gaza

The Gaza Strip (; Arabic: قِطَاعُ غَزَّةَ‎ Qiṭāʿu Ġazzah [qi.tˤaːʕ ɣaz.zah]), or simply Gaza, is a self-governing Palestinian territory on the eastern coast of the Mediterranean Sea, that borders Egypt on the southwest for 11 kilometers (6.8 mi) and Israel on the east and north along a 51 km (32 mi) border. Gaza and the West Bank are claimed by the de jure sovereign State of Palestine.
The territories of Gaza and the West Bank are separated from each other by Israeli territory. Both fell under the jurisdiction of the Palestinian Authority, but the strip has since the Battle of Gaza in June 2007 been governed by Hamas, a Palestinian fundamentalist militant Islamic organization which came to power in the last-held elections in 2006. It has been placed under an Israeli and US-led international economic and political boycott from that time onwards.The territory is 41 kilometers (25 mi) long, and from 6 to 12 kilometers (3.7 to 7.5 mi) wide, with a total area of 365 square kilometers (141 sq mi). With around 1.85 million Palestinians on some 362 square kilometers, Gaza ranks as the 3rd most densely populated polity in the world. An extensive Israeli buffer zone within the Strip renders much land off-limits to Gaza's Palestinians. Gaza has an annual population growth rate of 2.91% (2014 est.), the 13th highest in the world, and is often referred to as overcrowded. The population is expected to increase to 2.1 million in 2020. In 2012, the United Nations Country Team (UNCT) in the occupied Palestinian territory warned that the Gaza Strip might not be a "liveable place" by 2020 and as of 2020, Gaza suffered shortages of water, medicine and power, a situation exacerbated by the coronavirus crisis. According to Al Jazeera "19 human rights groups urged Israel to lift its siege on Gaza". The UN has also urged that the blockade be lifted while a report by UNCTAD prepared for the UN General Assembly and released on 25 November 2020, said that Gaza’s economy was on the verge of collapse and that it was essential to lift the blockade. Due to the Israeli and Egyptian border closures and the Israeli sea and air blockade, the population is not free to leave or enter the Gaza Strip, nor allowed to freely import or export goods. Sunni Muslims make up the predominant part of the Palestinian population in the Gaza Strip.
Despite the 2005 Israeli disengagement from Gaza, the United Nations, international human rights organisations, and the majority of governments and legal commentators consider the territory to be still occupied by Israel, supported by additional restrictions placed on Gaza by Egypt. Israel maintains direct external control over Gaza and indirect control over life within Gaza: it controls Gaza's air and maritime space, and six of Gaza's seven land crossings. It reserves the right to enter Gaza at will with its military and maintains a no-go buffer zone within the Gaza territory. Gaza is dependent on Israel for its water, electricity, telecommunications, and other utilities. The system of control imposed by Israel is described as an "indirect occupation". Some other legal scholars have disputed the idea that Israel still occupies Gaza. The extent of self-rule exercised in the Gaza Strip has led some to describe the territory as a de facto independent state.
When Hamas won a majority in the 2006 Palestinian legislative election, the opposing political party Fatah refused to join the proposed coalition, until a short-lived unity government agreement was brokered by Saudi Arabia. When this collapsed under joint Israeli and United States pressure, the Palestinian Authority instituted a non-Hamas government in the West Bank while Hamas formed a government on its own in Gaza. Further economic sanctions were imposed by Israel and the European Quartet against Hamas. A brief civil war between the two Palestinian groups had broken out in Gaza when, apparently under a U.S.-backed plan, Fatah contested Hamas's administration. Hamas emerged the victor and expelled Fatah-allied officials and members of the PA's security apparatus from the strip, and has remained the sole governing power in Gaza since that date.

View More On Wikipedia.org
  1. Webabu

    Trump na Netanyahu wamalizia mpango wa kuifuta Gaza na Hamas nao waidondoshea kombora 5 nzito miji miwili ya Israel ambayo yameleta madhara.

    Katika ziara yake nchini Marekani,waziri mkuu wa Israel,Benjamini Netanyahu wameweka mikakati yao ya kuifuta Gaza kwa uwazi kuonesha mataifa yao hayana kificho kwa mpango huo. Katika mazungumzo yaliyonaswa na waandishi wa habari na kuwekwa kwenye mtandao wa kijamii wa Trump,raisi huyo amesema...
  2. Webabu

    Watu wameminywa kwenye asilimia 50 ya iliyokuwa Gaza wakiachwa wafe bila chakula, maji na mahitaji mengineyo muhimu ya kibinadamu

    Kabla vita kuanza mwaka juzi Gaza ilikuwa ndio eneo pekee duniani lililokaliwa na watu wengi zaidi kwa kilomita mraba kuliko eneo lolote duniani. Baada ya karibu miaka miwili sasa Israel imeharibu eneo lote lililokuwa likitumiwa na wapalestina hao kujilimia kitaalamu mboga mboga ambazo...
  3. hamis77

