gigy money

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mashalove alisema Zuchu na Gigy hawawezi kuwa pamoja, leo hataamini macho yake

    Tukio la Zuchu na Gigy Money kuonekana pamoja kwenye usiku wa hina limezua gumzo kubwa kwenye ulimwengu wa burudani na kuacha wengi wakiwa na mshangao. Kauli ya Mashalove kuwa wawili hao wasingeweza kamwe kukaa meza moja imegonga mwamba, kwani picha na video zinazowaonyesha wakiwa na furaha na...
  2. JamiiForums Tanzania Gigy Money hana kifua cha siri, asema walipewa elfu 50 kila mtu kwenye kikao cha waziri

    Gigy Money, ameibua mjadala mzito kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuweka wazi kilichojiri katika mkutano uliofanyika hivi karibuni kati ya wasanii na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Katika video hiyo iliyosambaa kwa kasi, Gigy Money anaonekana akizungumza kwa uwazi bila kuficha kitu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Gigy Money aitwa BASATA

    Gigy anasema ana taharuki hajui kaitiwa nini, ila kaahidi akitoka atakuja kusema maana siyo muongo, pia kasema acha aende huenda anaweza kupewa cheo hata cha kusimamia wanayama Pia soma: Gigy Money Waziri Katambi alitupa elfu 50 za kula. Aendelee kutuita tu kila wiki
  4. JamiiForums Tanzania Gigy Money Waziri Katambi alitupa elfu 50 za kula. Aendelee kutuita tu kila wiki

    Haya friji la Gigy money aligandishi kabisa :) Kwa madai aliyatoa msanii wa muziki wa Bongo Fleva Gigy money amesema baada ya kuitwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Patrobas Katambi walipewa elfu 50 za kula. Ila Katambi kwahiyo bwebwe zote hizo uliwapa hadi hela ya kula Soma Pia: Malu...
  5. JamiiForums Tanzania Malu, pipytida, Dudu baya, Gigy money, Anko T, Noel na Mwijaku waitwa central station

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhe. Katambi amewaita wasanii na wanamitandao mbalimbali katika kikao maalum ambacho kitafanyika Central Police Station jijini Dar es salaam. Mpaka sasa agenda za kikao hicho hazijawekwa wazi. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Patrobas Katambi amesema kikao hicho...
  6. JamiiForums Tanzania Gigy Money anaumwa kalazwa Muhimbili ICU

    Kupitia ukurasa wake wa Instagram Gigy Money, uongozi wa msanii Gigy Money umeeleza kuwa msanii huyo anaumwa na anahitaji maombi kutoka kwa mashabiki wake. Taarifa hiyo imekanusha uvumi kuwa amepigwa au amehusika katika ugomvi wowote, ikisisitiza kuwa habari hizo ni za kupuuzwa. Gigy Money...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) Huwa hamuoni Ujinga na Upumbavu unaofanywa na wasanii Wenu?!!

    Matusi yamekua mengi sana mitandaoni na hao wasanii Wajinga Wajinga wanaojiita kioo Cha jamiii Nimesikitishwa sana na hii video ya gigy money akiwa ndani ya Gari akiimba na Wenzake nyimbo yenye lugha chafu na zamatusi Je Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) mnasubiri mpaka mtu ajirekodi...
  8. JamiiForums Tanzania Wema, Gigy Money wana jambo lao kwa Pacome Gigy asema anampenda sana

    ACHANA na ufundi wake uwanjani. Hii ya sasa ni kali zaidi na nyota wa Yanga raia wa Ivory Coast kazua balaa jipya kwa wasanii wa kike wa Bongo Fleva na Bongo Movie ikiwa ni siku chache tu tangu Stephanie Aziz Ki kuangukia kwa mjasiriamali, Hamisa Mobetto na kuamua kufunga ndoa. Pacome amekuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Tuzo za Dullah Makabila zawavunja mbavu mastaa, Ruby, Ray the Boss wamaindi

    😂😂 hivi huyu Dulla Makabila ana nini kwani? Jamaa amekuja na tuzo zake "Makabila Awards" na ametangaza vipengele tisa vilivyojaa utani, kuna UVUMILIVU, FITNA YA MUZIKI, CHAWA BORA mpaka KUPENDA WAGANGA 😂😂 Sema Ruby na Ray the Boss kama hajapenda hivi. Wakasuka kwenye comments na kumpa vidonge...
  10. JamiiForums Tanzania Unaelewa nini ukiangalia picha hii ya Gigy money?

  11. JamiiForums Tanzania Mtandao wa Nigeria wataja ngoma 100 bora za muda wote Tanzania. Diamond, Gigy Money wamo

    Mtandao mkubwa wa muziki nchini Nigeria Notjustok.com umezitaja ngoma bora 100 za muda wote hapa Bongo kuanzia 2012 - 2022 na kwa mara nyingine Diamond Platnumz kawaburuza wenzake. Kwenye article yao wameitaja ngoma ya Diamond My Number One kuwa ndio ngoma namba bora na iliyoleta impact zaidi...
  12. JamiiForums Tanzania Mtu kama Albert Msando, kwanini anateuliwa kuongoza watu Wilayani?

    Ni Albert Msando. Look at him. Wamekosekana kabisa watu wenye maadili na wanaojiheshimu mpaka kupelekea huyu ateuliwe? What was he doing there? Fingering her? What the hell is wrong with you Samia? Do you just flip a coin when picking these people? Do you conduct any background checks on...
  13. JamiiForums Tanzania Mastaa wasusia Party ya Gigy Money

    Huyu nae Kila Siku hajifunzi tu, kila siku mastaa wenzie wanamkimbia kwenye shughuli zake , ye kutwa kushoboka na za wenzie. Hizo pesa za kufanyia sherehe bora ungeenda kula na watoto yatima ukapata thawabu mbele za Mungu , unawaalika watu wanakunywa pombe za bure na kula bure halafu wanakusema...
  14. JamiiForums Tanzania Gigy Money aharibu tena Nairobi kwenye show ya Wife Material

    Huyu Gigy Sijui alirogwa au kajiroga mwenyewe kila anapogusa ni nuksi tu, show ya watu huko imehairishwa tena chanzo kikiwa ni yeye mwenyewe, Sijui linajikutaga nani, Yan linaudhi, kila sehemu likiwepo lazima lisababishe mkosi, na linavyoongeaga kama litahira kujifanya linajua kila kitu wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…