Wasiseme sikuumwa.
Usiku wa saa nane ,imepigwa hii simu
Ni kwasababu ya mane, nimeridhi kunywa sumu
Nimeishi kama bene , sikuwa na umuhimu
Wasiseme sikuumwa, Abuu hili liseme
Sikulala miezi sita, mawazo yaniumiza
Hadi macho yalisita, yalivyo nisheheneza
Chakula hakikupita, hata ningajiliwaza...