genge

Genge music, or genge, is a genre of hip hop music with additional influences from dancehall music that had its beginnings in Nairobi, Kenya. The name was coined by the producer Clemo and popularized by Kenyan rappers Jua Cali and Nonini who started off at Calif Records, and is commonly sung in Sheng (Swahili slang), Swahili or local dialects. The term genge is a sheng word for "a group or a mass of people".

View More On Wikipedia.org
  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watuhumiwa 15 Wa Genge Wakamatwa Kisumu, Silaha Za Kijamii Zanaswa

    Maafisa wa usalama wamewakamata watu 15 wanaoshukiwa kuwa wanachama wa genge la uhalifu katika operesheni ya pamoja iliyofanyika Kaunti ya Kisumu. Operesheni hiyo ilifuatia taarifa za kijasusi kwamba kundi la watu waliokuwa na silaha za kijadi lilikuwa likisafiri kuelekea Kisumu kupitia...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Je ccm ni genge linalomuogopa Heche kama nyuki wanavyomuogopa nhegele?

    Wadau za asubuhi? Naomba kuuliza je ccm na genge lao la watekaji, mauwaji, mafisadi na ma-cartels ya mafuta wanamuogopa Heche zaid ya nyuki Kwa nhegele? Maana Heche akitoa moja tu hilo genge lote utaliona linapuyanga hovyohovyo kama chizi aliyesahau njia.
  3. JamiiForums Tanzania Bado Siku Sita Peter Shilolile na Genge Lake Waisambaratishe Wachimba Dawa FC

    Wachimba Dawa FC ni timu hodari kwa kujisaidia haja kubwa kwenye viwanja vya watu. Tarehe 12 August, 2026 ndiyo ile siku ambayo rekodi ya timu kufungwa mabao double digit itaandikwa. Najua humu kuna wachambuzi uchwara wa mpira, ila swali langu ni kwamba je wataingiza timu?
  4. H

    JamiiForums Tanzania Jumbe Kutekwa na Genge la Wazanzibari, Wamarekani Walikuwa Sahihi Kuogopa Zanzibar Ikiachwa Itakuwa Nyumba Ya Magaidi

    Kiongozi mmoja ambaye sasa ni hayati, ambaye alikuwa na nafasi kubwa wakati wa utawala wa Nyerere, ambaye ndiye aliongoza timu ya kukamilisha muungano wa Tanganyika na Zanzibar, miaka michache kabla ya kufa kwake, alisema kuwa kinachoitwa muungano wa Tanganyika na Zanzibar, haukuwa muungano...
  5. JamiiForums Tanzania Ni hatari sana kiusalama kwa watekaji na genge lao kuendelea kutumia "Plate Number" zisiofuata mfumo rasmi wa nchi

    Maana yake Kuna Ombwe kubwa linatengenezeka . Sina Uhakika Tena Kama Askari Barabarani wanaweza Kuyasimamisha Magari yenye hizi namba. Hawawezi kwa sababu Vichwani mwao na wao wanaamini ni ya Akina Abduli. Kiasi kwamba huu uwazi , Umetengeneza Mazingira Mazuri kwa WATU WABAYA . Leo hiii...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Rais mstaafu wa Tanzania Kikwete ateuliwa na AU kuwa mwakilishi maalum wa pembe ya Afrika na bahari ya Shamu

    Umoja wa Afrika (AU) umetangaza kumteua Rais mstaafu wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, kuwa Mwakilishi Maalum wa AU kwa Ukanda wa Pembe ya Afrika na Bahari ya Shamu. Mwenyekiti wa Tume ya AU, Mahmoud Ali Youssouf, amesema Kikwete ataongoza juhudi za kushughulikia changamoto za kisiasa, amani...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Zile Kampuni za kukamata "Wrong Parking" lile ni genge la rushwa

    TANROADS na kwa TARURA na Jiji ukienda katika mataifa yote, Dar kwa mfano, kuna zile kampuni za kukamata rwong parking, zile kampuni sijui kama mmeshawahi kujua wanachopata wao na mnachopata nyie, lile ni genge la rushwa, ni kubwa sana, vibaka na watu ambao hawahusiani ndio wanaendeleza hizo...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Ni vema Mahakama na Chama cha Mawakili wamfungie Katuga na genge lake kutoa huduma za Uwakili kutokana na uhuni walioifanyia Mahakama

    Mahakama ina kanuni, taratibu na miongozo katika kuendesha kesi. Na katika taratibu hizo, mawakili wote huhesabika kama ni maafisa wa mahakama wanaotakiwa kuwa mfano katika kuzingatia na kuheshimu taratibu zote za mahakama. Leo mawakili wa Serikali kwenye kesi bandia dhidi ya Lisu, wakili wa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Samia, Kikwete na genge lao hawajali usalama zaidi ya familia zao na pesa

    Huo ndiyo ukweli ndiyo maana funga funga ya wakina Lissu inaendelea, utekaji usio na tija unaendelea, rushwa inaendelea, undugu kwenye uongozi unaendelea , upendeleaji wa vijana wa Kizanzibari unaendea, mikataba bila ufuatiliaji ya kifisadi inaendea, mauaji ya vijana mpaka leo hakuna mwenye...
  10. JamiiForums Tanzania Rais ni mfanya kazi za ndani wa muda na sio mmiliki wa nchi hii, samia na genge lake wanajaribu kutaka kuiteka nchi kwa mauwaji na utekaji wa raia

