geita

Geita is a town in northwestern Tanzania of approximately 240,000 people, located north east of tanzania. It is in the centre of a gold mining area. In March 2012 it became the administrative headquarters of the newly created Geita Region.

View More On Wikipedia.org
  1. RPC Safia Jongo: UTPC tusaidieni Geita, Waandishi wengi hawana Maadili

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, ACP Safia Jongo ametoa wito kwa Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) kuongeza nguvu na kuboresha hali ya utendaji wa Waandishi wa Habari Mkoani hapo kwa kile alichodai kuna changamoto ya utendaji na kukosekana kwa weledi. Akizungumza katika...
  2. Mtendaji wa kata ama kijiji anapaswa kuwa na degree ya utawala, au sheria ama associate degree kwa mambo ya uongozi. Siyo hawa watoto wenye vyeti

    Hivi kuna tatizo gani kwenye vichwa vya viongozi wetu? Yaani leo hii unaajiri mtendaji wa kijiji ama mtaa mwenye elimu ya kidato cha nne na cheti cha taaluma alichosomea mwaka mmoja ama miwili ? Halafu huyo mtu anakwenda kumsimamia mkuu wa shule mwenye shahada moja ama shahada ya uzamivu...
  3. GE2025 Kijana wa miaka 26 atangaza nia ya kugombea Jimbo la Geita mjini

    Joto la uchaguzi mkuu likiwa linazidi kupanda kwa baadhi ya wanasiasa katika halamshauri ya manispaa ya Geita Elia John Yohana mwenye umri wa miaka 26 ambaye ni muhitimu Shahada ya kwanza ya Elimu ya sayansi ametangaza rasmi kugombea Ubunge Jimbo la Geita mjini kupitia tiketi ya chama cha...
  4. PreGE2025 Geita: Kamati mbalimbali zaundwa kusimamia utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo

    Huku Serikali ikiwa inaendelea na juhudi za kuhakikisha huduma za kijamii zinawafikia wananchi haswa maeneo ya vijijini, kamati mbali mbali ambazo zimeundwa kusimamia utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo, hususani kwenye nyanja za Elimu na Afya, zimetakiwa kuhakikisha zinafuatilia hatua kwa hatua...
  5. Benki Kuu ya Tanzania kuuziwa 20% dhahabu inayozalishwa na Shanta, Geita Gold Mine, Buckreef Gold

    Kampuni za madini za Geita Gold Mine (GGM), Shanta na Buckreef Gold zimeingia mkataba na Benki Kuu (BoT) ya utekelezaji wa sheria ya madini inayozitaka kampuni binafsi za uchimbaji madini kuiuzia BoT dhahabu inayozalishwa na kampuni hizo kwa kiwango kisichopungua asilimia 20. Mikataba hiyo...
  6. A

    KERO Mi ni mfanyakazi katika wilaya ya Nyanghwale - Geita. Nilipata kibali cha uhamisho, mwaka sasa nazungushwa

    Kwanini uhamisho unakuwa kitendawili hivi?. Kama mtu ushatimiwa barua ya kibali cha kuhama toka TAMISEMI baada yakuona unastahili kwanini halmashauri iwe changamoto? Hata barua yenyewe kujua kama ilishatumwa ni baada ya kufuatlia TAMISEMI ndo unaambiwa kibali chako tayari kishatumwa kwa...
  7. DOKEZO Responded Waziri Dkt. Dorothy Gwajima, jeshi la polisi mikoa ya Mwanza na Geita msaidieni mwanafunzi huyu kapewa ujauzito na kuwekwa kinyumba

    Wasaalam wanajamvi, Nawasalimu kwa jina la Jamhuri..... Licha ya Serikali kupambana kwa juhudi zote kuhakikisha watoto hasa wa kike wanapata elimu kuanzia ngazi zote ili iweze kuwasaidia kwa baadae bado Kuna ushirikiano duni kwa baadhi ya wanajamii.Bado Kuna watu wanaishika sharubu serikali...
  8. Geita mkoa uliojaza maskini wengi na kukosa maendeleo lakini ndio wenye dhahabu nyingi na kampuni kubwa ya uchimbaji

    Kama umefika geita na viunga vyake utajionea umaskini uliopo kuanzia miundo mbinu na wananchi wenyewe. Katika mkoa wenye migodi mingi mikubwa ni geita. Shida ya serikali yetu ya CCm tokea kupata uhuru hakuna lolote walilowezesha labda wananchi wajiwezeshe wenyewe. Yani mkoa una rasilimali za...
  9. PreGE2025 Bilioni 19.601 kutekeleza ujenzi kituo kikuu cha mabasi geita mjini

    BILIONI 19.601 KUTEKELEZA UJENZI KITUO KIKUU CHA MABASI GEITA MJINI Jumla ya Shilingi Bilioni 19,171, 601, 509. 00 zinatarajiwa kutumika katika ujenzi wa Kituo Kikuu cha Mabasi cha Geita Mjini, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Mradi wa Uboreshaji wa Miundombinu ya Miji Tanzania kwa awamu ya...
  10. W

