The Ginetta G55 is a specialist sports car, which has been built by Ginetta Cars since 2011. It is built to the FIA GT3 regulations, and the cars are raced in a one-make series; the Ginetta GT Supercup. In addition to this, they are also used in the GT3 class of competitions such as the British GT Championship. It was an evolutionary update of the Ginetta G50, which is a GT4-class car.
Kabla ya Uchaguzi Mkuu wote ni mashuhuda wa mitifuano ya kisiasa iliyotokea kwenye Vyama vya Siasa hasa Vyama hivi
Chadema
CCM
ACT Wazalendo
Chaumma
Uchaguzi umeisha na kila mmoja amevuna alichopanda ata ambaye hakupanda kitu yawezekana kipo alichokivuna
Lengo la Uzi huu ni maajabu ya kundi...
Waliopanga kuivunja CHADEMA kutokea ndani sasa wanakutana na reality kuwa project yao ya kutumia sellouts wa G55 imebuma. Project hiyo imebuma na imeshindwa kuipigisha CHADEMA magoti, na nitaeleza sababu.
1. G55 imekosa star figure mwenye ufuasi.
Ni dhahiri hawa G55 pengine walikuwa na mpango...
Kundi la Waasi toka Chadema aka G55 likiongozwa na John Mrema, Salum Mwalim, Benson Kigaila na mataperi wenzao hatimaye wamemvunja moyo mfadhili wao CCM.
Waliwaaminisha CCM kuwa wao ndio walikuwa brain ya kuiongoza Chadema na wakiondoka Chama hicho kitayumba.
Wakapewa pesa ya awali ili waweze...
Walianza kwa mbwembwe nyingi sana za kupokea “mafuriko ya wanachama” kutoka CHADEMA, wakatangaza oparesheni C4C TUSONGE MBELE itakayofanyka kwa kutumia chopa mikoa 16 kwa kuanzia huko Kanda ya Ziwa mnamo Mei 30. Operesheni hiyo inayotafsiri ‘Chaumma for Change’, itazinduliwa mkoani Mwanza Mei...
Kuna vitu vingine vinafanywa na serikali na CCM na serikali yake hadi vinatia aibu. Kila mtu anajua wakati wa uchaguzi wa Chadema Lissu Vs Mbowe, serikali na CCM walifanya kila wawezalo ili Mbowe aendelee kuwa mwenyekiti wa Chadema, ikashindikana.
Kisha wakaanza kuwatumia wafuasi wa Mbowe ndani...
Huu ni wimbo maarufu, zamani ulikuwa ukiimbwa na wanaCCM kuahidi kuilinda CCM mpaka siku ya kifo chao. Baadae CHADEMA nao wakauchukua ukawa ni miongoni mwa nyimbo maarufu za chama, wakiapa na kuahidi mbele za Mungu kuwa watailinda CHADEMA mpaka siku za mwisho za uhai wao. Sasa najiuliza kulikoni...
Wakuu, hapa nimewasogezea video ambayo wananchi wanatoa ya moyoni Sakata zima la waliokuwa viongozi CHADEMA kuhamaia CHAUMMA, ambapo wamewalaumu viongozi hao kukosa msimamo thabiti wa kupigania maslahi ya wananchi bali matumbo yao binafsi
Kwenye video wanaonekana wanachama wawili wa CHAEma wanaosema waliambiwa wanaenda kuhudhuria mkutano wa CHADEMA Dar lakini walipofika wakashangaa kukuta ni mkutano wa CHAUMMA.
Wanasema wao si CHAUMMA, bali ni CHADEMA japokuwa walihudhuria mkutano huo?
Nani anaweza kujibu swali hili kwa ufasaha..?
Hivi mnaukumbuka moto wa Peter Msigwa aliyekuwa anapata promo ya CCM huku wakijiapiza kuwa wanaenda kuiua CHADEMA kwa kuondoka kwake..?
Huyu Peter Msigwa aliyevurumka kutoka CHADEMA kama moto wa kifuu tukadhani sasa anakwenda kuiunguza CHADEMA...
Wakuu
Bado maumivu ya hawa G55 ni makali na yanawachoma sana, baada ya kuambiwa CHADEMA sio sehemu ya kutimiza ndoto za ubunge kwa watu binafsi bali ndoto za wananchi.
Hawa majamaa wanajali matumbo yao wanasahau chama kama CHADEMA kinatakiwa kupambania maslahi ya wananchi.
Watu wa aina hii ni...
Hizi sarakazi zote mnazoziona hazipo kwa maslahi ya Taifa wa maslahi ya chama( CCM ) bali ni kwa maslahi ya wahujumu na wezi wanao linda mali na mianya yao isibugudhiwe na ndio maana kwanza wamejificha ndani ya CCM na ndio mafadhili wakuu wa mambo mengi ya CCM lakini ndio wapiga dili wakuu...
Wakuu
Mkutano wa Chama Cha Ukombozi wa umma CHAUMMA unaoendelea Ubungo Plaza mambo ni mengi, Mwenyekiti wa chama hicho Rungwe anaonekana amechoka na yupo hoi kwani hata kusoma anapata taabu sana. G55 wanampimia tu
JUNI 2025
Matukio yanayotarajiwa:
Kutakuwa na majadiliano ya kina kuhusu katiba au mageuzi ya sheria fulani, hasa upande wa haki za kiraia na uhuru wa vyombo vya habari.
Kutaibuka mjadala mkubwa kuhusu maadili ya vijana na matumizi ya mitandao ya kijamii.
Sekta ya kilimo itaathirika na...
Wazaramo wasomi wanasemaga “When an apprentice graduates, the master will show up”
Hizi hekaheka sio bure, kuna mkubwa wao bado hajajitokeza, haiwezekani hawana hata Cognitive dissonance, tena kipindi ambacho Mtunzakiti wao anasota rumande na kesi ya uhaini.
Hawa Wahamachama hawana jeuri ya...
Wasaliti wanaweza kuona mabadiliko kuwa ndani ya chama kuwa ndio walikuwa wanahusika na mambo mengi. Ili kujiondoa ni kuepusha kuwa hawakuwa wanahusika na kuvujisha taarifa za chama.
Damu zinawalilia G55
Kufuatia makubaliano yanayoendelea kati ya Chaumma na makada waliotoka Chadema, Hashim Rungwe anaendelea kuwa mwenyekiti wa chama hicho na makamu wake (Bara) anakuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kati, Devotha Minja.
Nafasi ya Katibu Mkuu amepewa Salum Mwalimu na Naibu katibu Mkuu...
Wakuu,
Informer wenu nipo kwenye Mkutano Mkuu wa CHAUMMA. Nimekuja na hii taarifa ya ndani kabisa kutoka jikoni. Soon watatangaza rasmi.
Tukio hili lipo Golden Tulip, Dar es Salaam. Taarifa zaidi zitakujia.
Pia, Soma: Inasemekana G55 wanahamia CHAUMMA, kupewa nafasi za uongozi kukamiliasha 5%...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.