Hawa jamaa mbona kama wanawizi Fulani mwanzoni walikua wanatoa gawio la kueleweka Sasa hivi kama Kuna utapeli Fulani hivi yaani million 19 gawio liwe 158000 pumbavu sana Hawa jamaa niliweka mwaka Jana mwezi wa tatu mwanzo walikua wanatoa vizuri hii miezi ya mwisho wameshusha gawio
Wakuu, naomba msaada wenu wa uzoefu na ushauri.
Mimi ni mwekezaji wa hisa za Vodacom Tanzania (VODA) kupitia DSE/CDS account. Tatizo nililonalo ni kwamba hii ni mara ya pili sasa sijapatiwa gawio langu.
Nimejaribu kufuatilia kwa pande husika lakini majibu yamekuwa yanapingana:
Nikipiga...
Je, unalenga nini katika uwekezaji wako: Ongezeko la mtaji (Capital Gain) au Gawio (Dividends)?
Watu wengi huingia kwenye soko la hisa bila kuwa na malengo ya wazi. Lakini ukweli ni kwamba malengo yako ndiyo dira ya uwekezaji wako. Kabla hujaweka hela yako, jiulize: Nataka kupata faida kwa njia...
Ninaomba mnilipe gawio langu la Samia Infrastructure Bond vinginevyo nitaenda Mahakamani mnirudishie fedha zangu. Tuliaminishwa kuwa kila baada ya miezi mitatu tunapata gawio lakini siyo kama walivyoahidi.
Naomba mniwekee gawio langu. Mimi niliwekeza nikiwa na malengo yangu. Kunicheleweshea gawio langu linakwamiswha mambo yangu ya msingi. Utaratibu ulikuwa ni kuwa gawio lainawekwa kila baada ya miezi mitatu.
Niliwekeza kwenye Samia Insfrastructure Bond na maelekezo ya uwekezaji ni kuwa kila mwekezaji atawekewa gawio lake kila baada ya miezi mitatu. Miezi mitatu tayari imefika na hata kupita.
Ninaomba niwekewe gawio langu kama uwekezaji ulivyoelekeza.
Nawasilisha.
Tanzania sio rahisi kutoboa kama mfanyakazi tofauti na nchi nyingine. Ukienda Ulaya au USA, hata ukiwa mbeba maboksi utatoboa kama mfanyakazi. Zipo sababu.
Huko nyuma, nadhani enzi za Nyerere na Mwinyi sijui na nani, ili mwajiri akupe motisha, mfanyakazi ulikuwa unapewa marupurupu kama ada ya...
π Katika somo letu lililopita, tulijifunza kuhusu faida ya gawio β sehemu ya faida ya kampuni inayogawiwa kwa wanahisa.
π Leo, tunachambua tarehe muhimu zinazotajwa kampuni inapokuwa imetangaza gawio, ambazo mara nyingi huwachanganya wawekezaji wapya.
1οΈβ£ Dividend Declaration Date β Tarehe ya...
Leo, Juni 10, 2025, Rais Samia amepokea gawio nono la Shilingi Trilioni 1.28, michango kutoka kwa taasisi na mashirika ya umma, ikiwa ni ongezeko la asilimia 68. Hafla hiyo imefanyika Ikulu, Dar es Salaam.
"Mbele yako leo hii Mhe. Rais ninayofuraha ya kukukabidhi Gawio ambalo ni nono kuliko la...
π Katika somo letu lililopita, tulielewa vizuri dhana ya ongezeko la mtaji (capital gain) β faida unayopata pale bei ya hisa inapopanda.
π Leo, tunazungumzia faida ya pili: Gawio.
1οΈβ£ Gawio ni nini?
Gawio ni sehemu ya faida ya kampuni inayogawiwa kwa wanahisa wake, kawaida mara moja au mbili...
Nyakati ambazo misaada kutoka nje inasua-sua na huenda ikazimika kabisa huko tuendako, kilichofanyika leo kinapaswa kupewa uzito zaidi na kutumika vizuri zaidi ili hatimaye kisaidie kama moja kati ya mbinu zitakazo tuwezesha kuondoa kabisa utegemezi wa kibajeti kwenye uchumi wa Taifa letu.
Ni...
Ukienda Dodoma, miradi mingi inatekelezwa na Kampuni ya Suma JKT. Na wanafanya miradi ile kwa kulipwa mabilioni ya fedha.
Wana Kampuni ya Maji ya Uhuru ambayo inatengeneza maji na kuuza kwa kiwango kikubwa sana. Kwenye shughuli karibu zote za Serikali maji yanayogawiwa ni ya Kiwanda cha Maji...
Kwanini TPA imeongoza kutoa gawio kwa miaka mitatu mfululizo?
i. Maboresho ya miundombinu yaliyochangia ongezeko la Shehena ambapo kwa kipindi cha miezi kumi na moja kwa mwaka 204/2025 mizigo imeongezeka kwa asilimia 11, ambapo imehudumia tani mil 23.9 kulinganisha na tani mil 21.5 za miezi 11...
Something is wrong somewhere!
Kwa muda wa miaka miwili na zaidi sasa takwimu zinazotolewa na Serikali na vyombo mbalimbali vya habari vya ndani na nje ya nchi zinadai kuwa Tanzania tunaongoza kwa kupokea idadi kubwa ya Watalii wanaotembelea nchi yetu ikiwemo mbuga zetu za wanyama na vivutio...
Hivi kila kilichofanyika wakati wa Magufuli ni lazima kidumishwe?
Kipindi cha Magufuli wahuni wachache ili kulinda nafasi zao wakaona wamkoshe Rais kwa kutoa gawio kwa serikali. Mashirika mengi yanajiendesha kwa hasara, watumishi wana hali ngumu na wale wanaoonekana kuwa super basi wako mahali...
π
π Katika somo letu lililopita, tulielewa vizuri dhana ya ongezeko la mtaji (capital gain) β faida unayopata pale bei ya hisa inapopanda.
π Leo, tunazungumzia faida ya pili: Gawio.
1οΈβ£ Gawio ni nini?
Gawio ni sehemu ya faida ya kampuni inayogawiwa kwa wanahisa wake, kawaida mara moja au...
| Leo Tujifunze kwa Mfano Halisi π°π
Juzi CRDB Bank PLC wameanza kutoa gawio (dividends) kwa wanahisa wake! π¦π΅ Gawio la mwaka huu ni Tsh 65 kwa kila hisa β na guess what? Wanafunzi wangu wa darasa la uwekezaji (kwenye group langu la WhatsApp π²) waliowekeza kwenye hisa za CRDB wameanza kupokea...
Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu amelitaka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kuweka lengo la kutoa gawio Serikalini la Tsh. Bilioni 10 kwa mwaka Ujao wa fedha.
Kauli hiyo ameitoa katika Kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa NHC kilichofanyika mkoani Pwani mapema, Februari 24, 2025.
Akizungumza...
Wazee chukulia nina billion 5 kutoka kwenye biashara zangu mbalimbali.
Nimeona tangazo la UTT Amis kwamba wanagawa gawio zuri kwa mwaka ndio nikataka kuwauliza nyie rafiki zangu wa humu JamiiForums.
Je, hawa jamaa nikiweka pesa inakua salama? Nikiweka Bilioni 5 napata gawio Bei Gani Kila...