    Wachimbaji Geita wampongeza Rais Samia kwa mafanikio makubwa ya sekta ya madini

    Wachimbaji na Wafanyabiashara wa Madini wa Mkoa wa Geita wamempongeza Rais Dkt. Samia S. Hassan kwa mafanikio makubwa yaliyopatikana kupitia sekta ya madini katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wake. Hayo yamesemwa jana kwenye mkutano wa hadhara ulioandaliwa na wachimbaji hao katika eneo...
  11. A

    PreGE2025 Tazama kimbunga cha No reforms no election Geita, Wenje aseme ahami chama, CCM hoi

    No reforms no election, leo ilikuwa mjini Katoro Geita, maelfu ya wananchi waiunga mkono. https://x.com/MariaSTsehai/status/1921221068045324414?t=vS8C8M6SsX_Rf2j8nb4cfQ&s=19 Wenje asema yeye ahami chama bado yupo chadema kupigania mageuzi...
  12. W

    PreGE2025 Otto achukua fomu ya ubunge ACT-Jimbo la Geita Mjini

    Hekaheka za Uchukuaji Fomu katika maeneo mbalimbali zinaendelea ambapo Mkoani Geita katika Jimbo la Geita Mjini Emmanuel Otto Ikolongo kupitia chama cha ACT wazalendo amechukua Fomu ya kugombea nafasi ya Ubunge huku akitoa vipaumbele mbalimbali. Ikolongo ambaye Ni mjumbe wa Halmashauri Kuu ya...
  13. Geita Gold Mining Limited watoa msaada wa pikipiki 15 kwa jeshi la polisi kuimarisha usalama

    Mgodi wa Dhahabu wa Geita Gold Mining Limited (GGML) umetoa msaada wa pikipiki 15 kwa Jeshi la Polisi kwa lengo la kusaidia shughuli za doria na operesheni mbalimbali zinazolenga kuimarisha usalama wa raia na mali zao. Akipokea Pikipiki hizo kwa niaba ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP)...
  14. F

    PreGE2025 Jesca Magufuli anajipanga kugombea ubunge viti maalumu Geita au jimbo la Chato?

    Huyu binti nadhani amehojiwa kimkakati na Milard Ayo. Lengo nadhani ni kuvuma kuelekea uchaguzi Mkuu na hatimaye kutia nia kwenye ubunge. Je ni viti maalumu mkoa wa Geita au mkoa mwingine? Je ni jimboni Chato?
  15. W

    PreGE2025 UWT Geita wasema wapo tayari kumpigia Rais Samia Kura za 'Ndio'

    Umoja Wanawake ya Chama cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Geita umeridhia kwa kauli moja kumpatia kura za Ndio na za kishindo Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025 . Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia...
  16. PreGE2025 Mapokezi ya Mwenyekiti wa UVCCM, Mohamed Kawaida, mkoani Geita yameniacha hoi!

    Jamaani kilichonifurahisha hapo ni aina ya mapokezi yakiongozwa na usafiri pendwa kanda ya ziwa Mapokezi ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mohamed Kawaida mkoani Geita.
  17. M

    Kama unafanya kazi NSSF Geita/ niunganishe na unayemfahamu anafanya kazi hapo

    Habari wanajukwaa. Naomba Kama unafanya kazi NSSF Geita njoo PM Kuna kitu ningependa nikuulize, au Kama unamfahamu anayefanya kazi hapo naomba uniunganishe naye. Natanguliza shukrani.
  18. Padri William Ntengi Wa Jimbo Katoliki Geita Aondolewa Daraja La Upadri(Ukasisi)

    Papa Francis ameridhia ombi kutoka kwa padri William Ntengi wa jimbo katoliki Geita la kuondolewa daraja takatifu la upadri. Barua ya uamuzi huo imesomwa kanisani na askofu Flavian Matindi Kassala wa jimbo katoliki Geita, kufuatia ombi binafsi la padri huyo. Mungu ambariki katika yake mapya...
  19. W

    PreGE2025 GEITA: UVCCM yasema CCM haijaruhusu fujo na harakati kwenye majimbo

    Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Geita kimetoa wito kwa wanachama wake kuzingatia utulivu na kuheshimu taratibu zilizowekwa wakati wa kuchukua fomu za kugombea nafasi mbalimbali za uongozi. Akizungumza na wanachama wa CCM katika Kata ya Uyovu Wiaya ya Bukombe, Mwenyekiti...
  20. PreGE2025 Mbunge wa Mbogwe asema akishindwa Uchaguzi asiongezewe Kura Feki na akishinda atangazwe kwa Haki

    Wakati joto la uchaguzi likianza kupamba moto, Mbunge wa Mbogwe, Nicodemus Maganga amewataka wasimamizi wa uchaguzi kutenda haki ili watoe matokeo sahihi bila kuongeza kura wala kupunguza. Mbunge huyo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amesema mgombea akipewa kura sahihi kwenye uchaguzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…