gemu

The Family Game (家族ゲーム, Kazoku Gēmu) is a 1983 Japanese movie directed by Yoshimitsu Morita. The Family Game received several awards including the best movie of the year as selected by Japanese critics. Although the movie missed the Japan Academy Prize for the Best Picture (losing out to Palme d'Or Winner The Ballad of Narayama), Ichirōta Miyagawa was awarded Newcomer of the Year.

View More On Wikipedia.org
  1. 1

    Mashabiki wa Yanga sio watu wa mpira, mmeambiwa mnaingia bure na bado mnaendelea kuhamasishwa kwenda uwanjani kuona gemu bure, haya ni maajabu makubwa

    Viongozi wa SImba endeleeni kuhamasisha mashabiki kuujaza uwanja wa Mkapa siku ya Ijumaa kwa sababu hao hao mashabiki wetu watakaokwenda Ijumaa kuangalia show ya kibabe yenye kiingilio ndio wataokwenda kuangalia bure kwenye gemu ya Yanga, kwa hiyo kimahesabu gemu ya Yanga itajaza sana mashabiki...
  2. N

    Ni muda sasa Simba iachane na kucheza gemu za jihadi na kucheza professional game

    Nimejaribu kuangalia gemu nyingi Sana Simba alizocheza ugenini hususani na timu za kaskazini. Kama wangewekeza kwenye professional game huenda wangevuka hatua zaidi hata kufika nusu au fainal kabisa
  3. William Mshumbusi

    Wachezi wa simba wanaitaji kupumzishwa kabla ya gemu inayofata baada ya kuchoshwa na mazoezi ya ovyo ya Cadena na Matola

    Huyu Cadena hajui ukocha kabisa. Aliachiwa azam kidogo akaiua kwa staili hii hii ikitoka kushinda gemu 10 kati ya 11 chini ya Kali Ongala. Leo sio kibu, Sio ngoma, Kanute au Mzamiru miguu kama ilifungwa mawe. Kocha anatakiwa awatibu wachezaji majeraha ya mazoezi magumu kabla ya Gemu...
  4. William Mshumbusi

    Dani Cadena kocha bingwa wa figisu asiye na uwezo aliyeivuruga Azam. Kaweza kuzuia Mgunda lakini hatashinda gemu hata moja

    Viongozi wa simba waamini kwenye rangi nyeupe kurubuni washabiki na kwenye upigaji. kocha katoka azam na mazoezi ya video. Licha ya kuwa na sifa ya mazoezi ya kisasa. Hutoa mazoezi mengi sana na kuchosha makipa na mwisho wa siku huaribu viwango vya makipa. Toka aje simba kiwango cha makipa...
  5. Kilimbatz

    Refa anayechezesha gemu ya Mamelodi vs Atletico de Luanda anajaribu kuwatengenezea mazingira Al Ahyl ya ubingwa

    Dakika ya nne ya mchezo tayari keshatoa kadi nyekundu kwa mchezaji wa Mamelodi Beki wa Mamelodi ndiyo alicheza faulo ila haikustahili straight red card Tunajua Al ahyl hana ujanja mbele ya mume wao Masandawana Huwa tunajipigia nje ndani Refa tunakuangalia kwa jicho la mwewe Ombeno Mamelodi...
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    Usilipimie gemu la hawa members, unaweza kudhaani watauana dakika mbili zijazo

    Chizi Maarifa vs UMUGHAKA GENTAMYCINE vs Dr Matola PhD Mshana Jr vs FaizaFoxy
  7. Mnara_The_Orange

    Wanaomuelewa Young Killer anaimba nini siku hizi, mbona kama simuelewi? Ameshindwa kuisoma gemu na kunyumbulika nayo

    Back in 2013 namkumbuka sana huyu dogo cheche zake kuanzia Dear Gamble, Mrs Superstar n.k, nilikuwa fan wake mkubwa, ukichanganya kule kuchana kwake kuchanganya swaggs kama young daddy. Nimemiss zile flavour real kutoka kwa huyu dogo, nashindwa kuelewa tatizo liko wapi? Ameshindwa kabisa...
  8. ndege JOHN

    Haipendezi Mwanaume mtu mzima kucheza games za kitoto kwenye simu yake

    Unakuta ni kwenye daladala au mpo sehemu mmekaa mnasubiria huduma unaona mbaba anacheza game kwenye simu yake game yenyewe bora hata ingekuwa hata dream league soccer au PES. Noma inaanza pale unakuta mtu anacheza sweet fruit candy, au Buble shooter, Temple run, subway runner vigame flan vya...
  9. Pastory Kimaryo

    Nahitaji gemu la karata la kucheza wawili mtandaoni

    Hello 👋🏼 tech geeks! Kwanza nahitaji kujua michezo ya karata kama last card na robo sitini (informally: alba stin) inapatikana kwenye app stores na inaitwaje. Nimeona michezo kama poker, blackjack na rummy sasa sijui ni ipi hii. Basi kwa anayeijua hiyo michezo miwili, last card hii ya kibongo...
  10. R

    Inakera sana: Mtu umemlipia nauli kutoka mkoa hadi mkoa baada ya muda mrefu hamjaonana, akija gemu hafifu sana

    Jamani hizi ni zama za nipe nikupe! Huu ndio ukweli wa maisha ya siku hizi. Wadada mnaopenda kuhudimiwa na wanaume( Karibu nyote mnapenda) mjipime na kujitafakari kama huduma mnazotoa zinakidhi viwango au la! Huyu mpenzi wangu mimi kutokana na kazi zangu za kuhudumia jamii, nakuwa bize sana...
Back
Top Bottom