gesi

The GESIS – Leibniz Institute for the Social Sciences is the largest German infrastructure institute for the social sciences. It is headquartered in Mannheim, with a location in Cologne. With basic research-based services and consulting covering all levels of the scientific process, GESIS supports researchers in the social sciences. As of 2017, the president of GESIS is Christof Wolf.
GESIS is part of the Leibniz Association and receives federal and state funding.

View More On Wikipedia.org
  1. Kama 70% ya Umeme Wa Tanesco ni wa Gesi, Mbona Maji yanasingiziwa sana?

    “Kwa wastani umeme unaozalishwa kwa kutumia gesi asilia ni takribani asilimia 65 mpaka 70 ya umeme wote unaozalishwa nchini. Wataalam wanatuambia kwamba kama tusingekuwa na gesi asilia, tatizo la umeme nchini lingekuwa kubwa zaidi. Kwahiyo, tushukuru sana Mungu kutuletea rasilimali hii ya gesi...
  2. Tanganyika imejifunza mlipuko wa Gesi Kenya!Ujenzi kilalela tutavuna tunachokitaka! Wananchi wasubiri kupewa pole wakiwa kaburini?

    Leo 2-2-2024 "Lori moja ya nambari ya usajili isiyojulikana ambayo ilikuwa imesheheni gesi ililipuka na kuwasha moto mkubwa ulioenea sana. Mtungi wa gesi uligonga Godown na kuteketeza godown hilo linalohusika na nguo na nguo," msemaji wa serikali Kenya Isaac Mwaura alisema. TANZANIA. Biashara...
  3. Nigeria ilianza kuchimba mafuta 1956, bado inauza mafuta ghafi nje na kununua yaliyosafishwa. Tanzania tutatoboa na gesi?

    Nigeria ni nchi ya pili kwa uzalishaji mafuta barani nyuma ya Angola, ilianza rasmi uchimbaji mafuta na kuyauza nje kibiashara mwaka 1956, kufikia mwaka 2000 mapato ya mafuta ghafi yalikuwa 98% ya mapato yote Nigeria iliyopata kwa kuuza bidhaa na huduma nje ya nchi. Pamoja na mafuta ghafi kuwa...
  4. PreGE2025 Mbunge Ester Midimu Atoa Baiskeli 400 na Majiko ya Gesi 400 kwa Viongozi UWT Mkoa wa Simiyu

    Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Simiyu Ester Midimu ametoa Baiskeli zaidi ya 400 na majiko ya Gesi zaidi ya 400 kwa viongozi wa Kata kupitia Umoja wa Wanawake (UWT) wa mkoa huo ili kuwawezesha kufanya kazi za Chama Cha Mapinduzi na kutunza mazingira. Mbunge huyo amesema wanawake hao wamekuwa...
  5. Ukijichanganya na wadada wa siku hizi, haya mawe lazima yakupate

    Naomba hela yakusuka! Sijala! Mama yangu anaumwa! Gesi imeisha! Sina hela ya bandle! Ukijichanganya na wadada wa siku hizi, haya mawe lazima yakupate! Utadhani kama usingemtongoza angekufa jinsi anavyokutolea shida utadhani ndo uliyemleta duniani!
  6. Zanzibar: Dkt. Biteko ashuhudia utiaji Saini mikataba ya kuwezesha upatikanaji wa Gesi Asilia

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameshuhudia uwekaji saini Mkataba wa Mauziano ya Gesi Asilia itakayozalishwa katika eneo la Ntorya Kitalu cha Ruvuma na uwekaji saini hati ya Makubaliano kwa ajili ya kuanzisha mahusiano ya kujenga miundombinu ya kusambaza Gesi Asilia kwa...
  7. Ombi la kuteuliwa kuwa Kamishna wa Petroli na Gesi

    OMBI LA KUTEULIWA KUWA KAMISHNA WA PETROLI NA GESI Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, Kwa heshima na taadhima, naomba kuteuliwa kuwa Kamishna wa Petroli na Gesi katika Wizara ya Nishati, ili kujaza nafasi iliyo wazi. Nikiwa na uelewa mkubwa katika masuala ya mafuta na gesi, na kufahamu...
  8. Mtaalamu wa mafuta na gesi Tanzania afanikiwa kuzalisha gesi kutoka kwenye kitalu chake mwenyewe na kuandika andiko linaloelezea kile alichokifanya

    Mtaalamu wa mafuta na gesi Tanzania, bwana Elia Wilinasi ameitendea haki field yake ya mafuta na gesi baada ya kuzalisha gesi kutoka kwenye kitalu chake mwenyewe na kufanikiwa kuandika andiko zima ya kile alichokifanya...
  9. B

    PreGE2025 Mbunge Samizi amuunga mkono Rais Samia kwa kugawa majiko ya gesi 400. Wananchi wamchukulia fomu

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, Dkt. Florence George Samizi amesoma Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM kutoka mwaka 2020-2023 ambapo ametumia mkutano mkubwa uliofanyika katika ukumbi wa 10M Kibondo kueleza kwa wananchi wake mambo makubwa aliyoyafanya pamoja na Serikali ya Rais...
  10. Hivi serikali inanunua gesi inayochimbwa nchini kwa dola au kwa TSh?

