ghorofa

Ghorofa ni jengo la ngazi ambalo linaweza kutumiwa na watu (kwa ajili ya maisha, kazi, ghala, burudani, n.k.). Sakafu inayogusana na ardhi huitwa "ghorofa la chini" katika maeneo mengi.
  1. Kitomai

    Nyumba ya ghorofa (apartment) inauzwa – Upanga 🏢

    📍 Eneo: Upanga 🏠 Aina: Apartment (Floor ya Kwanza) 🚫 Jengo halina lift ✨ MAELEZO YA NYUMBA: ✔️ Vyumba 3 vya kulala ✔️ Master Bedroom 1 ✔️ Sebule kubwa ✔️ Jiko ✔️ Inafaa kwa matumizi ya Makazi au Biashara 💰 BEI: 👉 Tsh 300,000,000 (Bei ni FIXED) 📞 MAWASILIANO: 0784 225 000 📌 Wasiliana nasi kwa...
  2. K

    Mwekezaji na Mbunge wamliza bibi ni kuhusu ghorofa lililopo Kariakoo, aomba Serikali Kuu imsaidie apate haki yake

    BIBI kikongwe Khadija Isihaka (84), amemwangukia Rais Samia Suluhu Hassan,akimsihi aingilie kati mgogoro wake na mwekezaji Munir Harbesh, anayelalamikiwa kuvunja mkataba wao wa kumiliki jengo la ghorofa kwa ubia. Bibi Khadija anasema wakati akihangaika kusaka haki yake kwenye uwekezaji huo wa...
  3. Analogia Malenga

    Nunua gari kali, jenga ghorofa

    Hayo ni maneno ya mwanangu, akitaka ninunue gari kali, means hajaridhika na nilililonalo. Matokeo ya kidato cha pili yametoka na amefaulu kidogo nikaona nimtembeze mjini kuangalia vitu mbali mbali. Mtoto wangu akataka tuende Mlimani City, kama mnavyojua jana pale Mlimani kulikuwa na watu wazito...
  4. Dalali wa Mjini

    Vunja Jenga Ghorofa

    Nyumba inauzwa Magomeni kagera opposite kituo cha mafuta cha oilcom. Title Deed Smq 400 Milion 450 Hakuna mgogoro wowote. 0754693556 nipigie simu ukihitaji kuiona.
  5. B

    Ufaransa: Balozi ajitupa kutoka Ghorofa ya 22 ktk Hoteli jijini Paris, na Kupoteza Maisha

    Cape Town, South Africa Mheshimiwa Balozi Nathi Mthethwa alipatikana amefariki nje ya Hoteli ya Paris mnamo Jumanne, 30 Septemba. (Picha: Picha za Gallo / Foto24 / Craig Nieuwenhuizen) Wenzake na marafiki wa Balozi wa Afrika Kusini nchini Ufaransa, Nathi Mthethwa, wanaomboleza baada ya waziri...
  6. Bosspraise

    Apartments ya ghorofa ya kisasa

    Single storey apartments Familia nne kwenye jengo moja Kila familia ina vyumba viwili jiko sebule public toilet Chini familia mbili na juu Familia mbili Jengo zima lina ukubwa wa 16x6 meters Kiwanja 38x28 meters Majengo manne kwenye kiwanja yanakaa Imagine utakua unapata...
  7. Dalali_wa_kimataifa

    NYUMBA YA GHOROFA 5 INAUZWA,IPO MAGOMENI MOROCCO DARESSALAAM TANZANIA,UKUBWA WA KIWANJA 2,850SQM,BEI NI TSH BILLION 1.5

    #houseforsale YA KWANZA KUTOKA BARABARA YA LAMI NYUMBA YA GHOROFA TANO (5) INAUZWA IPO MAGOMENI MOROCCO DARESSALAAM INA APARTMENT NANE (8) ZA VYUMBA VIWILI,SEBULE,JIKO&CHOO PIA INA APARTMENT MOJA YA VYUMBA VINNE,AMBAYO IKO JUU FLOOR YA MWISHO INA FRAME NNE (4) NA ZOTE ZINAFANYA...
  8. N

    Namtafuta rafiki yangu 'Rehema Abdallah Moris' alikuwa anaishi ghorofa za shekilango (NHC),Dar es Salaam.

    Habari waungwana! Namtafuta rafiki yangu kipenzi Rehema Abdallah Moris mara ya mwisho kuwasiliana nae ni mwaka 2011 kama sijasahu. Tulikuwa na urafiki wa karibu sana mara nyingi nilikuwa namtembelea shekilango tunapiga stori zetu ubungu plaza hotel,stand shekliango au kwenye migahawa ya maeneo...
  9. stabilityman

    kwanini unaogopa kujenga ghorofa?

    habari naitwa Eng James niambie kwanini unaogopa kujenga ghorofa?
  10. Genius Man

    Watu mnao miliki mijengo Luxury Mansions Dodoma na Dar es salaam na mnampango wa kuziuza mimi ninatafuta kununua

    Habari wakuu, Sikutaka kupitia kwa dalali hivyo nimekuja kwenu moja kwa moja kama una mjengo unauza tuwasiliane moja kwa moja na mimi tufanye biashara natafuta mjengo mmoja mkali sana, hata kama sio ghorofa lakini ni Luxury kali sana tunaweza kufanya biashara. Napendelea kupata maeneo ya...
  11. Wakili wa shetani

    Kujenga ghorofa la mawe kunaweza kuwa cheap kuliko ghorofa la kawaida?

