google

  1. A

    JamiiForums Tanzania Tunanunua google Play console account

    Ikiwa kuna mtu ana account ya google play console iliyoundwa kuanzia mwaka 2023 kurudi nyuma, na yuko tayari kuiuza Naomba tuwasiliane kwa namba: 0710445448
  2. JamiiForums Tanzania Google play store sasa inaweza kujibu maswali yako yote kuhusu app unayotaka kudownload

    Kampuni ya Google kupitia program yao ya Google play store imefanikiwa kuzindua feature mpya inayotumia muundo wa akili bandia (AI), kwa kuweza kumruhusu mtumiaji wa play store kuweza kuuliza app wanayotaka kuipakua ikoje kama hajaamua kuwa nayo kwenye simu yake. Feature hii inatumia...
  3. JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mfanyabiashara una taasisi yako unataka iwe inaonekana kwenye Google map yaani raman ya dunia nichek

    Kama wewe ni mfanyabiashara una biashara yako unataka iwe inaonekana kwenye Google map yaaani mtu ata aki request a Afike hadi dukani kwako yaani duka linaonekana kwenye raman Ya dunia kama unataka iyo nicheki 0743 257 669 nikusaidie
  4. JamiiForums Tanzania Nauza Google Pixel 6. Kuna Free Delivery

    Storage 128GB Used Dubai Clean Condition Tsh. 460,000/= Free delivery dar es salaam, mikoani na wilaya zote za Tanzania tunatuma mizigo bila changamoto Whatsapp_0623771079 Normal call_0778863227
  5. JamiiForums Tanzania Google walipa wamevunja rekodi ya kulipa faini kubwa kwa kukusanya na kufuatilia taarifa za watu bila idhini. Hatupo salama

    Google Yalipa Dola Bilioni 1.375 kwa Jimbo la Texas kwa Kufuatilia na Kukusanya Taarifa za Biometria Bila Idhini Google imekubali kulipa jimbo la Texas nchini Marekani kiasi cha dola bilioni 1.375 ili kumaliza mashitaka mawili yaliyokuwa yanaituhumu kampuni hiyo kwa kufuatilia mahali walipo...
  6. I

    JamiiForums Tanzania JE, UNAJUA UNAWEZA KUONDOA TAARIFA ZAKO BINAFSI KWENYE GOOGLE NDANI YA DAKIKA 1 TU?

    🔒 JE, UNAJUA UNAWEZA KUONDOA TAARIFA ZAKO BINAFSI KWENYE GOOGLE NDANI YA DAKIKA 1 TU? Watu wengi hawajui kuwa Google inatoa njia ya kujilinda dhidi ya watu wanaotafuta jina lako, namba yako ya simu, email au anwani ya nyumbani mtandaoni. Kwa ulimwengu wa sasa ambapo taarifa zako zinaweza...
  7. JamiiForums Tanzania App tano unazotakiwa kuwa nazo kama mfanya biashara

    Kama wewe ni mmiliki wa biashara ndogo, kuna apps ambazo ni lazima uwe nazo kwenye simu yako. App hizi zinaweza kukuokolea muda, kukuongeza ufanisi wa kazi pamoja na kukurahisishia maisha ya kila siku kwenye biashara yako. Nakuwekea list ya app hizi tano ambazo hautakiwi kuzikosa kabisa...
  8. JamiiForums Tanzania Bajeti ya 500,000 - 600,000 Google Google pixel ipi itanifaa

    Wakuu, niko na bajeti hii ya 500,000 hadi 600,000 nahitaji nipate Simu(Google pixel) ya ipi itanifaa..? Kama una ushauri kwa brand nyingine tofauti na hiyo yenye ubora unaweza kunisanua/kunipa ushauri la isiwe Tecno au infinix
  9. JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa kuhusu tofauti kati ya Google na chrome ni ipi?

    Naomba mtu anieleweshe kuhusu hili, tena kwa ukali na ikiwezekana kunifokea kama mtoto mdog naweza mwelewa labda Tofauti kati ya Google na chrome ni nini??
  10. JamiiForums Tanzania Mnamo tarehe 1-April-2004 kampuni ya google ili zindua barua pepe ya Gmail kutumika rasmi.