    Nimewaza hapa nikaona kuwa inawezekana huu mgao mkali wa umeme ni serikali haina pesa ya kununulia gesi ya kutosha. Naomba kufahamu serikali inanunua gesi kwa kutumia pesa gani?
  11. M

    Ansarullah: Msimu wa baridi kali umekaribia Ulaya; tukichokozwa tutapiga visima na meli za mafuta na gesi

    Mmoja wa viongozi waandamizi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amezionya nchi mbili za Kiarabu kwamba zisithubutu kuingia kwenye muungano wa Bahari Nyekundu wa Marekani na imetangaza wazi kwamba, kama Yemen itashambuliwa, basi harakati hiyo itajibu kwa kupinga visima na meli za maafuta na gesi...
  12. Serikali yasema inajenga vituo vingine vitatu vya Nishati ya gesi ya magari

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imefanya ziara ya ukaguzi wa miundombinu ya Mradi wa Umeme wa Kinyerezi One ambao pia itatumika katika Mradi wa Reli ya Kisasa ya SGR na kueleza kufurahishwa na maendeleo ya mradi huo, leo Jumatano Desemba 13, 2023. Akizungumza mara baada ya ukaguzi wa Kamati...
  13. Mbunge Santiel Kirumba Aongoza Maadhimisho ya Mtoto Njiti Duniani, Agawa majiko ya Gesi, Aiomba Serikali Iongeze Likizo Mama Aliyejifungua Mtoto Njiti

    MBUNGE SANTIEL KIRUMBA AONGOZA MAADHIMISHO YA MTOTO NJITI DUNIANI, AGAWA MAJIKO YA GESI, AIOMBA SERIKALI IONGEZE LIKIZO MAMA ALIYEJIFUNGUA MTOTO NJITI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga Mhe. Santiel Kirumba ameongoza Maadhimisho ya Mtoto Njiti duniani katika Halmashauri ya Wilaya ya...
  14. Biteko: 65% ya umeme tunatumia gesi, lakini kuna mashine miaka 2 haijatengenezwa. Nakuja TANESCO

    Biteko: 65% ya umeme tunatumia gesi, lakini kuna mashine miaka 2 haijatengenezwa. Nakuja TANESCO Menejimenti ya TANESCO tunatakiwa tupate viongozi wanaojua tatizo la umeme.
  15. Dkt. Biteko azindua kituo cha kisasa cha kujazia gesi asilia kwenye magari (CNG)

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko leo amezindua kituo cha kwanza cha kisasa cha kujazia gesi asilia kwenye magari na karakana ya kuweka mfumo wa gesi asilia ikiwa ni muendelezo wa utekelezaji wa mipango ya Serikali kuchochea matumizi ya gesi asilia kama nishati safi na...
  16. Je, Naibu Waziri Mkuu Biteko kamshindwa mkurugenzi EWURA kwenye suala la kutoa vibali gesi asilia ya magari?

    EWURA kupitia Mkurugenzi wao naona wanamvimbia Mh BITEKO, Hali ya utoaji huduma ya gesi asilia kwa magari ni mbaya sana! watu wanaenda kujaza magari vituo viwili tu Tanzania nzima kweli? tena wanakaa hadi masaa matatu kupata huduma Kuna kampuni ya Dalbit tunaona imekamilisha kujenga kituo cha...
  17. Rostam abonga na Hichilema kuzalisha umeme nchini Zambia. Pia aangazia usambazaji wa gesi

    Rostam Aziz amekutana na Rais wa Zambia, Haikande Hichilema mjini Lusaka na wamejadiliana kuhusu uwekezaji kwenye sekta ya nishati na madini. Taifa group kupitia kampuni yake tanzu ya Taifa Gas tayari imeingia ubia na kampuni ya Delta Marimba ya Zambia kuzalisha megawat 100 kwa kutumia gesi...
  18. KERO Responded Foleni ya kuweka gesi Dar kwenye magari ni tatizo

    Mchangamoto tunaopitia wakati wa kujaza gesi kwenye magari ni kero kubwa ya foleni inayotokana na wingi wa wenye uhitaji huku sehemu za kujazia zikiwa chache. Hicho ni kikwazo kikubwa pia kwa madereva hasa wale ndugu zangu wa Taksi Mtandao kwa kuwa wanatumia muda mwingi kwenye foleni ya gesi...
  19. F

    Bunge la Kenya lapitisha sheria kwamba nyumba zote zitakazojengwa ziwe na mfumo wa kusambaza gesi

    Hawa ndio watu serious kwenye masuala ya miundombinu na maendeleo ya matumizi ya gesi asilia hata kama hawazalishi gesi hiyo! Tanzania pamoja na kuwa na gesi nyingi hatujaweza kuisambaza hata Dar ambapo tayari mabomba kutoka Songosongo yalishawekwa zamani. Ni hawa akina Rostam tulioshindwa...
  20. Obama na Michele watimiza miaka 30 kwenye game, hamna hata siku moja Michelle aliomba hela eti gesi imeisha.

    Jana Obama na Michelle wametimiza miaka 30 ya kuwa pamoja. Pamoja na kutimiza umri huo hamna hata siku moja ambayo Michelle alimuomba Obama hela akanunue gesi achilia mbali luku, vocha, hela ya kusuka nk.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…