gwajima

Dorothy Onesphoro Gwajima also known Gwajima Dorothy is a Tanzanian CCM politician and a nominated cabinet member since 2020. She was appointed by President John Magufuli into the Magufuli cabinet and still presenlty serves as a Minister of Health, Community Development, Gender, Elders and Children under Suluhu Cabinet.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Tanzania Gwajima na waumini wake wafanye maombi makubwa ya kamatakamata kuwazuia polisi wanaofunga kanisa lao. Kwani wenye kosa ni waumini au ni askofu?

    Ni wakati sasa askofu Gwajima na kanisa lake wafanye maombi ya nguvu kuwazuia polisi wanaozuia waumini wa kanisa hili kufanya ibada yao ya Jumapili. Kwani kosa lilifanywa na waumini au na askofu mwenyewe? Huu ni uvunjifu mkubwa wa haki ya kuabudu unaofanywa na serikali ya CCM kupitia Polisi na...
  2. JamiiForums Tanzania Polisi yatumia mabomu kuwatawanya waumini Kanisa la Ufufuo na Uzima

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam limelazimika kutumia mabomu ya machozi kutawanya waumini wa wa Kanisa la Ufufuo na Uzima (Glory Of Christ Tanzania Church). Waumini hao walikuwa wanaandamana kwenye njia ya Morogoro Road wakiwa na mabango yenye jumbe mbalimbali. Baadhi ya...
  3. JamiiForums Tanzania Kamanda Muliro atinga Kanisani Kwa Gwajima Ubungo

    Kamanda Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam Muliro Jumanne Muliro akiwa nje ya kanisa la Ufufuo na Uzima (Glory Of Christ Tanzania Church). Pia, Soma Askari Polisi waweka ulinzi mkali Kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo Ubungo, Dar es Salaam Source: Jambo Tv
  4. JamiiForums Tanzania Askari Polisi waweka ulinzi mkali Kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo Ubungo, Dar es Salaam

    Nimepita maeneo ya Ubungo nikiwa naelekea kwenye harakati zangu, naona Polisi wamejaa kanisani kwa Gwajima baada ya yeye kutangaza atashiriki ibada ya Jumapili ya leo. Wengi wapo barabarani wanafunga utepe. Kwakuwa speed ya gari ilikuwa kubwa sijafanikiwa kuchukua picha ya haraka. Pia...
  5. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sheikh Ponda: Gwajima alipoongelea kuhusu utekaji alishambuliwa sana, walikerwa kuelezwa masuala hayo

    Sheikh Ponda kanyooka kama Kitima, ni mwendo wa kupiga kwenye mshono mpaka kieleweke. ==== Katibu wa Shura ya Maimamu Tanzania ambaye pia ni mwanachama mpya wa Chama cha ACT Wazalendo, Sheikh Ponda Issa Ponda, ameungana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Glory of Christ Tanzania (Ufufuo na Uzima)...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Waumini wa Gwajima: Someni ujumbe wa Alberto Msando DC wa Ubungo, muwe makini kesho

    Ameandika kwa lugha ya kilatini na kingereza. Alberto ndie kiongozi wa kamati ya ulinzi na usalama mahal pale yalipo makao makuu ya taasis/kanisa lenu
  7. JamiiForums Tanzania Askofu Machumu wa Gwajima asema Kanisa lao halijafungwa, waapa kurejea kanisani Jumapili

    Askofu Maximillian Machumu wa Kanisa la Askofu Gwajima, Glory Of Christ Tanzania Church amesema Jumapili wataendelea na Ibada kama kawaida kwasababu Kanisa lao halijafungiwa "Nafasi ya kujitetea hatujapewa, kwahiyo tuna-confirm wazi kwamba Kanisa letu halijafungwa na kwasabau hiyo kwa kuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Peter Kibatala: Barua ya kulifungia Kanisa la Askofu Gwajima si halali na haitambuliki na Wizara

    Akisoma majibu ya Rufaa yaliyotumwa kwao Juni 6, 2025 kutoka kwa Ofisi ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Wakili Peter Kibatala ametoa maelezo ambayo yanaonesha kuna “hali ya sintofahamu” kuhusu barua iliyotumika kulifungia Kanisa la wateja wake, Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church maarufu kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Lissu & Gwajima mmekosa shukrani (video)

    Sheikh anatema Madini bila chenga. Wabillah Taufiq
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Kinondoni yasema Askofu Gwajima ameliachia jimbo la Kawe, ataletwa mwakilishi mzuri

    Tunahitaji aina ya wabunge wenye ujasiri wa kuzungumza na kukemea maovu kama alivyofanya Askofu Gwajima, lakini cha kushangaza kwa CCM watu wa aina hii ni maadui na hawana nafasi chamani mwao Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kinondoni kimesema Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Gwajima hana mchango wowote wa maana kwa Watanzania

