goli

Goli Otok (pronounced [ɡôliː ǒtok]; lit. 'Barren Island'; Italian: Isola Calva) is a barren, uninhabited island that was the site of a political prison which was in use when Croatia was part of Yugoslavia. The prison was in operation between 1949 and 1989.The island is located in the northern Adriatic Sea just off the coast of Primorje-Gorski Kotar County, Croatia with an area of approximately 4.5 square kilometers (1.7 sq mi). Exposed to strong bora winds, particularly in the winter, the island's surface is almost completely devoid of vegetation, giving Goli Otok ("barren island" in Croatian) its name. It is also known as the "Croatian Alcatraz" because of its island location and high security.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    FT: Pamba SC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | CCM Kirumba

    Mechi kali ya Ligi jioni ya leo inapigwa Mwanza katika dimba la CCM Kirumba Kikosi cha Simba Sports Club kitawakosa washambuliaji wake wawili dhidi ya Pamba JIJI FC, Baraka Mwangosi na Seleman Mwalimu. Mwangosi aliumia kwenye mechi dhidi ya Singida BS na hajasafiri kwenda Mwanza wakati...
  2. Pdidy

    Na bado wanangangania goli aisee Simba nyie, Refa apewe maua yake kabisa

    😴 🥱
  3. M

    Kiko wapi? Milioni tano za goli la mama, simsikii Msigwa wala Mchengerwa,

    Nauliza tu Msigwa uko wapi, mbona hatusikii tena goli la mama labda Simba ingeshinda Chezea Watanganyika na sio wazungu Kwisha habari zenu
  4. marcoveratti

    Waziri wa Uingereza ampa Rais wa China mpira wa goli la CUNHA na DORGU kama zawadi

    Katika Ziara ya Kikazi ya Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer chini China alipokutana na Mwenyeji wake Rais wa China Xi Jinping amempa Mpira Uliotumika kwenye Mechi ya Ligi kuu kati ya Arsenal na Man United Lakini Kipekee akamzawadia Mipira ambayo ilitumika kupatikana kwa bao la Cunha na...
  5. The Burning Spear

    Million 5 za goli la mama zimezika mpira wa Tanzania

    GT Habari ndiyo hiyo kwisha kabisa. Vibanda umiza kwa sasa wanapitia wakti mgumu sana mapato ya uwanjani hakuna TFF mtakula nyasi hadi mkome. Hata kwa mechiza ulaya.watu hawana interest hata kidogo. FIFA wanaposema siasa zijitenge na mpira huwa wana maana kubwa sasa. Sasa uchawa wa kwenye...
  6. Hance Mtanashati

    Naiombea Taifa stars ifungwe goli 3 na kuendelea .Asante

    Ninafahamu fika Taifa stars lazima ifungwe hilo lipo wazi kipigo kipo palepale. Ila maombi yangu afungwe goli nyingi zaidi , hamna hamna afungwe kuanzia goli 3 na kuendelea. Asante.
  7. Damaso

    Goli la Mama, lakini Kombe halionekani: Taifa Stars Kati ya Ahadi na Kampeni

    Kauli ya Serikali kwamba “goli la mama lipo… safari hii tutavunja rekodi” imeamsha mjadala mzito miongoni mwa wadau wa soka nchini. Wakati fainali za AFCON zikikaribia Desemba 21, 2025, matumaini yanapandishwa juu kupitia kauli tamu, zawadi nono na misafara ya wajumbe. Lakini swali la msingi...
  8. William Mshumbusi

    Matola Aliwaambia wachezaji ukiona goli we piga tu. Au chenga wote kafunge. Hakuwa na plan yoyote ya attacking

    Mpanzu na Joshua mutale walifundishwa wakishika mpira wapenye safu ya azam na chenga kama madenge kwenye gazeti la sani na wanashot gool. Wale morisoni, Mukwala na wengine waliambiwa wakiona goli tu walenge shoot gool. Ukiona timu ilivyocheza unaona kabisa uwezo wa matola. Viongozi...
  9. stakehigh

    Hongera Clement Mzize kushinda Goli bora (CAF)

    Mshambuliaji wa Yanga Clement Mzize amefanikiwa kushinda goli bora la mwaka Afrika
  10. Busu la Kenge

