furaha

  1. G

    JamiiForums Tanzania Muarabu Muislamu wa Israel alietekwa na Hamas arejea kwenye familia yake baada ya wanajeshi wa Israel kuhatarisha maisha kumuokoa ukanda wa Gaza

    Jina: Kaid Farhan al-Qudi, Baba wa watoto 11 Dini: Muislamu Alitekwa October 7 mwaka jana Uraia: Israel Asili:Muarabu Kikosi cha Shayetet 13, Brigedi ya 401 kilidiriki kufanya maamuzi magumu yenye kuhatarisha maisha yao kwenda Gaza ili kumuokoa Kaid Farhan al-Qudi kwenye maeneo hatari...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda Awabubujisha watu machozi ya furaha utafikiri wamepigwa na mabomu ya machozi

    Ndugu zangu watanzania, Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda,Kijana Jasiri kusini Mwa jangwa la Sahara, Field Marshal,jabali la Siasa. Mwamba Mwamba Mwamba Mwenyewe Makonda Hatimaye kwa mara nyingine tena atikisa ,atetemesha,Awabubujisha watu Machozi utafikiri watu waliopigwa bomu la machozi...
  3. JamiiForums Tanzania Umeshawahi kufanya uchunguzi kuwa kadri umri unavyozidi kwenda ndivyo unavyokosa furaha?

    Isiwe ni maneno dhahiri kwako lakini ninavyochunguza na kupitia uzoefu kwa wengine ni kuwa kadri umri unavyozidi kuongezeka ndivyo wengi wetu tunakosa furaha. Hii huweza kuchangiwa na mambo yafuatayo; 1. Ukosefu wa kipato maalumu kinachoweza kukidhi mahitaji yako muhimu. Ukikosa sehemu yenye...
  4. JamiiForums Tanzania Benki ya Tanzania (TCB) inayo furaha kumkaribisha Bi Lilian Mtali kuwa Mkurugenzi wa Biashara za wateja

    Benki ya Tanzania (TCB) inayo furaha kumkaribisha Bi Lilian Mtali kuwa Mkurugenzi wa Biashara za wateja Wadogo na wa Kati. Bi. Mtali ana uzoefu wa miaka 26 katika sekta ya huduma ya kifedha akibobea katika usimamizi na uongozi wa huduma za biashara za wateja wateja wadogo, wa kati na wakubwa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa mtoto huyu watakesha wanabubujikwa machozi ya furaha na kumuombea maisha marefu Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Kila nikikaa nikawaza na kufikiria makubwa na mazito anayoyafanya Rais Samia katika Taifa letu kugusa maisha ya watanzania.Nabakia kusema Mama yetu Mpendwa na Rais wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Alizaliwa katika ardhi ya Tanzania kuja kuwafuta...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini wakati RC Chongolo anatambulisha Mawaziri leo Songwe ni Mmoja tu Mchengerwa alitajwa nae kwa Furaha, ila Wengine waliishia Kutajwa tu na RC?

    Siku hizi napenda sana kutoa Maelekezo ili wale Matomaso ( Wasioamini ) Kwanza wakajiridhishe ndipo waje tena hapa. Naomba kila Mtu atafute Clip ya leo Rais alilpokuwa Mkoani Songwe pale ambapo RC Chongolo alipokuwa akitambulisha Mawaziri kisha akitizame kwa umakini sana hiki nilichokiulizia...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Maisha yanakosa maana pale ambapi hata kile kidogo kinachokupa furaha maishani kinaondoka

    Sometimes unajiuliza maisha yana maana gani? Aisee waliosema "It takes courage to love" hawakukosea. Nilikutana na huyu binti mzuri sana, zaidi ya sana mahala fulani hapa dar. Kuna kitu niliangusha akaniokotea na kuniita kisha akanipatia. Nikampa lift hadi karibu na anapokaa kisha nikachukua...
  8. JamiiForums Tanzania Watu watatu unaotakiwa úwafurahishe ili nawe uishi maisha ya Furaha

    WATU WATATU UNAOTAKIWA UWAFURAHISHE ILI NAWE UISHI MAISHA YA FURAHA Anaandika, Robért Heriel Mtibeli Umeshakuwa mkubwa sasa. Hakuna kitu unachohangaikia kila siku kwenye maisha kama kuwa na Furaha. Tafsiri ya furaha kwa sisi Watibeli ni kutokuhisi Upweke. Kutokuhisi Upweke ni kuhisi...
  9. JamiiForums Tanzania Migogoro mingi inayotokea maeneo ya kazi inatokana na wanandoa kutotimiza wajibu wao wa kupeana tendo la ndoa

    Nikiwaambia 'banduaneni' kila wakati kama nifanyavyo ili muwe na Furaha na Wachangamfu muda wote mnaniona Muhuni...
  10. JamiiForums Tanzania Mwanandoa tafuta furaha yako mwenyewe