    Rais ni mfanya kazi za ndani wa muda na sio mmiliki wa nchi hii, samia na genge lake wanajaribu kutaka kuiteka nchi kwa mauwaji na utekaji wa raia. Lazima ujiulize kwanini wanateka na kuuwa watu na kukamata watu hovyo hovyo. Hatutaki kumilikiwa sisi ni watu huru. vyama vya siasa sijui watu...
  11. JamiiForums Tanzania Watanzania wameuwawa na samia na genge lake alafu maiti wameteka watu wanatafuta wapendwa wao hii haikubariki watalipa

  12. JamiiForums Tanzania TAKUKURU yakabidhi mashine mbili za watoto waliozaliwa kabla ya muda kwa Hospitali ya Tumbi

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imetangaza kuwatafuta washtakiwa Alex Msama Mwita na Benny Mwita Sammoh wanaokabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi ikiwemo kuongoza genge la uhalifu, kughushi, kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu pamoja na utakatishaji fedha kupitia shauri...
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kimara Suka tunapata maji kwa saa 6

    Aweso hii Gaza ya Kusini anzia pale Over Mataa mlipoweka wanajeshi wa Uganda wale shuka mpaka Mbuzi Online Suka mlipoua boda akiwa na abiria ingia na hiyo njia hapo vuka uwanja mbele dukani mlipoua mtu akiwa dukani nenda mbele kidogo pandisha kimlima hayo maeneo mnafungua maji masaa 6 tena muda...
  14. JamiiForums Tanzania Samia na genge lake next....

    Unaweza usione uzito wa kauli hii leo. Tuendelee kiwaamini hawa wavaa kaundasuti, wavunja tofali wa vichwa (badala ya akili) na wazee wa shuruti bila sheria kwamba watakulinda. Dawa ya jeuri ni kusudi.... Baada ya Maduro, kituo kinachofuata ni...... Usiseme sijakutonya
  15. JamiiForums Tanzania Tunasherekeaje skukuu wakati ndugu zetu wametwa na kuuwawa na miili hatujapewa tukazike hili suala samia na genge lake lazima watalipa.

    Tunasherekeaje skukuu wakati ndugu zetu wametekwa na kuuwawa na miili hatujapewa tukazike hili suala samia na genge lake lazima watalipa.
  16. JamiiForums Tanzania Mlio karibu nae mwambieni ukweli, Dunia imeshamjua kuwa ni mkatili na muongo zaidi. Mkutano wake wa kesho ni furahisha genge tu

    Mpaka sasa watu wana ushahidi wa kila kitu kinachofanywa na Serikali yake. Kuanzia kuteka watu na kukana, kuuwa watu na kukana, kupoteza watu na kukana hadi kuwafungulia mashtaka ya uongo ili waozee magerezani. Wanajua hadi ameunda Tume ya kubumba ili kuficha ushetani alioufanya dhidi ya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia kulihutubia Taifa kupitia mkutano wa wazee wa Dar es Salaam kesho Desemba 2, 2025

    Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema kuwa Rais Samia siku ya kesho Jumanne ataongea na wazee wa Dar es salaam lakini atatumia mkutano huo kulihutubia taifa. Amesema ''Kutokana na Mkoa wetu kuendelea kurejea katika hali yake ya amani Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt...
  18. JamiiForums Tanzania Genge la wahuni ni lipi kati yetu na wao?

    Wanaiba mali za umma, wanauza hovyo rasilimali za taifa. Hawataki tuwaambie ukweli kwamba hii nchi ndiyo kwetu. Mukiitapanya leo tutaishi wapi kesho? Watoto wetu, wajukuu na vitukuu na vizazi vijavyo, wataishije kesho kama hamzingatii leo yetu? Tukiwaambia hawatusikilizi. Wanatuteka...
  19. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwa nini mpaka sasa hakuna mtanzania aliyefungua kesi ICC dhidi ya Samia Suluhu na genge lake la wauaji?

    Sijui mambo ya sheriia za kimataifa yalivyo. Nilikua naomba kufahamishwa, mbona mpaka sasa hakuna Mtanzania au taasisi yoyote ambayo imefungua kesi ICC dhidi ya Samia Suluhu na genge lake la wauaji? Au utaratibu wa kufungua kesi huko icc ukoje wakuu? ==== Majibu kutoka kwa wadau
  20. JamiiForums Tanzania Tafadhali Samuya na genge lako jifunze toka kwa Omar Bashir na Muamar Gaddafi

    Taifa linajua. Limepoteza watu wengi wasio na hatia. Linajua namna wafadhili wako wanavyojitahidi kukubakiza madarakani. Linajua kila kitu. Ila, kama unajitakia na kulitakia mema taifa, chonde chonde. Jifunze toka kwa watajwa hapo juu. Walifanya kama unavyofanya. Je, waliishaje na kuishia wapi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…