    Konate naye ashangilia goli kwa "kuslide" na magoti

    Sijui namwonaje huyu beki hatari wa Liverpool Ibrahim Konate. Yuko kishambashamba tu. Sura yake haileweki sijui ana huzunika ama analia. Jana kwenye UEFA aliifungia Liverpool goli kali la kichwa kwenye mpira wa Kona na kushangilia kwa kuseleleka na magoti. Inaonekana aliipania sana kushangilia...
  11. Powell Gonzalez

    Barcelona 1 - 2 PSG kuna watu wanasema goli la pili ni offside

    Barcelona 1 - 2 PSG, kuna watu wanaamini goli la pili ni Offside kwamba hadi VAR imefanya makosa! Ushabiki wa hovyo kabisa!
  12. DuaZaMama

    Msigwa awakabidhi Azam Fc Milion 10 za Goli la Mama

    Msemaji mkuu wa serikali ambaye pia ni katibu mkuu wa wizara ya Habari sanaa, utamaduni na michezo Greyson Msigwa amekabidhi kiasi cha Tsh. Milioni 10 kwa klabu ya Azam kama sehemu ya hamasa katika mashindano ya Kimataifa, Azam Fc walipata ushindi wa Goli 2 dhidi ya El Merriekh ya sudan...
  13. GENTAMYCINE

    Ukiwa huna Akili na hufuatilii Mpira duniani lazima tu utasema Goli la Pacome jana lilikuwa Offside

  14. M

    Kenya kapigwa goli 3-1 na Gambia, English haijawasaidia

    English iwasaidie basi waweze ku qualify world cup
  15. PLOII

    AFRIKA MASHARIKI WE LACK FOOTBALL CIVILIZATION, COURTESY & COMMON PRINCIPLES; goli la tatu na la ushindi kwa Morocco ni tafsiri ya perfect brain.

    Happy Sunday Wana JF, Sina maneno mengi nadhani Wana sports fainali tulitazama wote iliyofanyikia pale Kenya. Nilishawahi kusema Morocco ni football brain na Jana wameonyesha hicho kitu, nawaza tu kwa wachezaji wetu nani angewaza ku- shoot vile ( out of sarcasm). Tuna Cha kujifunza kutoka kwa...
  16. N

    Messi kazidiwa na Ronaldo mechi 166, kazidiwa goli 64, na Messi anaongoza kwa assisti 131

    PICHA INAJIELEZA...WAZEE WA MAGOLI MSIJISAHAU ANDUNJE AINAKUJA
  17. M

    Baada ya Mzize kukosa goli la wazi ndipo dili la nje likafutika ghafla

    Inasemekana timu iliyokuwa inamuhitaji ilikatisha ghafla mazungumzo na mipango ya kumchukuwa BAAADA YA KUONA KIJANA WETU AMEKOSA GOLI LA WAZI KWENYE MECHI YA TAIFA STAR Vs MOROCCO .
  18. DELETED ACCOUNT

    Goli la Uganda linakubalikaje katika zama za VAR?

    Hizi nchi za Afrika Mashariki ziache kulazimisha ubingwa kwa njia za panya. Katika mechi ya Uganda vs South Africa, goli la kwanza la Uganda lilikuwa clear offside. Inakuwaje mshika kibendera hadi wasaidizi wa VAR waliruhusu lile goli? Katika zama hizi za VAR, kukubali goli kama lile ni...
  19. Z

    Goli la kibabe la Shomari Kapombe limesafisha njia nyeupe kwa Timu yetu ya Taifa kuelekea nusu fainali na hatimaye tutashinda.

    Hakika timu yetu imeendelea kujituma kwa bidii kupigania kombe la chan. Jana dakika za majeruhi Shomari Kapombe alipoga goli la kibabe na kuizamisha Maurtania. Pongezi kwa timu yetu....iendelee hivyohivyo. Wacheze kwa bidii na kujituma, ila waepuke makosa madogomadogo. Bila kumsahau Rais wetu...
  20. P

    MATOKEO YA GOLI LA MAMA: TAIFA STARS WAANZA CHAN KIBABE

    Timu ya Taifa ya wanaume ya mpira wa miguu wametoa burudani la kibabe na kuwa washindi dhidi ya timu ya Burkinafaso. Nakubaliana na huu msemo kuwa msione vyaelea, vimeundwa. Msemo huu unajidhihirisha baada ya mama kuwekeza kwenye mpira kwa kutoa motisha kwa wafungaji kitu ambacho kimewaongezea...
Back
Top Bottom