    Katika ulingo wa siasa na ujenzi wa taifa, mchango wa viongozi hupimwa kwa fikra, busara, na uwezo wao wa kuchochea maendeleo na mshikamano wa kitaifa. Hata hivyo, yapo majina ambayo yanapojitokeza kwenye majukwaa ya siasa, hugeuka chanzo cha mtafaruku, kejeli, na migawanyiko badala ya kuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Gwajima akitumia mafuta ya kutoa mapepo yanayotengenezwa na Sheikh Mwaipopo, yanaweza kumsaidia kutoa mapepo yanayomsumbua

    Nashauri watu walio karibu na Gwajima wamshauri amuone Sheikh Mwaipopo amsaidie dawa ya kuondoa mapepo. Sheikh huyu anauza mafuta ambayo yanasaidia kuondoa mashaitwani. Nina imani yanaweza msaidia Gwajima kwa tatizo hilo
  13. JamiiForums Tanzania Gwajima hawezi kujibiwa kwa propaganda za kitoto. Watanzania ni watu waelewa wanajua mbivu na mbichi

    Kuleta propaganda yaani uongo kwenye siasa ili kurubuni watu ni upuuzi. Fikiria mzee Ali Kibao alivyowauma Watanzania. Yaani mchana kweupe watu wanamchukua kama kuku na kisha kuuliwa Alafu tunaambiwa kuwa kifo ni kifo tu... Leo wanaibuka Masheikh, Wasanii machawa, wapuuzi wajinga na...
  14. JamiiForums Tanzania Gwajima aendelea kukiona cha mtema kuni: Kesi ya Gwajima kupinga kanisa lake kufutwa yatupiliwa mbali na Mahalama Kuu

    erikali inasema haijafuta* Kanisa la Gwajima - hakuna maamuzi ya kufuta Kanisa la Gwajima linaloenda kwa jina la Glory of Christ TANZANIA Church. Na wala Barua ya kufuta haijawahi kupelekwa kwenye Kanisa hilo. Kwamba, kinachoonekana kufutwa kwenye ile Barua ya Msajili wa Jumuiya, ni Kanisa...
  15. JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo: Gwajima ulivyozungukwa na polisi uliwatoroka ukiwa umevaa dela, wakati wewe ni jasusi wa Mungu

    Gwajima pale ulivyozungukwa na polisi ulitoka na dela na kutokea mlango wa nyuma kwanini ulivaa dela wakati wewe unasema ni jasusi la Mungu, jasusi la Mungu livaa dela. Hukupaswa kuvaa dela ungesema mimi ni jasusi la Mungu na nyinyi ni majajusi la dunia tupambane alisema Sheikh Mwaipopo Soma...
  16. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtazamo wangu juu ya alichoongea Mchungaji Hananja kuhusu Askofu Gwajima

    MTAZAMO WANGU KUHUSU KAULI ZA HANANJA DHIDI YA ASKOFU GWAJIMA Katika historia ya mataifa mengi, viongozi wa dini wamekuwa mstari wa mbele katika kukemea maovu ya kijamii, kisiasa na kiutawala. Martin Luther King Jr. alipaza sauti dhidi ya ubaguzi wa rangi Marekani; Desmond Tutu alisimama dhidi...
  17. JamiiForums Tanzania Mchungaji Hananja anajilipua kuhusu Gwajima, asema unapokuwa Kiongozi unatakiwa uwe na uvumilivu

    https://www.youtube.com/live/s50bQ_jh8Us
  18. JamiiForums Tanzania Gwajima hayupo peke yake,watawala msijidanganye!

    Yaani maumivu niliyonayo hapa hayaelezeki,toka wiki iliyopita najiuliza nipo Tanzania au nimetekwa na mimi nipo nchi zingine zisizokuwa na umoja wa kitaifa kwa dini na makabila yote,kinacho nitafakarisha ni juu ya kufungia makanisa ya Gwajima, Japo mimi sijawahi na sio muumini wake ila nimeona...
  19. JamiiForums Tanzania Muumini wa Kanisa la Gwajima “Rais tusamehe, tufungulie Kanisa Watoto tusali, kama kuna tatizo malizana na Baba”

    Abel Masebo ambaye alijitambulisha kuwa ni muumini wa Kanisa la Glory of Christ Tanzania (Kanisa la Ufufuo na Uzima) amezungumza na Azam TV na kueleza ujumbe wake kwa Rais wa Nchi akimuomba afungue Kanisa hilo ambalo limefungiwa na Serikali. Amezungumza hayo akiwa nje ya Kanisa la Kanisa la...
  20. JamiiForums Tanzania Waumini wa Gwajima watakiwa kusalia nyumbani

    Katibu mkuu wa Kanisa la Glory of Christ (Nyumba ya Ufufuo na Uzima), Dk Erick Shoo ametangaza kutokuwa na ibada katika matawi yote ya kanisa hilo leo Juni 8, 2025 ikiwa ni utekelezaji wa kufungwa kwa kanisa hilo. Hivyo Dk Shoo amewataka waumini hao kuabudia kila mtu nyumbani kwake hadi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…