    Unabii wa gaza kwenye Biblia

    JE, GAZA INAYOTAJWA KWENYE BIBLIA NDIYO GAZA YA LEO? Gaza inayotajwa kwenye Biblia ni Gaza ile ile ya leo, iliyoko katika Ukanda wa Gaza (Gaza Strip), kusini-magharibi mwa Palestina ya leo, karibu na mpaka wa Misri. Gaza ilikuwa mojawapo ya miji mikuu ya Wafilisti – taifa la kale lililokuwa...
  4. Echolima1

    Kamanda na naibu wa polisi huko Gaza waangamizwa!!

    IDF imewaangamiza makamanda wa polisi wa Gaza Murid Farjallah na naibu wake Yunus al-Masraf kufuatia shambulio dhidi ya vikosi vya usalama huko Deir al-Balah, katikati mwa Gaza.
  5. Webabu

    Wito watolewa kwa wapenda amani duniani kupeleka vikosi Gaza ili kuwaokoa wapalestina wasiuliwe na kuhamishwa nchini mwao

    Kasi ya kuuliwa wapalestina na kuvunjiwa utu wao imeongezeka sana huko Gaza. Kazi hiyo kwa sasa imekuwa nyepesi kwa mayahudi kuifanya kwani Hamas ambao ndio waliokuwa watetezi wamedhoofika sana.Sambamba na hali hiyo ule mori wa kuua na kuharibu umeongezeka kwa Israel kama inavyokuwa kwa mtu...
  6. Echolima1

    Hatimaye kamanda Hamada Abu Daqa leo kafia kwa muuza supu huko Gaza!

    Kamanda mkuu wa Hamas Hamada Abu Daqa, ambaye alihusika katika utekaji nyara wa askari wa IDF wakati wa shambulio la Oktoba 7, aliantami zwą katika shambulio la anga la IDF huko Bani Suheila. Katika picha za siku hiyo, anaonekana akiwa na silaha na amevalia mavazi ya kiraia karibu na kitary muda...
  7. R

    Israel anafanya extermination ya Wapalestina huko Gaza, dunia imenyamaza

    Ukiangalia Al Jazeera news broadcast, kinachofanyika Gaza na Israel, hii ni exterminate war. You clear each and everything in your vicinity, ndicho anachofanya Israel. Dunia imenyamaza, waarabu, waislamu wamenyàmaza. Mungu amenyamaza, dini zingine zimenyamaza. It is very disheartening indeed...
  8. Echolima1

    Waziri mkuu wa Israel akitoa maelezo yanayojiri huko Gaza

    Sasa tunapitia Ukanda wa Gaza, na tunaongeza shinikizo hatua kwa hatua, kuteka maeneo na kuwaondoa magaidi." https://x.com/vividprowess/status/1907465451640115531?s=61
  9. Dalton elijah

    Israel Yatangaza Kuchukua Maeneo Gaza Ikiwaamuru Raia Kuyahama Makazi Yao

    Waziri wa Ulinzi wa Israeli Israel Katz ametangaza upanuzi mkubwa wa operesheni ya jeshi huko Gaza inayohusisha unyakuzi wa maeneo makubwa ya ardhi ambayo "yatajumuishwa katika maeneo ya usalama ya Israeli." Katika taarifa hiyo, Katz amesema operesheni hiyo pia itahusisha uhamishaji mkubwa wa...
  10. Echolima1

    Handaki leye urefu wa zaidi ya kilomita moja laangamizwa huko gaza!!

    Habari za uhakika Handaki lenye urefu wa kilomita moja limeangamizwa na majeshi ya Israel huko Gaza. Magaidi wa Hamas wanaendelea kupoteza maeneo kila kukicha. Mahandaki huko Gaza ndiyo maficho ya magaidi hao na Kafri yanavyoangamizwa ndivyo Hamas wana kosa udhibiti wa Gaza.
  11. Webabu

    Makundi ya wapiganaji Gaza wakiongozwa na Hamas waanza kuwatafuta wanaotoa ushirikiano kwa Israel kufikia malengo yake.Wathibitisha hawajapinga Hamas

    Kufuatia kuenea kwa matangazo kwamba wananchi wa Gaza waandamana kuwapinga Hamas,wapiganaji wa makundi mchanganyiko huko Gaza wamesema wataanza kuwatafuta mapandikizi ambao wanafanya kazi za kufanikisha malengo ya Israel. Wapiganaji hao wamewakumbusha wananchi wa Gaza kwamba chochote...
  12. hamis77

