gavana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ccm ya Samia na wasira imeshindwa kutuma MWAKILISHI kwenye msiba wa Gavana wa kwanza, kisa alihasisi chadema? Shame on you.

    Haya majitu ni ya ajabu ajabu sana, hivi zee kama wasira limeshindwa kwenda kumzika Mzee mwenzie? Mtajitetea na UWEPO wa MWIGURU ilihali yeye aliiwasilisha serikali je macc yalishindwa Nini kutuma MWAKILISHI? Au Samia na wasira waliwasilishwa na mrisho gambo😂🤣? Haya majitu ni majitu ya ajabu...
  2. B

    Gavana aipongeza CRDB Bank kwa kuthubutu kufanya mageuzi chanya ya kimataifa ktk huduma

    02 October 2025 Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Emmanuel Tutuba (kushoto) akimpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Mussa Nsekela (kulia) wakati wa mkutano wa kujadili utekelezaji wa mageuzi ya mfumo mkuu wa benki hiyo, hatua ya kimkakati inayolenga kuboresha huduma...
  3. N

    Gavana ni zaidi ya program aisee

    Wakuu habari Nimekuwa nikutumia hii program kwa muda kidogo baada ya kukutana na threads kadhaa humu JF nami nika-download na nikaanza kutumia kama kawaidia. Nilikuja kushangaa kuona program inanipa ushauri kuhusu biashara yangu mfano leo inaniambia kuwa 'nipungunze kulipa madeni kutokana na...
  4. M

    Gavana wameachia update mpya?

    Siku ya jana nilikuwa na install windows na baada ku-download gavana kwenye stats nimekutana na view kama hii je na nyie mmekutana na kitu kama hiki pia kwenye sehemu ya wadaiwa na wadeni kuna mabadiliko Gavana
  5. N

    Msaada wa malipo ya Paypal kwenye software ya Gavana

    Wakuu bila salamu ningependa kuuliza/kuomba msaada wa maelekezo najua kwatanzania paypal inazingua kutoa hela ila sina uhakika ikiwa kama inazingua kwenye kuweka. swali langu ni kwamba je nawezaje kulipia program ya gavana kwa kutumia paypal na je inawezekana kuweka voda visa bila shida kwenye...
  6. Mrejesho baada ya kuanza kutumia software ya 'Gavana' kwenye biashara

    Baada ya kukutana na mjadala wenye kichwa cha "Mnatumia program gani ku-manage biashara" niliona jibu la mtu aliyesema anatumia programu ya Gavana. Baada ya kusoma maelezo yote kwenye hiyo thread, niligundua kuwa ni matamanio yangu kuendesha biashara kupitia programu maalum itakayoniwezesha...
  7. M

    Mnatumia program gani ku-manage biashara? Binafsi natumia Gavana

    Kama umechoka kuandika kila kitu kwenye daftari, unakosea bei kila siku, au hujui biashara yako ina faida au hasara – hii software ni yako! Inaweza Nini? Inaangalia biashara yako mwanzo hadi mwisho: Unauza bidhaa Unaweka madeni na mikopo Unajua faida yako muda huo huo Unachapisha risiti...
  8. B

    BOT: Tunageukia kutoa elimu fedha kwa kilimo cha mbogamboga na nafaka

    01 August 2025 BOT ACADEMY, WFP KUSHIRIKIANA KUTOA ELIMU YA FEDHA KWA VIJANA https://m.youtube.com/watch?v=WugyiK5DhAY A big step for Tanzanian youths in agri-finance Hon. Gov. Emmanuel Tutuba and WFP’s Christine Mendes launch the Certified Financial Educators Initiative — empowering 150...
  9. Sheikh Mohammed Jaber Awad, gavana mteule wa Houthi wa jimbo la Saada, ameangamizwa!!

    Sheikh Mohammed Jaber Awad, gavana mteule wa Houthi wa jimbo la Saada, ameangamizwa katika shambulio la Wanamaji wa Marekani.
  10. Gavana wa Benki Kuu: Shughuli zote za Upatu ni haramu, tunawaonya wanaowaibia Wananchi

    Serikali imetoa onyo kuhusu shughuli za upatu, ambapo Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Dkt. Emmanuel Tutuba, amesema kwamba mtu yeyote anayeshiriki katika upatu kwa kukusanya fedha ili kuzigawa kwa wachache, huku akidai kuwa lengo ni kuvutia watu kuleta fedha zao bila kuwa na biashara halali ya...
  11. M23 yawatangaza Gavana na manaibu Gavana wa Kivu kusini

    Kundi la AFC/M23, leo 28 February 2025, limewatangaza viongozi wapya wa jimbo la Kivu kusini, ambao ni • Bwana BIRATO RWIHIMBA Emmanuel, Gavana wa jimbo • Bwana DUNIA MASUMBUKO BWENGE, Naibu gavana wa mambo ya siasa, uongozi na sheria. • Bwana GISHINGE GASINZIRA Juvénal, Naibu gavana wa uchumi...
  12. Trump na gavana wa Maine warushiana maneno live, watishiana kupambana mahakamani!