    Wataalamu wa ujenzi. Kwa maeneo ambayo mawe yanapatikana kwa kirahisi na cheap, kujenga ghorofa la mawe inaweza kuwa cheap kuliko kujenga ghorofa la kawaida?
  12. DuaZaMama

    Moto Mkubwa Wazuka katika Jengo la Ghorofa 67 Dubai Marina

    Moto mkubwa umezuka katika jengo la makazi lenye ghorofa 67 lililopo Dubai Marina, na kuwalazimu wakazi takriban 4,000 kuhama kwa dharura. Moto huo umeweza kudhibitiwa baada ya saa sita za juhudi za kuzima, huku hakuna majeruhi walioripotiwa. Chanzo cha moto bado hakijabainika.
  13. SankaraBoukaka

    Hatupaswi Kushangilia Umeme Unavyosambaa kwa Kasi Vijijini, Nyumba za Nyasi Zinavyopungua Idadi, Kutawanyika Kutafuta Hela

    Katika zama hizi tunazoita za maendeleo, kuna mambo mengi tunashangilia bila kuyachambua kwa undani. Tunaona fahari umeme unaposambaa hadi kijijini, nyumba za nyasi zinavyopungua, na watu wanavyohamia mijini kutafuta fedha. Lakini, je, kweli haya ni mafanikio? Au ni dalili za jamii inayokosa...
  14. stabilityman

    Unapojenga gholofa unatakiwa upange mawe ili upige jamvi je Upi umuhimu wa mawe kwenye ujenzi wa ghorofa

    Unapojenga gholofa unatakiwa upange mawe ili upige jamvi je Upi umuhimu wa mawe kwenye ujenzi wa ghorofa Mawe yana umuhimu mkubwa katika ujenzi wa ghorofa, hasa wakati wa kupiga jamvi (slab). Hapa kuna faida zake: ✅ Kuimarisha Msingi – Mawe husaidia kuimarisha msingi wa jengo kwa kuzuia...
  15. Hharyson

    "HUJUI? Mansion si lazima iwe ghorofa! Angalia hii 5-bedroom masterpiece yenye: 2-car garage Swimming pool unayoifikia moja kwa moja kutok

    SISI TUNAHUSIKA NA : DESIGN ,UJENZI NA UKARABATI OFISI ZETU ZIPO SINZA DAR ES SALAAM CALL/WHATSAP US +255624004650
  16. Just Pray

    MNEC Joseph Peneza aozesha binti yake, ampa zawadi ya nyumba ya ghorofa, shamba na milioni 70

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa kutoka Mkoa wa Mtwara, Komredi Joseph Mkuyu Peneza, ameandika historia kwa kufanikisha harusi ya binti yake, iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Katika tukio hilo lililohudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali, chama, ndugu, jamaa...
  17. stabilityman

    Kazi yangu kukufungua fikra sehem ambazo huwa zinachukua ghalama kubwa kwenye ujenzi wa gholofa

    Kazi yangu kukufungua fikra sehem ambazo huwa zinachukua ghalama kubwa kwenye ujenzi wa gholofa 1. Msingi Imara Zaidi: - Ghorofa huhitaji msingi wenye nguvu zaidi (deep foundation) ili kubeba uzito mkubwa wa jengo. 2. Nguzo na Beams Zaidi: - Vifaa vya kuongeza uimara kama nguzo...
  18. Blasio Kachuchu

    Benki ya CRDB kuiwezesha Zanzibar kujenga shule 23 za ghorofa

    Zanzibar. Tarehe 21 Mei 2025: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Benki ya CRDB kwa jitihada zake za kusaidia utekelezaji wa miradi ya maendeleo baada ya kusaini mkataba wa mkopo nafuu wa takriban Euro milioni 80 (shilingi bilioni 240)...
  19. Just Pray

    Askofu: Shetani anatufundisha kubadili mawe kuwa mkate, Waziri baada ya miezi mitatu tu ana ghorofa kumi, mabasi 100

    "Tunafundishwa daima na shetani kubadili mawe kuwa mkate, wewe ni waziri katika nchi badili mawe haya kuwa mkate, kweli waziri huyu baada ya miezi mitatu tu ana ghorofa 10, ana mabasi 100. Na nyie vijana wangu chochote utakachokipata, kama viongozi na hata kama ni waumini shetani yupo nyuma...
  20. Just Pray

    Waathirika ghorofa lililoporomoka Kariakoo wafungua kesi mahakamani kudai fidia

    Waliokuwa wafanyabiashara ambao walipanga kwenye jengo la ghorofa lililoporomoka Kariakoo, jijini Dar es Salaam mwishoni mwa mwaka 2024 wamefungua kesi kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania (Division ya Ardhi) Dar es Salaam wakidai fidia kwa waliokuwa wamiliki wa jengo hilo, ambapo madai ya fidia hiyo...
Back
Top Bottom