyi imeshawakuta yaani unampiga mtu tafu kile kidogo kabisa ulichonacho yaan ndio akiba yako hio mtu anaitaka hio hio umsaidie unaingia unavunja kibubu unampa kwa moyo mmoja kabisa sababu ya kukamilisha kutenda matendo ya Huruma. Ila baada tu ya kumsaidia mtu huyo anaanza kukuona...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Waandishi ambao hawajasajiliwa JAB marufuku kuripoti Uchaguzi Mkuu

    Kaimu Mkurugenzi wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula, ametoa onyo kali na kupiga marufuku waandishi wa habari ambao hawana ithibati kutoripoti kabisa uchaguzi mkuu kwani kufanya hivyo ni kosa la kisheria. Amesema kuwa ni kosa la kisheria kwa mwandishi wa...
  16. 4

    JamiiForums Tanzania Habari za Lissu zinatembea kama mabua yaliyochomwa moto

    Wakuu JF, amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake. Rejea mada tajwa hapo juu. Mnajua, Mh. Lissu bado yupo mahabusu kwa kesi ya kubumba na wapiga doria kwenye mitandao ya kijamii. Na ikumbukwe, juzi alitoa wasilisho lake mbele ya Mahakama ya Kisutu kabla ya tarajio la kesi yake...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Kabudi: Waandishi wa habari jiepusheni na habari za uchochezi, na upendeleo kipindi cha uchaguzi mkuu

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi akifungua Mafunzo ya Waandishi wa Habari na Utangazaji Kanda ya Nyanda za Juu Kusini kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 tarehe 18 Agosti 2025 katika Ukumbi wa City Garden, jijini Mbeya
  18. M

    JamiiForums Tanzania Nauza ultrapods

    karibu ujipatie ULTRAPODS MAX wireless 5.3 IP4 waterproff 95 LED Digital Display Noise cancelling Hi-Res High Quality Sound inarangi 4 blue,pink,white and black BEI TSH 20000/= TU huduma ya delivery inapatikana nchi nzima kwa mawasiliano tupigie 0629535915
  19. W

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari vinavyotaka kuchapisha kesi ya Lissu vipeleke maombi mahakamani

    Vyombo vya Habari vinavyotaka kuchapisha habari kuhusu commital proceedings lazima vipeleke maombi mahakamani. Ndio basi kesi imeingia gizani. Tutakuja tu kusikia hukumu. Wanaficha hapa, na wakienda mahakama kuu pia ni kificho. Hii ni unprecedented katika nchi ya "kisiwa cha amani"
  20. JamiiForums Tanzania Nitazipata wapi pepeta (rice flakes) nchini? Nipo Mbeya

    Habari wanajamvi, naomba msaada wenu. Natafuta pepeta (rice flakes) kwa ajili ya matumizi ya biashara ya vyakula. Nipo Mbeya lakini niko tayari kuagiza hata kutoka nje ya mkoa kama kuna wauzaji wa jumla au rejareja. Naomba mnisaidie kujua ni wapi naweza kuzipata au hata kama kuna mtu anayeuza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…