    Wakiwa kwenye hafla ya chama cha wachezaji NCAA Trump na gavana wa jimbo la Maine Janet Mills wamerushiana maneno baada Trump wakati anahutubia kumuita gavana huyo na kumtaka kutekeleza amri (Executive Order) yake inayopiga marufuku Transgender kushiriki michezo ya wanawake kikamilifu ndipo...
  13. R

    Ni sababu zipi zinazoweza kupelekea nchi kubadili sahihi ya Waziri na Gavana kwenye fedha?

    Naomba mtusaidie sababu na utaratibu unaotumika kuweka sahihi ya Waziri na Gavana katika noti za nchi. Je, ni sheria inataka hivyo au maamuzi ya utawala uliopo madarakani? Je, kuna gharama kwenye zoezi hilo? Pia soma > Tanzania yazindua Noti Mpya toleo la 2010 zenye Saini ya Waziri Mwigulu...
  14. Huyu Ntobi afungwe speed gavana, la sivyo ataleta maafa.

    Huyu mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga anatakiwa ashauriwe asiongee yote akasahau kesho. Mwanzo alisema CHADEMA walimpitisha Lissu kugombea Urais huku wakijua hawezi kushinda. Hii kauli ilikuwa inakivua chama nguo mbele za watu. Kuonesha kwamba CHADEMA haina haja ya kushika madaraka bali...
  15. Gavana Kenneth Lusaka akabidhi KSh Milioni 5 (TSh Milioni 102) zilizotolewa na Rais Ruto kwa Kanisa la Anglikana la ACK St. Crispinus Bungoma

    Gavana Kenneth Lusaka akabidhi KSh Milioni 5 (TSh Milioni 102) zilizotolewa na Rais Ruto kwa Kanisa la Anglikana la ACK St. Crispinus Bungoma, wiki kadhaa baada ya Maaskofu wa Katoliki wakataa mchango wa Shilingi milioni 5.6 kutoka kwa Ruto kwa kanisa la Soweto Soma, Pia: Maaskofu wa Katoliki...
  16. Gavana wa Mombasa atuhuhumiwa kutuma wahuni kumlawati mwanamitandao mkosoaji wake

    Gavana Abdullswamad Sharrif Nassir wa Mombasa anatuhumiwa kila kona kwa kutuma wahuni kumlawati mwanablogu mkosoaji wake Bruce John. Video ya mwanablogu huyo akifanyiwa madhila hayo imesembaa huku mwenyewe akikiri kutekwa, kuteswa na kulawaitiwa na vijana wawili.
  17. Mlisikia ya mkosoaji wa gavana wa Mombasa kutekwa, kuteswa na kulawitiwa?

    Mshikaji anaitwa Bruce John Chawa. Ni blogger maarufu kama chawa 001. Ilikuwa 12th September, 2024. Unaambiwa watu kama 20 walikuja kumteka. Majirani walivyotoka jamaa wakadai wao ni polisi. Unaweza ukamsikiliza zaidi katika hii video.
  18. U

    TANZIA Naibu Gavana wa Lamu Raphael Munyua afariki akipokea matibabu jijini Nairobi

    Wadau hamjamboni nyote? Msiba mzito huko kenya Naibu Gavana wa Lamu Raphael Munyua afariki akipokea matibabu katika hospitali moja jijini Nairobi, Katibu wa Kaunti Balozi Abass Ali athibitisha. Lamu Deputy Governor Raphael Munyua dies while receiving treatment at a hospital in Nairobi, County...
  19. Gavana wa Arusha atakuwepo uwanjani kuwaona wananchi?

    Kama mjuavyo leo yanga fc watakipiga huko southAfrica. Na kwa taarifa rasmi zilizotolewa na kiongozi ngazi ya mkoa hapo Arusha ni kuwa gavana wa arusha yupo likizoni akimalizia siku 28 za likizo za mtumishi hukohuko kusini mwa afrika. Sasa swali ni je ataenda kuwatia moyo wananchi hapo...
  20. June 30, 1993 alifariki Gavana Rutihinda na kuzikwa Buguruni Malapa. June 15, 2024 anafariki Balozi Ruhinda na kuzikwa Kinondoni

    Usichanganye haya majina, hawa sio ndugu kabisa, Gavana Gilman Rutihinda ni mhangaza toka wilayani Ngara,wilaya yenye vinasaba na Burundi, Bakozi Ferdinand Ruhinda ni mnyambo toka Karagwe mwenye asili ya wahima ndugu wa watutsi,. Kwa tamaduni na mazoea ya watu wa mkoa wa Kagera huzikwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…