    Mambo ambayo huja baadae kusababisha kuiona ndoa ni chungu ni kuwa na matarajio makubwa kwa mwenza wako,,hii sio sawa hata kidogo,hatuna budi kutafuta namna ya kutafuta raha katika nafsi zetu wenyewe. Kuna wakati hutaambiwa unapendwa kama zamani lkn hii isikufanye ukose furaha na amani katika...
  11. JamiiForums Tanzania Video: Furaha yatawala ujio wa wimbo mpya wa Harmonize na Rayvanny

    Mashabiki wa kiwanda cha BongoFleva wameshuhudia upendo uliotamalaki kati ya msanii Harmonize na Rayvanny, ambao wanatarajia kutoa wimbo wao mpya (Walioshirikiana) baada ya kuwa na ugomvi kwa muda mrefu. Harmonize ameweka video kwenye mtandao wake wa IG akiwa na msanii mwenzie Rayvanny...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenye uhitaji wa wanawake wengi, hana furaha yeye mwenyewe

    Mwanaume mwenye uhitaji na wanawake wengi, hana furaha na yeye mwenyewe. Kwake kuwa na usikivu wa wanawake wengi, kunamsaidia kulisha nafsi yake, kuficha kutojiamini kwake. Huyu mwanamume asiyejiamini, atacheza na hisia za wanawake wengi, huku akidhani ananufaika na kuongeza kujistahi...
  13. JamiiForums Tanzania Kipindi cha furaha kwa mashabiki na wanachama wa Simba.

    Katika misimu hii (3) ya mwisho mashabiki wa Simba huwa na furaha sana wakati wa usajili kuliko msimu ukianza. "Muda wa taarifa kubwa haupo mbali. Pakua (Simba App) na lipia mapema ili uwe wa kwanza kupata taarifa za klabu. #WenyeNchi #NguvuMoja" ©️ Simba Sports Club official page
  14. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu Mahmoud Ahmadinejad ajisajili kugombea uraisi Iran, Ni furaha sana kwa wapigania haki duniani

    Yule mwamba aliyewahi kuwa raisi wa Iran ambaye aliwakosesha usingizi viongozi wa nchi za magharibi wakati wa uraisi wake amekubali maombi ya wapenda haki wa Iran kugombea tena uraisi ili kuliongoza taifa hilo. Tangu kuondoka kwenye cheo cha uraisi baada ya vipindi viwili vya uraisi hapo mwaka...
  15. V

    JamiiForums Tanzania Ukioa mke mkirsto mkatoliki una asilimia nyingi za kuwa na familia yenye furaha na mafanikio

    Kupitia mifano mingi hawa wanawake wa kikatoliki ni bora sana kujenga familia sio Tanzania tu hata duniani. Mzee wangu ni muislamu alioa mke mkatoliki. Mama alikataa kwenda kwenye uislam akabaki na ukristo wake lkn familia ilikuwa na amani na furaha sana. Tulipokuwa primary hatimae mzee wetu...
  16. JamiiForums Tanzania Furaha ilioje, leo mimi ni baba wa mapacha!

    Natumaini ni wazima ndugu zangu Asante mungu kwa zawadi hi kubwa ya kihistoria kwenye maisha yangu Kwa hakika mungu akubaliki wewe mwanamke uliebeba viumbe hivi tumboni kwako. Hadi sasa natafakari zawadi ya kukupa nakosa. Ulinipigia na kuniambia, Nahman unaendeleaje na kazi. Hongera tumepata...
  17. JamiiForums Tanzania Katikati ya harakati za 50/50 kinyume chake wanawake wengi siku hizi hawana furaha

    Peace, Itakushangaza lakini ndio ukweli, tupo katika zama za upendeleo na "kuinuliwa" kwa wanawake na fursa kede kede pasina shaka mimi na wewe tulitegemea ustawi wa wanamakae kiuchumi, kiroho, kijamii, kiakili na kua na furaha zaidi ila sasa hali ni tofauti kabisa. Mazingira ya ajira na...
  18. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu Biteko: Aliyemkubwa na amfanye mdogo pia apate furaha kazini

    "Siyo sawa, aliyemkubwa na amfanye mdogo pia apate furaha kazini," Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza katika Mkutano wa Kumi na Moja wa Kitaaluma wa Makatibu Mahsusi Tanzania uliofanyika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
  19. JamiiForums Tanzania Namna ya kupata furaha ya kudumu

    ☺️☺️☺️☺️☺️Let’s go☺️☺️☺️☺️☺️ 1. Kwanza kabisa furaha unaweza ukaitengeneza wew mwenyew, ivo furaha ni chaguo. Unaweza kuchagua kuwa na furaha, hata unapokabiliwa na changamoto.😊 2. Furaha si kuhusu kuwa na kila kitu unachotaka. Ni kuhusu kutaka kile ulicho nacho.☺️ 3. Furaha si kuhusu kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Kanuni za maisha ya furaha

    1. Ongea kidogo na usikilize zaidi. Na unapokuwa na jambo la kusema, limaanisha na watu watakuwa na shauku ya kukusikia ukizungumza. 2. Usibishane kamwe na watu kwenye masuala kama vile dini, siasa na mabishano. Unaweza tu kukubaliana nao au kuwapuuza na kuondoka. Ukitaka kubishana nao juu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…