fursa kwa vijana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Fursa kwa Vijana Wenye Ujuzi wa Sales & Marketing – Tengeneza Kipato cha Ziada

    Je, una uwezo wa kutafuta wateja na kuuza huduma? Peculiar Enterprises Ltd. inakupa nafasi ya kutengeneza kipato cha ziada kwa kutuletea wamiliki wa Microfinance watakaoanza kutumia Peloo, mfumo wa kisasa wa usimamizi wa Microfinance. Commission Utakayopata TZS 50,000 kwa kila mteja...
  2. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Tunakaa kuwa-push na kuwasimanga sana vijana, kwa rasil mali zipi kwa mfano? Fursa zipi za maana mlizowawekea?

    Ofcourse udhaifu umeongezeka katika vijana ila hivyo hivyo rasilimali zimepungua au zipo limited, ajira zimekwisha, pesa haipo tena mtaani lakini pia wapumbavu kaka na baba zao bado wapo maana hata wapumbavu huzeeka. Njaa ya 2026 sio ya 2016 au 2006 au 1996, nafikiri wazee wenzangu...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Fursa kwa vijana njenje EAPOC

    Rais Dk. Samia afungua fursa kwa vijana EACOP Na Mwandishi Wetu, Geita Serikali ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan imezidi kuwajali vijana, baada ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko kuzindua Mpango wa Uwezeshaji wa Kiuchumi kwa Vijana (YEE), ambao unagusa maeneo...
  4. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Challenge kwa watu wenye nguvu na wasio waoga, mshindi kupata milioni 5

    Salaam wakuu, siku ya Jana nili pata wageni ambao ndio mara yao kwanza kuja bongo, na kwakuwa wame kuwa waki sikia story za ubabe, nguvu za vijana wengi wa kitanzania. Wame niomba niandae pambano ili waweza kuji onea kwa macho, nami naleta fursa hii ambapo mshindi ata jipatia milioni 5 Baada...
  5. Kaluluma

    JamiiForums Tanzania Waliowahi kuomba tenda kupitia system ya NEST naomba kusaidiwa jambo hili

    Habari za leo wanaJamiiForum Kijana wenu ni mhangahikaji hapa mjini, nimeomba tenda fulani kupitia kwenye mfumo wa manunuzi wa serikali(nest) na nimefanikiwa kupata tenda hiyo kwani nimepokea award letter. Changamoto niliyokutana nayo ni kwamba kwa kuwa ni mara yangu ya kwanza kuomba...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Je, kuna umuhimu kama taifa kufanya usaili kwa kada ya Afya na Ualimu ndo Uajiri?

    Leta hoja yako, ijikite kwenye 1. Kwanini miaka mingi kada hizi hazikuwa na usaili isipokuwa sasa. 2. changamoto kiujumla za Mchakato wa usaili kwa kada hizi 3. Faida ya kufanya na kutofanya usaili 4. Bajeti za wizara kutekeleza usaili. 5. Hitimisho. Soma Pia: Kada ya Ualimu na Afya wafanyiwe...
  7. B

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Tuige mfano wa CRDB Bank Foundation kutoa fursa kwa vijana na wanawake

    Dar es Salaam. Tarehe 29 Juni 2024: Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Adolf Ndunguru ameipongeza Taasisi ya CRDB Foundation kwa jitihada zake za kuwafungulia fursa vijana na wanawake na kuzitaka taasisi nyingine kuiga mfano huo ili kuongeza ujumuishi...
  8. kelvinmpinga

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo:Maono ya kibunifu kwa uchumi endelevu wa tanzania na fursa kwa vijana

    Tanzania ya baadaye inaangazia mwelekeo wa uchumi endelevu unaoweka msisitizo mkubwa katika kuleta fursa za ajira na ujasiriamali kwa vijana. Kupitia mipango ya kibunifu na utekelezaji wa sera makini, tunalenga kujenga uchumi imara ambao unawanufaisha wananchi wote, hususan vijana. Hapa ni maono...
Back
Top Bottom