    Raia wa Gaza sasa akili zimerudi

    Raia wa Gaza sasa akili zimerudi Waikataa Hamas lakini Hamas wamewamininia risasi waandamanaji. Trump alisema Hamas itaenda kuishi kuzimu, huenda maneno yake yanaenda kutimia. Viongozi wa Hamas hawana pa kujificha tena, maana kila sehemu wanakoenda wanauawa. Israeli juzi ililipua hospitali ya...
  13. Dalton elijah

    Benjamin Netanyahu Amelionya Kundi la Hamas Kuwa Litapoteza Maeneo ya Ukanda wa Gaza

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amelionya kundi la Hamas kuwa litayapoteza maeneo ya Ukanda wa Gaza iwapo litaendelea kuwashikilia mateka wa Israel badala ya kuwaachia huru. Mamtashi ya Netanyahu yanafuatia yale ya waziri wa ulinzi wa ulinzi, Israel Katz aliyetoa onyo kama hilo siku...
  14. Webabu

    Maelfu ya watu waandamana kaskazini ya Gaza kupinga vita, wakiimba hatutaki kufa na damu za watoto wetu sio nyepesi.Acha vita.

    Kulingana na shirika la habari la kipalestina la Wafa,maelfu ya watu yaliingia kwenye vichohcoro vya vifusi vya nyumba zao zilizovunjwa wakiimba kwa sauti huku wamebeba mabango wakisema hawataki tena kufa na hakuna kuhama. Kimsingi maandamano hayo yalikuwa ni kupinga vita visiendelee na wala sio...
  15. Just Pray

    Zaidi ya Wapalestina 50,000 wameuawa katika vita vya Gaza

    Makubaliano ya kusitisha mapigano kwa wiki sita yalianza kutekelezwa Januari, lakini Israeli ilianzisha tena mashambulizi yake wiki iliyopita, ambapo mamia ya Wapalestina wameuawa tangu wakati huo. Wizara ya Afya ya Gaza imeripoti kuwa idadi ya Wapalestina waliouawa kwenye vita vinavyoendelea...
  16. Echolima1

    Magaidi wa Hamas huko Gaza wanaendelea kupata kipondo cha kufa mtu baada ya Israel kuyashambulia makazi yao

    Majeshi ya israel yanaendelea kuzipiga ngome za magaidi wa Hamas huko Gaza na wale waliokuwa wanavaa Combat kipindi cha zoezi la ubadirishanaji Mateka sasa hivi wameshazitupa wanavaa kiraia tu na ni waoga sana angalia kwenye video walivyokuwa wanazimenya mbio hii inadhibitisha wazi kuwa Israel...
  17. Echolima1

    Majeshi ya Israel yanakamata maeneo huko Gaza bila upinzani wowote na kuweka bendera ya nchi yao

    Baada ya majeshi ya Israel kuingia tena Gaza sasa hivi yameweza kushikilia maeneo mbalimbali bila upinzani wowote kutoka kwa wale vibaka waliokuwa wanavaa Combat kipindi cha ubadirishanaji wa wafungwa. Cha kushangaza Toka vita vianze hakuna hata mmoja anayeonekana kuvaa Combat. Wote wamezivua...
  18. hamis77

    Picha za Gaza ilivyo sasa na Gaza ilivyokuwa awali

    Trump alisema Gaza imekuwa kuzimu, hakufai kwa maisha ya mwanadamu. Hamas wanasifiwa na wajahidina wasiofikiria kwamba wameshinda vita. Je huu ndio ushindi sasa walioupata mbele ya Israeli?. Hamas wamefanya 60% ya mji wa Gaza kuwa magofu na maganjo. Na 40% imekuwa kama mashamba. Gaza ina vilema...
  19. gallow bird

    Houthi warusha kombora la balistiki huko Israel wakati waisrael wenye ndugu mateka wakielekea gaza Ili wachukuliwe mateka au wauawe na jeshi lao

    Usiku wa kuamkia leo ving'ora vilisikika ndani ya Israel kuashiria ujio wa kombora hasimu, wateule hao wa mchongo walioonekana kuhaha kutafuta pahala salama pa kujificha. Hata hivyo IDF ilidai kulitungua kombora hilo wakati houthi walidai lilipiga shabaha yake huko jangwa la Negev Wakati huohuo...
  20. Echolima1

    Magaidi wa Hamas wapewa onyo kali kama watathubutu kuwadhuru mateka wa kiyahudii huko Gaza

    Jeshi la Israel limetoa ONYO kali kwa Magaidi wa Hamas i kiwa watajaribu kuwadhuru mateka wa Israel kufuatia tishio lao la kuwaua mateka wa Israel endapo Israel itaendeleza mashambulio yao kwa magaidi hao. Jeshi hilo limesema huko kutasababisha eneo lote łka Gaza kuchukuliiwa na majeshi hayo.
Back
Top Bottom