fursa za kiuchumi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji Bandari Mtwara ulivyoibua fursa za kiuchumi

    Wananchi na mawakala wa meli wamezungumzia fursa mbalimbali zinazotokana na uwekezaji mkubwa wa miundombinu uliofanywa na Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) katika Bandari ya Mtwara. Mizigo inayopakiwa na au kushushwa kwenda maeneo mbalimbali ya ndani na nje ya...
  2. BRELA

    JamiiForums Tanzania Wabunifu wahimizwa kuchangamkia fursa za kiuchumi mkoani Tanga

    Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) umewahimiza wabunifu nchini kusajili kazi zao ili kuzilinda kisheria, Wakala imeeleza kuwa usajili huo utawasaidia wabunifu kuzipa thamani kazi zao na kufungua fursa mpya za kibiashara na kiuchumi. Hayo yamebainishwa na Msajili Msaidizi Mwandamizi...
  3. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Jopo la wawekezaji kutoka India kufungua fursa za kiuchumi Zanzibar

    JOPO LA WAWEKEZAJI KUTOKA INDIA KUFUNGUA FURSA ZA KIUCHUMI ZANZIBAR
  4. Gudasta

    JamiiForums Tanzania Serikali ipige marufuku vipindi vya michezo redioni kuanza asubuhi. Kipindi cha michezo ninachozidi robo saa kianze saa moja jioni

    Tunaishi katika taifa linalozungumziwa sana kwa michezo, hasa mpira wa miguu, ambapo timu zinazochambuliwa kila wakati ni Simba na Yanga. Hii imekuwa ni hali ya kawaida, na jua linapotoka hadi linapozama, vipindi vingi redioni vinakuwa ni vya uchambuzi wa michezo pekee. Hata hivyo, kazi...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Fursa za kiuchumi za kukutoa kimaisha kwa mkoa wa Kigoma hasa Ujiji na Kigoma mjini

    Naomba kufahamishwa fursa za kiuchumi za mkoa wa Kigoma
  6. Mende mdudu

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa elimu uwe wa kikanda kutokana na fursa za kiuchumi wa eneo husika

    Niende moja kwa moja kwenye mada kutokana na uwepo wa degree nyingi mtaani bora kuwe na mfumo mpya wa elimu kutokana na kanda husika kutoka primary hadi high level. Kwa mfano watu wa Mwanza wawe na silabasi yao inahusu uvuvi na uchumi wa blue toka shule ya msingi kama usafirishaji wa majini...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wakina Mama Wajasiriamali wa Dodoma Wamshukuru Rais Samia kwa Fursa za Kiuchumi

    WAKINA MAMA WAJASIRIAMALI WA DODOMA WAMSHUKURU RAIS SAMIA KWA FURSA ZA KIUCHUMI ▪️Wajipanga kujiimarisha kiuchumi kwa fursa za kiuchumi kwa fursa zilizopo Dodoma. ▪️Wajipanga kujenga Maduka ya kibiashara na eneo maalum la uwekezaji ▪️Wampa tuzo Mbunge Mavunde kwa mchango wake kwa wakinamama...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Fursa za kiuchumi mkoa wa Mbeya

    Fursa za kiuchumi mkoa wa Mbeya Habari wakuu... Nimepangiwa Internship apo Hospital ya mkoa wa Mbeya, naomba kujua fursa ambayo zipo mkoa wa Mbeya naweza kuzifanya huku niki endelea na internship ya mwaka mmoja,kiasi changu cha pesa ni milioni mbili ivi.
  9. U

    JamiiForums Tanzania Waislamu wa Sunni nchini Iran wanabaguliwa na kunyimwa fursa huku wakihesabika kama raia daraja la pili

    Wadau hamjamboni nyote? Waislamu wa madhehebu ya sunni ni asilimia kumi ya jumla ya wakazi wote wanaoishi nchini Iran. Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali Waislamu hao wa sunni wanabaguliwa na kutendewa vibaya wakihesabika kuwa raia daraja la pili huku wakinyimwa fursa ushiriki kisiasa, kielimu...
Back
Top Bottom