Singapore yachangamkia fursa za biashara uwekezaji nchini Tanzania
Wafanyabiashara na wawekezaji wa nchini Singapore wameonesha nia ya kuongeza uwekezaji na ushirikiano wa kibiashara na Tanzania kupita sekta mbalimbali za kimkakati ikiwemo kilimo, nishati jadidifu, viwanda vya kuongezea thamani...
Mkurugenzi wa Idara ya Diplomasia ya Uchumi na Biashara ya Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushrikiano wa Afrika Mashariki, Balozi John Ulanga ameongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo na makumpuni ya Viet Nam, ambapo wamenadi fursa mbalimbali za biashara na uwekezaji...
Kuongezeka kwa Biashara Mtandaoni: Fursa kwa Wajasiriamali Vijana
Katika dunia ya sasa, mitandao ya kijamii si mahali pa kupoteza muda tu—ni sehemu ya kujenga maisha bora. Vijana wengi wanaanza biashara zao mtandaoni kwa kutumia simu tu na akili ya ubunifu.
Huhitaji duka, huhitaji mtaji...
Khabari wakuu!
Nipo Kahama mjini natafuta site iliyochangamka
Nataka nifungue duka la viatu.
Yeyote mwenyeji wa Kahama anaefahamu site nzuri naomba anisaidie ili niweze kupata.
Nawasilisha wakuu
Wakuu habari,
Naomba mwenye kujua maeneo ya nchi yetu ya Tanzania yenye watu wengi ambayo unaweza kufanya kazi ya UWAKALA wa benki na MITANDAO ya simu kwa mchana na biashara kama chips bila kufunga kwa maana ya masaa 24 nahitaji npate eneo husika mfano mtu akinambia Dodoma mtaa flani itakuwa...
Mwaka 2023 ulikuwa mwaka ambao ulijaa changamoto na fursa kwa upande wangu. Nikiwa nimeamua kupanua biashara zangu, nilijikuta nikiingia China kwa mara ya kwanza. China ni taifa lenye nguvu kubwa kiuchumi, na kwa kila mjasiriamali mwenye ndoto ya kupanuka kimataifa, hili lilikuwa eneo muhimu...
Habar wakuu mm ni mpambanaji nimepata kazi namshukuru Mungu ,nimepangwa Wilaya ya Momba(,Momba Dc), kabla ya hapo nilikuwa nikipambana na mishe mishe nakapata kamtaji as 7 million , sasa naomba yafutayo
1. Kijiji ambacho kimechangamka ambapo naweza kuishi.
2. Fursa za KIBIASHARA
3. Hali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.