    Gmail ilianza kutumika rasmi tarehe 1 Aprili 2004 kama huduma ya majaribio (beta). Ilitolewa kwa watumiaji wachache kwa mwaliko kabla ya kufunguliwa kwa umma mnamo 7 Februari 2007.
  11. U

    JamiiForums Tanzania Google, kuinunua kampuni ya mayahudi ya WIZ inayohusika na usalama mitandaoni cybersecurity kwa rekodi ya kushangaza ya Dola bilioni 32

    Wadau hamjamboni nyote? Tukisema mayahudi wanazuoni akili kubwa sana msibishe Kampuni mama ya Google, Alphabet, imekubali kununua kampuni ya usalama wa mtandao Wiz, iliyoanzishwa Israel, kwa kiasi cha dola bilioni 32, kwa mujibu wa ripoti ya Financial Times. Hii ni dili kubwa zaidi katika...
  12. JamiiForums Tanzania Zifahamu Sababu Tano Kwanini Utumie Google Workspace Kuendesha Biashara Zako

    Google Workspace, zamani ikijulikana kama G Suite, ni seti ya zana za kidijitali zilizotengenezwa na Google kwa ajili ya kuboresha usimamizi wa biashara na taasisi. Ikiwa unatafuta njia ya kufanya kazi kwa ufanisi zaidi, kushirikiana kwa urahisi, na kuokoa gharama, Google Workspace ni suluhisho...
  13. JamiiForums Tanzania Sababu Tano Kwanini Utumie Google Workspace Kuendesha Biashara Zako

    Google Workspace, zamani ikijulikana kama G Suite, ni seti ya zana za kidijitali zilizotengenezwa na Google kwa ajili ya kuboresha usimamizi wa biashara na taasisi. Ikiwa unatafuta njia ya kufanya kazi kwa ufanisi zaidi, kushirikiana kwa urahisi, na kuokoa gharama, Google Workspace ni suluhisho...
  14. JamiiForums Tanzania Google Workspace ni Nini na Jinsi Inavyoweza Kubadili Biashara Yako

    Unapoteza Pesa na Muda Bila Kujua? Huu Ndio Suluhisho! Katika dunia ya kisasa ya kidigitali, biashara na taasisi nyingi bado zinatumia mbinu za zamani za mawasiliano na uhifadhi wa taarifa. Barua pepe zinapotea, mafaili yanapoteza usahihi kutokana na mabadiliko yasiyoeleweka, na mikutano...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Wazee wa GAmes, Kwanini Google Stadia ilifail?

    Chief-Mkwawa Kwanini Google stadia ilifail wakati naona ilikuwa na potential kwa sababu ulihitaji tu kuwa ni kifaa cha interneet kama tv na chrome cast, laptop basi. Hahikuhitaji ununue game consoles za bei mbaya na mtu unaweza kucheza game kali kali maana computing power inafanyika kwenye...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Google pixel 3 nyoofu naitoa kwa 180,000/=

    GOOGLE PIXEL 3 ⭕️Ram 4GB ⭕️storage 64Gb ⭕️Clean 💰bei 180,000= Ubungo Darajani 0️⃣7️⃣6️⃣9️⃣5️⃣0️⃣3️⃣6️⃣8️⃣
  17. E

    JamiiForums Tanzania TV4Sale Brand New Smart Android Google Tv available

    Wakuu TCL 75" QLED Android Google Tv available now ✅ Model C655 🔥 Ram 2GB Internal Storage 32GB 🔥 Model Year 2024 🔥 Offer Price 2.800,000/- TU CALL/SMS/WHATSAPP 0683731404 Location Kkoo
  18. JamiiForums Tanzania Mbinu wanazotumia kampuni kubwa kama Amazon, Google, na Apple kupata utajiri

    Habari wadau wa JamiiForums, Kwenye dunia ya sasa, kuna mastaa wawili wa biashara: wale unaowaona hadharani na wale wanaopanga mchezo nyuma ya pazia. Wengi wetu tunanunua bidhaa, kutafuta taarifa, na kuwasiliana mtandaoni bila kujiuliza: Je, huu mfumo unavyotufanya tufikiri, kuchagua, na...
  19. JamiiForums Tanzania Kumbe si Ziwa Nyasa tu, Rais wa Mexico ailalamikia Google kwa kubadili ramani, ghuba ya Mexico waiita ghuba ya America, huu ni ubeberu wa kimtandao

    Rais wa Mexico ameilalamikia kampuni ya Google kwa kuibadili jina ghuba ya Mexico na kuiita Ghuba ya America. Huu ni mwendelezo wa makampuni ya kibeberu kujaribu kubadili ramani ya dunia bila kushirikisha wadau. Hivi karibuni, kampuni hiyo ya kibeberu ilibeba mzega mzega ziwa lote la Nyasa na...
  20. JamiiForums Tanzania Simu za Google pixel 4a zimepata ugonjwa wa kufa battery 🔋

    Google pixel 4a kila mwenye nayo kipindi hiki zinaua betri. Huu ugonjwa ni kama umezilipukia simu za Google pixel 4a Kuuza ni ngumu Na wauzaji wa simu ukiwapelekea kufanya top up wanagoma, wanasema google pixel 4a ikishakufa betri habari imekwisha Ukibadilisha ugonjwa wa kuuwa betri ukitumia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…